Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

asante liverpool jana mlitunyoa nywele zote, za katikati ya mapaja
 
Mwacheni jamani, kwa raha zake!!!!
Hawa wakija kule kuita watu matakataka, vichwa maji, nguruwe pori inakuwa haina shida na wala hakuna anayeita mods... [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mimi kuandika kanamba '5' na kaherufi 'G' inakuwa nongwa, jamani eeeeh sisi ni ndugu,

Enjoy soccer.
 
Kupost kitu kama hicho mara nyingi wanasema ni spam ni kosa kwa sheria za jf
Uko sahihi, kwa sheria za mitandao, posting ya namna hiyo ni spam na adhabu yake easy and straight forward ni kufungiwa kwa muda akirudia tena kufungiwa kabisa
 
USA inahangaikia minara ya 5G hadi wanagombana na China. Liva badala wakachomeke minara USA walipwe mahela wameenda kuchomeka Darajani.

Now kila mtu analikimbia daraja
 
USA inahangaikia minara ya 5G hadi wanagombana na China. Liva badala wakachomeke minara USA walipwe mahela wameenda kuchomeka Darajani.

Now kila mtu analikimbia daraja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babake
 
Mimi niliangalia yote, Chelsea ilicheza vizuri sana, hata ukifuatilia commentators wa mechi wanakiri jinsi timu mbili zenye kucheza kandanda safi EPL walivyoonyesha burudani nzuri. Mimi nilikuwa nafuatilia Suppersport3. Tofauti yetu ndogo sana na Liverpool ni kwenye defense na Kipa.
Defense walicheza vizuri ila wanajisahaau kwenye open space kwenye final third ya kwetu na Liverpool forward ni wajanja sana walizitumia hizo weaknesses. Pia kuna makosa ya wazi kidogo zilziofanywa na akina Willian nafikiri kwenye goli la kwanza ambayo Nabi Keita aliitum ia kufunga goli. Pia viungo wetu walichoka kipindi cha pili ambapo possesion ilidrop kutoka 62% kipindi cha kwanza hadi 48% before sub ya Odoi, Pulisic na Tammy Abraham ilikuja kufufua umiliki wa mpira hadi ikiafika 50% na kuwafanya Chelsea tena kupeleka mashambulizi ya nguvu mbele iliyozaa magoli mawili ya haraka na kufanya mabao kuwa 4-3 kisha tukajisahau tena na ndipo Chamberlain akaongeza la tano.
Fuatilia comment za pundits na hao watangazaji utaona impression yao kuhusu hiyo burudani ya jana ambayo ilitofautishwa na magoli tu! Huu ndio ukweli. Kwa standard ya mpira wa jana tukikutana na hao maiti wa emirate watakula 7 au 10 kwa mabao machache ya kufuta machozi
 
Uko sahihi, kwa sheria za mitandao, posting ya namna hiyo ni spam na adhabu yake easy and straight forward ni kufungiwa kwa muda akirudia tena kufungiwa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kupiga mayowe, huu mchezo hauhitaji hasira
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…