juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kwani odoi kaanza kucheza liniKwa kufanya hivyo anamkosea heshima Pedro kwani huyo odoi yupo Chelsea Huu msimu wa ngapi? Je unaamini kuja kwa Ziyech na kubaki kwa Willian ndio kutamfanya odoi apate time playing? Pedro ameperform vizuri Sana tangu aje Chelsea na kashinda makombe na still yupo vizuri mpaka leo Kuna aja gani kumpiga benchi mpaka game za mwisho?
Odoi alikuwa anakuja vizuri tu sema injury ndio iliyomfanya kiwango chake kishukeOdoi hawezi kufika mahali Pedro amefika.
Hao wachezaji wanaosajiliwa ni waingereza??Unaona ninachokiona mimi, ebana lampard anatamani angekua na wachezaji wa kingereza wote kwnye kikosi chake, hata pulisic yupo tu kwnye kikosi chake sababu anaona aibu kumweka bench mana ana kipaji kisichofichika, mana mwanzo alianzaga kumweka benchi.
Msije shangaa hata hao wachezaji wapya wakala benchi sababu ya odoi na barkley.
Dogo ni kiungo anaye funga ni tofaut na viungo tulio naoMchakato wa Usajili ni mahesabu, inategemea Chelsea inapiga hesabu gani kwa sasa. Mfano:-
1. kumsajili matured HARVETZ kwa €80M au
2. Kusajili wachezaji wawili au watatu wanaocheza nafasi ya Harvetz kwa jumla ya €80M na kocha akaimprove vipaji vyao kufikia level ya Harvetz.
Tunatakiwa tujiulize maswali haya tumetoa £58M kwa Pulisic, tumetoa £48M kwa WERNER, tumetoa £44M kwa Ziyech
Swali kwanini tutuoe £80M kwa Harvetz? Na sio kwa kiasi hicho kwa wachezaji wawili? Sababu ni zipi?
Kiwango bora sana cha Harvetz?
Shinikizo la kocha anamtaka?
Shinikizo la Marina anamtaka?
Shinikizo la Roman anamtaka?
Recommendations za scouting team?
Tuna mashindano mengi ya kushirikiNdo maana nimekuuliza kuja kwa Ziyech na willian kubaki ndio kutafanya huyo odoi kupata time playing?mbona hili swali limekuwa ngumu kujibu
ndio maana wale wote huwa watu wakuchafua dressing room taratib wanaondoka luiz tayari, willian yeye siku zake zinahesabika za kuwepo paleShida n kuwajenga katika upendo like auba na laca
Odoi na RLC ni injury ndio zimewafanya hivyo walivyoNimekuelewa ndugu, hatuwatengi wala hatuwachukii hawa madogo wa academy. Tunachotaka waheshimu jezi ya Chelsea, wajitambue na wafocus kwenye kujenga career na brand zao.
James, Mount, Glimour, Tomori hawa ni vema [emoji3514]
Odoi, Tammy, RLC hawa wamechagua kula mshahara bure
OFFICIAL: The Community Shield will take place on Saturday August 29th.
Liverpool will face Chelsea.
ENGLISH_PREMIER_LEAGUE_updateView attachment 1521354
Hawana cha kudharau ni fahari ya mdomo tu, maana tumewapiga gape maeneo mengi sana, yaani hawa bado machalii tu... Sawa na Azam atambe kwa Dar Young Africans[emoji23][emoji23]Ha ha ha, nyie jamaa mnawadharau sana Arsenal.
mzee umeongea fact tu👏Dogo ni kiungo anaye funga ni tofaut na viungo tulio nao
Ni kma alivyokuwa super frank alikuwa anaweza kukupa goal 10 kila msim yeye kama kiungo nahisi hicho ndio lampard anachompendea kingine ni jinsi ya anavyoweza kuanzisha mov ya goal
Dg ni mzuri tumchukue tu huu ndio wakati sahihi ambapo madrid hawako sawa kifedha kwa sababu ya corona tukisema tumuache tunaweza jutia hapo baadae
Bora hata fainali tungeingia na liver au city angalau mechi ingekuwa na joto joto.
Amna mkuu. Ndio hali halisiHa ha ha, nyie jamaa mnawadharau sana Arsenal.
[emoji837][emoji2422]--[emoji471][emoji838]Hawana cha kudharau ni fahari ya mdomo tu, maana tumewapiga gape maeneo mengi sana, yaani hawa bado machalii tu... Sawa na Azam atambe kwa Dar Young Africans[emoji23][emoji23]
Si kwa makombe, si kwa head to head, si kwa fan base, si kwa mafanikio ya kiuchumi[emoji123][emoji123][emoji123]
Hamna kitu wataweza fanyaHahaha, Jumamosi siyo mbali.
Arsenal wameanza kuipata formula ya Big Matches, jiandaeni.
Kwa akili yako kabisa unaamini Arsenal anaweza kumfunga Chelsea?Hahaha, Jumamosi siyo mbali.
Arsenal wameanza kuipata formula ya Big Matches, jiandaeni.