Kwahiyo?DullyJr Fabregas predicts on Saturday game say that "Chelsea basically every year has won a trophy so it's a different animal in this case"
"In terms of trophy Arsenal needs it more and confidence for next year and getting into Europe"
"Chelsea are in champions league and Arsenal has nothing at
the moment
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
Alichoongea Fabregas ndio inaonesha utofauti Kati ya team kubwa na midtable team like Arsenal katika miaka 10 Chelsea ndio inaongoza kwa kuchukua makombe mengi kuliko team yoyote pale England na katika hiyo misimu Hakuna msimu hata mmoja waliotoka patupu so jiandae kesho kutunguliwa.Kwahiyo?
Fabregas ni Mungu? au ni mpiga domo kama wapiga domo wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1616]
Kama mngekuwa kila mwaka mnachukua kombe basi ndio mngekuwa mnaongoza kwa London[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1616]
Na lugha yenu pendwa ya katika miaka kumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo hiki kitimu kimeanzishwa 2010?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alichoongea Fabregas ndio inaonesha utofauti Kati ya team kubwa na midtable team like Arsenal katika miaka 10 Chelsea ndio inaongoza kwa kuchukua makombe mengi kuliko team yoyote pale England na katika hiyo misimu Hakuna msimu hata mmoja waliotoka patupu so jiandae kesho kutunguliwa.
Bado katimu kadogo, ndio kanakujakuja taratibu [emoji3][emoji3]Na lugha yenu pendwa ya katika miaka kumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo hiki kitimu kimeanzishwa 2010?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1616]
Asernal mnajifariji tu,lakini ukweli mnaujua wazi kuwa nini kitawapata kesho.in short kesho lazima parapanda lilie.Arsenal London tunaleta mazishi kesho hapa,Nyie hamna timu ya kutuzuia vidume wenu.
We've got goals, we've got pace
#Coyg[emoji837]
Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]Asernal mnajifariji tu,lakini ukweli mnaujua wazi kuwa nini kitawapata kesho.in short kesho lazima parapanda lilie.
Nilicheka sana siku ile, watu mapema tu tupo pungufu lakini wanahaha, sasa mziki ukiwa kamili si tutavichakaza hivi vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]
Kwa sababu BAKU mliweka 8 sio?Nilicheka sana siku ile, watu mapema tu tupo pungufu lakini wanahaha, sasa mziki ukiwa kamili si tutavichakaza hivi vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaisema Asernal ipi? au hiihii yenye homahoma ndo itamfunga Chelsea,acheni utani muwe seriously.Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]
Anajifariji 2 huyo manMnaisema Asernal ipi? au hiihii yenye homahoma ndo itamfunga Chelsea,acheni utani muwe seriously.
Arsenal keshaisha tayari.DullyJr Fabregas predicts on Saturday game say that "Chelsea basically every year has won a trophy so it's a different animal in this case"
"In terms of trophy Arsenal needs it more and confidence for next year and getting into Europe"
"Chelsea are in champions league and Arsenal has nothing at
the moment
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
Msimu huu mmefanya nini kwetu tulipokutana?Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]
Kwani msimu huu tulipokutana tulikua tunacheza na Arsenyeto au Arse8.Nilicheka sana siku ile, watu mapema tu tupo pungufu lakini wanahaha, sasa mziki ukiwa kamili si tutavichakaza hivi vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Baku ya Emery[emoji3][emoji3], yupo Villareal kwny level zake now,Sasa hivi tuna kocha wa dunia Mikel.Kwa sababu BAKU mliweka 8 sio?
14 FA cup kibindoni hiyo kesho,hatuna maneno mingi kwny hii kazi.Mnaisema Asernal ipi? au hiihii yenye homahoma ndo itamfunga Chelsea,acheni utani muwe seriously.
Ila huwa mnafufuka inapokuja MIcky Mouse Cup ya FA14 FA cup kibindoni hiyo kesho,hatuna maneno mingi kwny hii kazi.