John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Naam km game ya city tuKwenda sawa na kasi yao tutafungwa, hatuna uwezo huo wa kwenda jino kwa jino (Mount, Jognho, Barkely) hawa watamezwa.
Tusimpe advantage ya kucheza kama anavyotaka, Bora tubane tufunge njia zote/ gap zote. Game plan iwe counter attach (Pulisic & willan) au twende kwenye penalty. [emoji23]
Mfumo sahihi wa kumfunga man u Ni 3-4-3 basi sio tofauti na hapo huo mfumo unaosema wewe ndio aliofungwa na ole Mara tatuMkuu hapo kati lazima viungo waongezeke hatuwezi kuwa na mabeki wengi ivyo hasa tunacheza na timu ambayo nayo inataka kuhold mpira. Amini nakuambia lazima kwenye kiungo atakuwepo Mount. Then na RLC Wanaweza kuingia badae.
Pulisic-Giroud-Willian
Mount-Jorginho-Kovacic
Alonso-Rudiger-Zouma-Azpilicueta
Hapo 4-3-3 lazima itumike walau tunaweza kwenda sawa na kasi yao. Since Kanté hatakuwepo itabidi Kova amuachie Mount awe anapanda zaidi then yeye Kova astick zaidi katika ukabaji huku ushambuliaji ufanywe zaidi na mawinga.
Mkuu 3-4-3 tuna viungo gani wenye ubavu kukabiliana na kina Matic, Pogba na Bruno? Kanté angekuwepo sawa ningekubali lakini hayupo na sote tunafahamu mistakes za Jorginho. Kesho tunahitaji wings wanaoweza kupandisha timu then viungo wasaidie ukabaji sana.Watatumaliza kwenye hii formation
Alonso is a wing-back more than an LB
Kama ni 4-3-3 lazima Azpi acheze LB
Mimi ninachoona kocha ataanza na 3-4-3 na baadaye kuwaingiza Akina Mount, Barkley na James kuswitch kwenye 4-3-3 kwa kumuondoa Alonso na wengineo watakaokuwa wamechoka au kubakia na formation hiyo hiyo kama mambo yameenda vizuri
Ndio maana nikasema ushambuliaji ufanywe zaidi na mawinga viungo hatuna wa kuwrza kuwadhibiti Matic, Pogba na Bruno. Viungo wetu wasaidiane na mabeki kwenye ukabaji huku Azpi na Alonso wasaidie kwenye mashambuliziKwenda sawa na kasi yao tutafungwa, hatuna uwezo huo wa kwenda jino kwa jino (Mount, Jognho, Barkely) hawa watamezwa.
Tusimpe advantage ya kucheza kama anavyotaka, Bora tubane tufunge njia zote/ gap zote. Game plan iwe counter attach (Pulisic & willan) au twende kwenye penalty. [emoji23]
Mkuu kama uliangalia game na Man City. Sisi tulimfunga kwa sababu kuu mbili. Ya kwanza ni kwasababu ya weakness yake kwenye beki kama ulivyoona hasa lile goli la Pulisic japo hata uwezo binafsi wa mfungaji ulichangia ila asilimia kubwa ni uzembe wa beki sasa situation kama ile usitegemee kuiona game ya kesho. Pia issue ya pili ilipelekea ushindi wetu ni kwa sababu hawakuanza na striker. Either Aguero or Jesus kama angeanza mmoja wao mpaka kipindi cha kwanza kinaisha yawezekana tungekua tushakula hata goli 3 ni kwa sababu ya ubovu wa beki yetu kwa hiyo mistakes nyingi zinafunikwa na viungo(Kanté).Naam km game ya city tu
Ilo wazo lako ni zuri silipingi, hao city walifungwa nje ndani na utd na tena walikuwa wanashambulia kama unavyotaka we we, option nzuri ni kuemploy hyo formation ya 3-4-3 huku tukitumia pulisic n willian coz wanakasi....kama wakitupress kwa mbele na kuziba mianya ya pass tutumie long balls kwa hao winger maana wana kasi ukisema tushambulie afu kiungo Wa mwsho jorginho aisee ni kiamaMkuu kama uliangalia game na Man City. Sisi tulimfunga kwa sababu kuu mbili. Ya kwanza ni kwasababu ya weakness yake kwenye beki kama ulivyoona hasa lile goli la Pulisic japo hata uwezo binafsi wa mfungaji ulichangia ila asilimia kubwa ni uzembe wa beki sasa situation kama ile usitegemee kuiona game ya kesho. Pia issue ya pili ilipelekea ushindi wetu ni kwa sababu hawakuanza na striker. Either Aguero or Jesus kama angeanza mmoja wao mpaka kipindi cha kwanza kinaisha yawezekana tungekua tushakula hata goli 3 ni kwa sababu ya ubovu wa beki yetu kwa hiyo mistakes nyingi zinafunikwa na viungo(Kanté).
Sasa situation kama hiyo usiilete kwanye game ya Man U wenyewe wana striker wakali na wako moto pamoja viungo huwezi fananosha na Man City.
We jiulize kwa nini Man U kamfunga Man City nje ndani msimu huu? Mimi huwa siamini bahati kwenye mpira hawa jamaa wanajituma kesho tunahitaji kucheza mpira na sio tubaki nyuma kuwasubiri wapoteze ndio tufanye counter attack. Tutakula nyingi munooooo
Ninachosema mimi ni kwamba mbinu ya kuimaliza game mapema ni kushambulia mwanzo 4-3-3 then badae kama itafanikiwa ndio tunaswitch kuja 3-4-3. Kwanini nasema tuanze kushambulia kwa sababu kama tusimfunga Man U mapema tunaweza pata shida kupata ushindi mwishoni hawa ndio huwa wanacharuka.Ilo wazo lako ni zuri silipingi, hao city walifungwa nje ndani na utd na tena walikuwa wanashambulia kama unavyotaka we we, option nzuri ni kuemploy hyo formation ya 3-4-3 huku tukitumia pulisic n willian coz wanakasi....kama wakitupress kwa mbele na kuziba mianya ya pass tutumie long balls kwa hao winger maana wana kasi ukisema tushambulie afu kiungo Wa mwsho jorginho aisee ni kiama
LAMPARD alichosema ni kweli kabisa. Manyumbu kwa sasa mko form baraa, hii chelsea tunaingia kama underdog kwa sababu ya madhaifu makubwa timu tuliyonayo kwa sasa (beki ovyo, ushambuliaji butu, viungo nyanya).
Sisi kuwafunga nyie inategemea na madudu mtakayofanya uwanjani, tutatumia makosa yenu kama fursa kwetu kuwaadhibu. Fursa moja wapo pia ni De gea
Achane uzembe, nyie ndio mna nafasi nzuri ya kushinda.LAMPARD alichosema ni kweli kabisa. Manyumbu kwa sasa mko form baraa, hii chelsea tunaingia kama underdog kwa sababu ya madhaifu makubwa timu tuliyonayo kwa sasa (beki ovyo, ushambuliaji butu, viungo nyanya).
Sisi kuwafunga nyie inategemea na madudu mtakayofanya uwanjani, tutatumia makosa yenu kama fursa kwetu kuwaadhibu. Fursa moja wapo pia ni De gea
Hata yako siyo quote ya word to word. Ulichofanya wewe ni kujaribu kupulizia perfume kinyesi. Yan nilichobandika hapo na ulichoongea ni kilekile ila tu wewe unaremba maneno tu.Nadhani huyo Lampard ambaye amekuwa quoted hapo ni wa Namtumbo
Lampard wa Chelsea ya London pale UK, amesema
Ukweli ni kwamba tuna mechi ngumu dhidi ya United katika nusu fainali na hata fainali hutegemei kukutana na mpinzani rahisi
United kwa sasa wana best front three in the country, in terms of form and goals, ukimuongeza na Fernandez ambaye tangu asajiliwe ameipa zaidi nguvu United
Hiyo sio direct quotes (word to word) aliyoisema, ila ni elaborated quotes
Kama unadhani makocha wa Ulaya wanaropoka kama wale ma Lampard wa Namtumbo umepotea
Hata yako siyo quote ya word to word. Ulichofanya wewe ni kujaribu kupulizia perfume kinyesi. Yan nilichobandika hapo na ulichoongea ni kilekile ila tu wewe unaremva maneno tu.
Nyumbu
[emoji23][emoji23][emoji23] ushamind tayari. Je nikikufunga kesho si ndio utapasukaSawa Cheltako
[emoji23][emoji23][emoji23] ushamind tayari. Je nikikufunga kesho si ndio utapasuka
Wala hata siwacheki, mnaweza kutufunga wakati wowote kabisa ,ndio maana mko juu yetu kimsimamo.Acha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa huku unatucheka
Unajua unachokiongea..[emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu kama uliangalia game na Man City. Sisi tulimfunga kwa sababu kuu mbili. Ya kwanza ni kwasababu ya weakness yake kwenye beki kama ulivyoona hasa lile goli la Pulisic japo hata uwezo binafsi wa mfungaji ulichangia ila asilimia kubwa ni uzembe wa beki sasa situation kama ile usitegemee kuiona game ya kesho. Pia issue ya pili ilipelekea ushindi wetu ni kwa sababu hawakuanza na striker. Either Aguero or Jesus kama angeanza mmoja wao mpaka kipindi cha kwanza kinaisha yawezekana tungekua tushakula hata goli 3 ni kwa sababu ya ubovu wa beki yetu kwa hiyo mistakes nyingi zinafunikwa na viungo(Kanté).
Sasa situation kama hiyo usiilete kwanye game ya Man U wenyewe wana striker wakali na wako moto pamoja viungo huwezi fananosha na Man City.
We jiulize kwa nini Man U kamfunga Man City nje ndani msimu huu? Mimi huwa siamini bahati kwenye mpira hawa jamaa wanajituma kesho tunahitaji kucheza mpira na sio tubaki nyuma kuwasubiri wapoteze ndio tufanye counter attack. Tutakula nyingi munooooo
Hapana mkuu Pulisic composure yake nzuri sana..wakati wa break huyu jamaa ni mzuri sana.Hahahahaha[emoji23] nyie jamaa bana, acheni kutuzuga mchana kweupe, kesho mtupige marungu gizani.
Sasa Chelsea ina kikosi cha pili aisee? Nakuunga mkono Lampard labda anaweza kutoa sadaka mechi ya kesho, akapumzisha gari la mkaa akalifanyia matengenezo kwa ajili ya trip ya kumfuata Liverpool