juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tatizo lenu munaenda kwenye majukwaa ya wenzenu mnaongea shittttNi mda wa kuanza kuzipotezea hizo comment za mashabiki wa arsenal. Watu wanashindwa kucomment bila kutukana
Tukiacha kutozireply wenyewe wataacha kuchangia
Bora Aaron anaweza akaingia huku endapo wapinzan wake wamefungwa ila hawa wangineo wenyewe wamejaza matusi tu utasema thread zao hawazioni
Angalau sisi tunakuja wakati kuna msiba, nyie hata hakuna msiba mnalowea kwa amjirani hadi mnachokwa hata wakati kuna sherehe mnaleta karaha, kero, makelele hadi tunashindwa kusheherekea ushindi wetuTatizo lenu munaenda kwenye majukwaa ya wenzenu mnaongea shitttt
Nyumbu inaota1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Jukwaa lenu dhaifu yaitaji mikikimikiki lichangamkeAngalau sisi tunakuja wakati kuna msiba, nyie hata hakuna msiba mnalowea kwa amjirani hadi mnachokwa hata wakati kuna sherehe mnaleta karaha, kero, makelele hadi tunashindwa kusheherekea ushindi wetu
MNABOA SANA
Timu gani hiyo ya kumtoa city au liverpool hapo juu, Chelsea dhaifu mwaka huu mmeitoa kwa taabutena kwa GD, mwakani ikifanyiwa overhaul kweli nyie mtapona, Mkijitahidi sana mwakani ni nafasi ya 4 kwa vile tu wale mafukarana wa London wanaotutia aibu Arsenal hawawezi kusajili world class players na Tottenham nao ni hivyo hivyo basi nyie mtakuwa na bahati ya kubaki nafasi ya 4 wala huu siuo ushabiki ni ukweli mtupu na wewe unajua kuwa Timo werner, Ziyech, Kai akiungana na akina Mount, Pulisic, Kante, Kovacic na watakaosajiliwa huko nyuma itakuwa ni maafa tu1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.🤪🤪🤪
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Man city and Man u zitakuwa top 2 zote next year. Liverpool asubiri tena 30 years maana safari yake imeishia hapo. Chelsea bado muendelee kujenga kikosi ili miaka minne ijayo muanze kupambania ubingwaTimu gani hiyo ya kumtoa city au liverpool hapo juu, Chelsea dhaifu mwaka huu mmeitoa kwa taabutena kwa GD, mwakani ikifanyiwa overhaul kweli nyie mtapona, Mkijitahidi sana mwakani ni nafasi ya 4 kwa vile tu wale mafukarana wa London wanaotutia aibu Arsenal hawawezi kusajili world class players na Tottenham nao ni hivyo hivyo basi nyie mtakuwa na bahati ya kubaki nafasi ya 4 wala huu siuo ushabiki ni ukweli mtupu na wewe unajua kuwa Timo werner, Ziyech, Kai akiungana na akina Mount, Pulisic, Kante, Kovacic na watakaosajiliwa huko nyuma itakuwa ni maafa tu
Na nyie mnajenga nini maana Manure bado sana, bado timu yenu ni ya kupigania Europa, hapo mlipo ni kwa sababu tu ya LCFC kuwakosa wachezaji wake makiniMan city and Man u zitakuwa top 2 zote next year. Liverpool asubiri tena 30 years maana safari yake imeishia hapo. Chelsea bado muendelee kujenga kikosi ili miaka minne ijayo muanze kupambania ubingwa
Kama Leceister angegoma kutoka kwenye nafasi za juu tungemtoa Chelsea sisi tukaingia hapo top four.Na nyie mnajenga nini maana Manure bado sana, bado timu yenu ni ya kupigania Europa, hapo mlipo ni kwa sababu tu ya LCFC kuwakosa wachezaji wake makini
Lini wakati hukuwa na mechi nasi, nafasi yenyewe meibaka dakika za mwisho mikononi mwa LFCF, maoni ya kitoto kabisaKama Leceister angegoma kutoka kwenye nafasi za juu tungemtoa Chelsea sisi tukaingia hapo top four.
Hilo la kombe tayari, Arteta hana defence ya kuizuia Chelsea kuwatoboa, Wachezaji wa Chelsea bado wana hamu na mentality ya kubeba makombe na hususana kupitia kwa Arsenal, njia laini naiona hiyoHONGERENI SANA WANA BLUES KWA KUMALIZA TOP 4.
Binafsi naweza kusema ilikuwa safari ngumu kwa Lampard katika kazi yake ya ukocha.
Ilikuwa safari ya Lampard kujifunza, kurekebisha makosa/mbinu na kupata uzoefu wa kufundisha timu kubwa kama Chelsea kwenye ligi ngumu (EPL).
Mkataba wa Lampard kama kocha kwa msimu wa kwanza unatamka kwamba Lampard ahakikishe timu isishuke daraja na akimaliza ndani ya top 4 atavuna bonus.
HONGERA SANA LAMPARD.
Natamani sana sana Lampard abebe hili kombe la FA, ili limpe kiu ya kutamani kubeba makombe makubwa zaidi.
Toka January nilisema sisi tunataka kumtoa Leceister nafasi ya tatu hatukuwa na shida na chelsea maana angemaliza nafasi ya nne tu hata kama tusingemfunga sisiLini wakati hukuwa na mechi nasi, nafasi yenyewe meibaka dakika za mwisho mikononi mwa LFCF, maoni ya kitoto kabisa
Wewe unacheza namba ipi pale Manure maana unaongea kama mchezajiToka January nilisema sisi tunataka kumtoa Leceister nafasi ya tatu hatukuwa na shida na chelsea maana angemaliza nafasi ya nne tu hata kama tusingemfunga sisi
UONGOZI wa club utafakari sana na kutathimini uhitaji wa michango ya hawa wachezaji kwa msimu ujao :-
1. Joginho
2. Abraham
3. Barkely
4. Keppa
5. Alonso
6. Ermason
7. Batshuayi
Hizi mbwembwe ni baada ya kufuzu UEFA tu. Nyie jamaa mmesahau timu ni ya aina gani?1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6