Huyo anakuja mkuu,hatuchezi michuano yoyote kimataifa nxt season lakini anataka kuja tu, umeona ukubwa wa timu yetu sio hizo link mnazoweka hapo.Mmh kwan wachezaji gani wazuri mmekuwa linked nao kwa sasa HV mkigombania kucheza Europa huko ukiachana na Thomas?
Nitajie wengine mkuuHuyo anakuja mkuu,hatuchezi michuano yoyote kimataifa nxt season lakini anataka kuja tu, umeona ukubwa wa timu yetu sio hizo link mnazoweka hapo.
Kibonde wewe nakupasua First half tu,Hatujawahi poteza final ya FA dhidi ya midtable nyie, ilo kombe huwa letu pk wameliita Emirates FA cup[emoji3][emoji23]Jukwaa lenu limechacha kule ..nyie pambaneni mcheze Europa mwakani ..achaneni na FA siyo ya kwenu tena..
Hakim Ziyech hatukubid tu, lakini moyo wake wote ulikuwa Emirates [emoji16][emoji16]Nitajie wengine mkuu
Tuseme adi sasa mnaongoza mbili kwa moja...Kibonde wewe nakupasua First half tu,Hatujawahi poteza final ya FA dhidi ya midtable nyie, ilo kombe huwa letu pk wameliita Emirates FA cup[emoji3][emoji23]
Kupata kichekesho kama hiki piga *105#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakim Ziyech hatukubid tu, lakini moyo wake wote ulikuwa Emirates [emoji16][emoji16]
Mbona nasikia Kuna interview alihojiwa aliwakataa arsenalHakim Ziyech hatukubid tu, lakini moyo wake wote ulikuwa Emirates [emoji16][emoji16]
Hiv hao WCP pale arsenal ji nani na nani?Sisi tulimaliza nafac ya 10 ule msimu Wa mou na guus hiddink tukasajili world class kina kante na kina Alonso kwann wasingeenda arsenal
Unacheka mkuu [emoji16][emoji3][emoji3]Kupata kichekesho kama hiki piga *105#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal haijawahi mtaka, huyo ni Arsenal fan toka enzi na enzi, wachezaji wako wengi ni mafans wa Arsenal[emoji3][emoji3][emoji3]Mbona nasikia Kuna interview alihojiwa aliwakataa arsenal
Atasema pepe huyuHiv hao WCP pale arsenal ji nani na nani?
Yaani hawa wamebaki kutuadidhia hadithi za mababu zao, ukiona katimu imefilisika ndio hawa ArsenaliUkubwa wa klabu yangu hauhitaji pk nisome hizo link,ukubwa wetu hata kwa macho ya mwili tu unaonekana,we endelea kutafuta ukubwa kwny pepa.
Nyie tunasubiri kuwazika tu rasmi kama Sunderland, kelele hizo ni za mfa maji haachi kutapatapa!!!!!!Nani akatae Arsenal ikiwa kwenye ubora wake,sisi tunaleta Watu km Auba,Pepe na hatupo UEFA,ht tusipocheza Europa tunaweza kuattract good players,wewe jaribu usiende Uefa uone nani atakuja kwenye utopolo huo [emoji3][emoji3][emoji3]
"When Arsenal knock it's a different knock"~Raul
#Coyg[emoji837]
Fukara nyie, mmeanza kumezea mate pilau kwa kuku kwa jirani, hamna uwezo wa kumsajili ZiyechHakim Ziyech hatukubid tu, lakini moyo wake wote ulikuwa Emirates [emoji16][emoji16]
Mwaka uliofuata tukachukua ndooSisi tulimaliza nafac ya 10 ule msimu Wa mou na guus hiddink tukasajili world class kina kante na kina Alonso kwann wasingeenda arsenal
Huyo naye ni wakusajiliwa? huyo tulikuwa tunambeba bure sema namba yake wapo watu wa kazi kina Bukayo Saka,sie tunasajili Pepe/Messi mweusi [emoji3][emoji3]Fukara nyie, mmeanza kumezea mate pilau kwa kuku kwa jirani, hamna uwezo wa kumsajili Ziyech
Haahaaa dagh we jamaa unachekesha kinoma embu soma ulichokiandikaHuyo naye ni wakusajiliwa? huyo tulikuwa tunambeba bure sema namba yake wapo watu wa kazi kina Bukayo Saka,sie tunasajili Pepe/Messi mweusi [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo naye ni wakusajiliwa? huyo tulikuwa tunambeba bure sema namba yake wapo watu wa kazi kina Bukayo Saka,sie tunasajili Pepe/Messi mweusi [emoji3][emoji3]
Hawezi kujuta mkuu, hapo North london wanaenjoy life,that's why kina Luiz wanakuja kukamilisha ndoto zao,Mwaka uliofuata tukachukua ndoo
Wao wamemsajili Pepe na Auba wakaishia Europa bila kombe
Nakuambia Auba anajuta katika maisha yake kwenda Arsenal kama ambavyo Di Maria alijuta kusajiliwa na Manure, too bad!!