Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Lampard hajawahi kumbania Kova, labda pengine hujafatilia kwa makini Kova asipocheza ujue majeruhi akianza benchi ujue bado hana match fitness ndio maana maranyingi nafasi yake anachukua BarkleyKovacic ni mchezaji mzuri sanaaa mi huwa namshangaa lampard anavyombania
Acha kujisahaulisha nilichokufanyia BAKU mkuu ohooo😂😂😂, we ngoja uongee tu!Mkuu wakumbushe tulivyokutana palepale Wembley miaka michache nyuma huku wana hazard,Costa na takataka nyingine ubao ulisomekaje.
Enzi hizo ⚽Ramseeeyy!
Yule teja anajiita Gpili mara mwisho kuonekana ni masaa matatu yalopita alionekana anachukua kitoko walau kwenda kujituliza na lolote litakalotokea.
Wewe mimi nina forward wa dunia Aubameyang, alafu uniwekee beki mzoga km Ruediger. unatafuta shida wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Arsenal hana uwezo wa kuifunga Chelsea kwa sasa. London is Blue[emoji838][emoji838]
Amnaa mkuu ..wee ishi kwa aman, "all options are on the table" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini Pulisic nje aisee! ... mnataka tusikae kwa amani huku mtaani wazee? ...
Shoga alafu malaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We shoga malaya tafadhali usini quote
Kwani anateseka?Unataka kusemaje
Huwa nafurahi sana kuona wakina dada wanashabikia timu kama Chelsea..naona ni wanawake wenye busara sana[emoji846][emoji846][emoji846][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuna mwenzio nimekaa naye hapa ananisimanga mpaka nataka kuanguka,
Ahahaha usimkumbushe machunguUnabonyeza BAKU
Alisikika mlevi mmoja..Hili kombe nachukua dk ya 30 tu, vibonde nyie tunajipigia mapema sn.
Mnyama Lacazette karudi form, huku nina Nico Pepe, Kule foward kali duniani Auba, nani wakutuzuia Utopolo nyie.Mlishindwa tukiwa nusu na watoto kina Martinelli mtaweza full mkoko.