5-0 ni 5GHata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule
1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths
Kaka unafikiri utacheza na Norwich??Chelsea inahitaji droo tu kubaki top 4
Hao wengine watamalizana wenyewe
Hizo takataka mbona tutajipigia tena nyingi tu!kaa mkijua kuwa Chelseafc akiamua kitu huwa hashindwi.Kaka unafikiri utacheza na Norwich??
Mbweha nao wakishinda wanacheza Ueropa, so sio mechi nyepesi kwako.
Hakuna mtu kasema mechi nyepesi.Kaka unafikiri utacheza na Norwich??
Mbweha nao wakishinda wanacheza Ueropa, so sio mechi nyepesi kwako.
Mbona huyo wolves tulimpiga goal 5 pale pale kwake kumbuka Hili.Kaka unafikiri utacheza na Norwich??
Mbweha nao wakishinda wanacheza Ueropa, so sio mechi nyepesi kwako.
Mbona unaumizwa sn mzee, dont take it too serious[emoji3][emoji3][emoji3]Hata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule
1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths
Lampard ana mafanikio gani, huo utopolo peleka Derby huko [emoji3][emoji3][emoji3]Kocha ssiye jua mpira kamzidi karibia kilakitu kocha wako. Jumlisha makombe akiwa mchezaji na akiwa kocha hamfiikii hata Lamps.
Muwe mnafikiri hata kidogo jamani.? Mlienda shule kusomea ujinga!!
Nyie cheltako safari yenu ya Europa ndio kesho
Ifike kipindi hawa watoto tuanze kuwapuuza tu. Mambo wanayofanya tena kwa kujirudia rudia ni aidha hopeless kimaisha au bado ni mtoto yuko shule. Wao kila kitu tu ni kufata mkumbo hawaelewi hata mambo yanaendaje.
Ndg, Wolves sio mbweha, kasoma kamusi yako vizuriKaka unafikiri utacheza na Norwich??
Mbweha nao wakishinda wanacheza Ueropa, so sio mechi nyepesi kwako.
Kwani nyumbani timu hazifungwi ?? Mambo ya nyumbani hayapo sasa hivi , Timu zote ni kama vile zipo ugenini. Alafu kingine Inabidi muangalie kutetea nafasi yenu kama ambavyo Man u itatetea nafasi yake ya 3, ili mbaki top 4, maana Leicester akishinda na nyie Wolves akashinda basi mnaaga top 4.Man U atarudi nafasi ya 5 kwa sababu Chelsea na LFC watashinda nyumbani - HOME ADVANTAGE
Mnawaaibisha washabiki wa Arsenal. Imani yangu siyo wote wapo kama nyie kifikra.Lampard ana mafanikio gani, huo utopolo peleka Derby huko [emoji3][emoji3][emoji3]
August 1 Arteta anachukua kombe lake la kwanza
#Coyg [emoji837][emoji837][emoji837]
Gunners chama la wanaume Kamili hawana aibu za kike km wewe chelwowoMnawaaibisha washabiki wa Arsenal. Imani yangu siyo wote wapo kama nyie kifikra.
zilipendwa hizi, toka Mourinho ana uwezo wa kuchukua kombe pk sasa hivi hana uwezo hata wa kushinda 3 game in a row.[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo na ww usha sahau.? View attachment 1516771
Najua hilo maana niliona mlivyoamua kwa wagonga nyundoHizo takataka mbona tutajipigia tena nyingi tu!kaa mkijua kuwa Chelseafc akiamua kitu huwa hashindwi.
Mbwa mwitu na Mbweha jamii moja ile mkuu [emoji23][emoji23]Ndg, Wolves sio mbweha, kasoma kamusi yako vizuri
5g /kiganja/mkono/[emoji1672]Mbona una shobo na team ambayo sio yako.