I asked Mason to strike through the ball more and you have to strike through it against top goalkeepers.
It is a great achievement for us to get to the FA Cup final, to win a semi is great but to win the final is the main thing.
It is between us, Chelsea and Leicester for those last two positions, the more help we get from others the better, of course, but we know we must do our job on Wednesday.
Kwenye uefa sidhani kama tutafua dafu, wacha tupambanie tubaki top 3, maana uwakika wa kubeba FA tayari tunao..Mkuu mimi nina imani kubwa na Lamps, hata kama ni goli najua atajitahidi hata tupate ushindi wowote ule. Hata kama wakitutoa ila shughuli yetu waipate bhana
Ndo uwezo wao ulipoishia sasa wafanyaje? Kila mtu ashinde mechi zake..Angali kocha wao alivyo maskini, anategemea LFC au Chelsea waboronge ndio wao waingie top 4, poor MANURE
Solskjaer on the race for the top four
Abraham fainal anaeza akacheza..utashangaa Giroud anaanzia sub..Mtu ambaye simuelewi Ni Abraham sijui kwanini lazima achezeshwe hata Kama haitajiki kuchezeshwa.
Tammy ataimarika tu no way out. Kwa sasa tubaki na Mzee wetu Giroud. Tammy anaweza pelekwa kwenye mkopo ili akajiimarishe maana kwa mtaji huu wa Giroud kuwa form akija Timo hata sub Tammy hatapataEti ndumu ya wapi hahahahaha[emoji23], mkuu wangu nilishawahi kusema kwamba ABRAHAM anapocheza uwanjani wachezaji wenzake wanavunjika moyo wanafahamu kabisa pale mbele hakuna finisher, pass na mipira itapotea bure.
Angalia Giroud akianza anapata mipira mingi sana wachezaji wenzake wanafahamu Giroud akipewa pass mbili tatu, moja anaweka kambani.
Giroud Ana uzoefu na tunahitaji watu wanamna hiyo kuliko hao vijana lapard lazima ajue hilo tunahitaji consistency sio kuibuka na kipotea tena tunahitaji furaha ya muendelezo plz atambue winning teamTammy ataimarika tu no way out. Kwa sasa tubaki na Mzee wetu Giroud. Tammy anaweza pelekwa kwenye mkopo ili akajiimarishe maana kwa mtaji huu wa Giroud kuwa form akija Timo hata sub Tammy hatapata
Sawa ntamwambia mkuu.Nyie mlio karibu na Lampard muambieni apange hii hii timu kwenye mechi mbili za ligi zilizobaki
Na pia muwaambie hao wachezaji kuanzia kwa Zouma, Rudiger Azpi, James, Alonso, Kovacic, Jourginho, Mount, Giroud na Willian, wembe ni ule ule, pressing ni ile ile, defending ni ile ile mpaka kieleweke. Tunahitaji point sita ili tubaki no. 3
Malizia vizuri, kuna condition hapo kaiweka.Willian Adai Yuko Tayari Kusaini mktaba kesho
“Chelsea only offered me two years and I asked for three. My goal is the next contract to sign for three years. I haven’t had a deal with Chelsea yet.
"This is what I asked the club for, three years of contract. If you give me that, I’ll get the pen and sign the contract tomorrow.”
Uefa tunacheza baada ya kumalizana na Arsenane.Kwenye uefa sidhani kama tutafua dafu, wacha tupambanie tubaki top 3, maana uwakika wa kubeba FA tayari tunao..
Lazima tulipe kisasi cha 2017..
Wee angalia Giroud alivyomtoka Lindelof, utaipenda. Angekuwa Tammy nafikiri angesubiri nyumaAzipucuta [emoji3591] GiroudView attachment 1511487
Hii bunduki ilikua ya moto kiasi kwa Dagaa akaona bora aiachie tuMount BulletView attachment 1511492
Game ya jana LFC vs Spurs ndo imetubeba zaid, japo nilitaka LFC ashinde..Mechi na Liverpool itaamua kama tutabaki top 4 au tutegemee mechi ya mwisho
Mpango mzima uko hivi
Scenario ya kwanza
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya pili
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tatu
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya nne
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tano
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukafungwa na Liverpool tutakuwa na pts 63
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima tushinde ili tuwe na uhakika wa top 4 bila kujali matokeo ya LFC na MU
Scenario ya sita
Man U afungwe na Westham atakuwa na pts 62Hata tukipoteza kwa liverpool bado tuna pts 63 juu ya MU na LFC
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U na LFC watwangane ili mmoja awe na uhakika wa top 4
Kwa kufanya hivyo sisi hata tufungwe tena na Wolves bado tupo, wakijifanya kutoa droo wakitegemea tutafungwa na Wolve halafu takadroo tu, Man U atakwenda na maji kwa sababu ya GD yake ndogo dhidi ya LFC
Scenario yeyote ya raundi ya 37 bado itainufaisha Chelsea kwa sababu mechi ya mwisho ndizo zitakazoamua nani kati ya Man U na LFC aingie top 4. Na hiyo mechi ya mwisho itawakutanisha wao wenyewe wachinjane kwa faida ya Chelsea
Jana giroud aliwachachafya sana mabeki wa manyuuuMaguire hapa alikua akicheza disko au akikaba, Goli la kwanza la Giroud
View attachment 1511424
Manchester United’s unbeaten run is finally over.
United hadn’t lost since January 22 when they fell to a 2-0 loss at home to Burnley.
True, ila sub ya Odoi angewaingiza simultaneously na Pedro. Sema kicha sijui ana bifu gani na jamaa. Anampa dakika za kukimbia kimbia tu. Hata kama anaondoka ila si kwa mtimanyongo huuLampard kile kikosi cha jana alikipanga yeye kweli!!??..jana alipanga kikosi kitamu sana