Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Underdog kama underdog[emoji240][emoji240]
 
Vp unajisikiaje baada ya jana kutobolewa na timu ambayo ipo kwenye danger zone
The same na wewe ulivyotinduliwa 3 mtungi na timu iliyo katika danger zone[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashabiki wa arsenal ni kama wapo wapo tu sasa ivi,, hata yale mapenzi yao kwa timu yao yamebaki kidogo sana (Ndo maana hata wakifungwa saivi huwezi ona wakihuzunika), hawana imani na timu yao tena, na nadhani ikienda hivi kwa miaka mitano ijayo basi arsenal itapoteza wanazi wengi sana
 
Chelsea kwa leo mechi ni ngumu sana,,

Kwanza tunacheza na timu ambayo ni bora kwa msimu huu

Pili tunacheza na timu bora ikiwa ndani ya uwanja wao wa nyumbani ( Japo kwasasa tunapata imani kidogo kwasababu hakuna mashabiki uwanjani kwa sasa)

Tatu, tunacheza na liverpool iliyo"relaxed sana,, hawatafuti chochote kwa sasa na wanaweza kutuumiza kama tutashambulia sana (hawa jamaa ni wazuri kwa counter attacks).

Nne, mechi ya leo itakua ngumu mno kwetu kwa sababu ni mechi liverpool watakayokabidhiwa kombe lao..

All and all,, we are among the good team in the division.. Ability, commitment pamoja na kujiamini kutatufanya tutoke na matokeo chanya kwenye mechi ya leo
 
Na ni wakorofi kama waadhirika
 
Katika mashabiki wenye mioyo migumu aisee na wao wapo
 
Inauma lakini lazima ujikaze kisabuni.
 
Manure vs Westham
1-1
Chelsea washindwe wenyewe tu
 
Lineup hiyo. Pulisic nje pengine bado ana majerahaView attachment 1514147
Ni tactical change sio kwamba ana majeraha, unajua kwanini mount amepangwa badala ya pulisic kwa sababu zifuatazo
1.Anajua kupress high compare na Pulisic
2.kuongeza number kwenye midfielder kwa sababu mount ana uwezo wa kucheza Kama Winga na hapo hapo aka act as midfielder
3.Anakaba hii Ni moja ya kigezo ambacho lampard kuzingatia kutokana na aina ya opponent(Liverpool)
4. Anajua kutengeneza space kupitia movement zake akiwa Hana mpira.
 
Hapo point ni #2 tu anajaribu kuongeza midfield iweze kusave umiliki wa mpira.
 
Wewe wasema,
Mimi ni mkazi wa London na siwezi shabikia timu ndogo lazima nishabikie timu kubwa kama Gunners[emoji91][emoji91][emoji95]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…