Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Nyie mpaka sasa mmekaa miaka mingapi bila kombe?[emoji851]Bila kumfunga liver unadhani we naye utaonekana ni timu?,Kazaneni kufunga timu kubwa ili mpande chart,yaani nyie mkikaa miaka 5 bila kombe lolote mnarudi level zenu za Blackburn rovers tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Gap la kwenye FA sio kubwa kama gap la kwenye ligi.na husiniletee kitu ambacho nakifahamuWewe unakakamaza fuvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1512182View attachment 1512183
Naomba ulete na makombe ya ulaya ambayo arsenal na Chelsea ameshinda tuone tofauti yake ndo hapo utakapojua na king of londonWewe unakakamaza fuvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1512182View attachment 1512183
Halafu hii nayo iishakua pointless. Yan tuchukulie mfano kwakua Madrid kazidiwa makombe na Barca basi Madrid ni timu ndogo?Unayo mangapi mpaka sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa hivyo si mngekuwa timu kubwa sasa[emoji3]
Na ndio mngekuwa king of london, ila kwakuwa hamna mataji ya kutosha nyinyi mnabaki kuwa kama Brighton tu[emoji23]
Makombe matano[emoji23][emoji23][emoji23]?? Sio gape kubwa, ulikaa 50 yrs unasaka kombe moja tu ushasahau? Sasa hayo 5 si itakuwa karne mbili na nusuHujanielewa Gap la kwenye FA sio kubwa kama gap la kwenye ligi.na husiniletee kitu ambacho nakifahamu
Nakuheshimu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sio wa kuandika huu utopolo, nani kanipora ufalme wa london? Arsenal ni mfalme wa London wa muda wote,Halafu hii nayo iishakua pointless. Yan tuchukulie mfano kwakua Madrid kazidiwa makombe na Barca basi Madrid ni timu ndogo?
Kinachowauma ni ule utawala wenu wa London kuchukuliwa. Si kwamba hamjui ila ndio roho zinawauma mkisikia London is blue[emoji838][emoji838][emoji838]
Kwanini ubague mataji!!! [emoji23][emoji23]Ushashindwa wewe kama ndio hivyo basi Nottngham Forest kubwa kuliko chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ww kusanya mataji yako ya ulaya tupige mahesabu nani king
17 yrs now without EPL title and we still the Biggest club in london,try to catch us if you can.[emoji3][emoji3][emoji3]Nyie mpaka sasa mmekaa miaka mingapi bila kombe?[emoji851]
Wee una roho ya paka, kama ingekuwa hivyo si mngechukua ubingwa badala ya LiverpoolAuba 1 ni sawa na kikosi chote cha Chelsea kuanzia kipa mpaka striker
Timu bora London ni Chelsea iliyo nafasi ya 3, nyie 10 mnatia aibu
apa nmuwazia mount atacheza wapi akija huyu dogoHili deal litafanikiwa. View attachment 1512040
That biggest tag is only created by you, nyie mashabiki ndio mnasema Arsenal timu kubwa wakati ufukara umewazunguka nje ndani, hata kusajili hamuwezi mnaishia kununua makapi ya mil 817 yrs now without EPL title and we still the Biggest club in london,try to catch us if you can.[emoji3][emoji3][emoji3]
The invincible Arsenal[emoji123][emoji123]
#Coyg[emoji837]
Baku mlikuwa hivi hivi mkatukosesha raha maswa maswa nyieHuna uwezo huo mkuu, yaani nyie wepesi km karatasi, mimi siwazi kabisa unabisha tubet hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mafukara wa London hao wamefilisika. Hata kusajili hawawezi. Wanatuonea gere hao kuna siku watajilipua kwa wivuSasa wewe una ukubwa gani?
Mount na Havertz wanaweza kucheza namba nyingi, winga zote, viungo washambuliaji hata false 9apa nmuwazia mount atacheza wapi akija huyu dogo
Sisi hatununui makombe km nyie,ona mmetuletea mambo ya FFP mmeharibu na ladha ya football, Mwanzo hakukuwa na vitu km hivyo kabla hamjautaka ukubwa kwa nguvu, sio km timu hazikuwa na pesa,leo Halima wa Man u ni £80mil wakati kipindi cha Invincible huyu angekuja bure pale Gunners afu angekula bench pk alie [emoji3][emoji3][emoji3]That biggest tag is only created by you, nyie mashabiki ndio mnasema Arsenal timu kubwa wakati ufukara umewazunguka nje ndani, hata kusajili hamuwezi mnaishia kununua makapi ya mil 8