Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utopolo wa 5G, trh 1 tunawakalisha wazembe nyie.

[emoji837][emoji837][emoji837]
 
Mpangeni mchovu Kepa hiyo mechi,kocha wenu alivyo hajui mpira atapanga lile boya kabaroo na itakuwa mvua zaidi Ya juzi[emoji3][emoji3][emoji3]

#Coyg [emoji837][emoji837][emoji837]
 
Mpangeni mchovu Kepa hiyo mechi,kocha wenu alivyo hajui mpira atapanga lile boya kabaroo na itakuwa mvua zaidi Ya juzi[emoji3][emoji3][emoji3]

#Coyg [emoji837][emoji837][emoji837]
Kocha ssiye jua mpira kamzidi karibia kilakitu kocha wako. Jumlisha makombe akiwa mchezaji na akiwa kocha hamfiikii hata Lamps.

Muwe mnafikiri hata kidogo jamani.? Mlienda shule kusomea ujinga!!
 
Man U atarudi nafasi ya 5 kwa sababu Chelsea na LFC watashinda nyumbani - HOME ADVANTAGE
Kuna umuhimu mkubwa mashabiki wa hii team wapimwe akili ..kuna chembe za utahira baadhi yao [emoji57]
 
We kiazi huna unachojua kaa kimya [emoji23][emoji23]
 
Sasa kama wewe umetinduliwa 5/tano/mkono/5g juzi tu na umesahau/unajisahaulisha leo[emoji23][emoji23][emoji23] sembuse mimi niliyefungwa mwaka jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule

1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths
 
Chelsea inahitaji droo tu kubaki top 4
Hao wengine watamalizana wenyewe
 
Kocha ssiye jua mpira kamzidi karibia kilakitu kocha wako. Jumlisha makombe akiwa mchezaji na akiwa kocha hamfiikii hata Lamps.

Muwe mnafikiri hata kidogo jamani.? Mlienda shule kusomea ujinga!!
Hapa umetema shudu la Covid19[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa huna la kuongea basi linalokuja mbele lolote lile [emoji23][emoji23]sasa Lamps ana makombe mangapi kama kocha???
 
[emoji1616]








[emoji23][emoji23]
Aiseh Liver walaaniwe.
Maana watu wanadhalilika huku,unajielewa kweli wewe?
5g
5g
5g
 
Binadamu tumeumbwa kusahau tutawakumbusha siku ya August 1. Wanafanya ivyo kwa sababu msimu huu wameshindwa kutufunga kabisa kwa iyo ni kama releaf kwao.

Hopeless anapokosa cha kufanya ndio matokeo yake hayo
Kwahiyo ushasahau [emoji1616]
 
Hapa umetema shudu la Covid19[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa huna la kuongea basi linalokuja mbele lolote lile [emoji23][emoji23]sasa Lamps ana makombe mangapi kama kocha???
Najua unaelewa vizuri ila unaendelea kujichekesha tu. Nitakukumbusha tar 1 kwamba kaka mkubwa huwa hafanyiwi mzaha.
 
Ifike kipindi hawa watoto tuanze kuwapuuza tu. Mambo wanayofanya tena kwa kujirudia rudia ni aidha hopeless kimaisha au bado ni mtoto yuko shule. Wao kila kitu tu ni kufata mkumbo hawaelewi hata mambo yanaendaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…