Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Ila safari bado inaendeleaNyie mananga matokeo mnayo au mnajisahaulishaView attachment 1508987
"Na research ya nguvu umefanya halafu empty brain mmoja kwa simple words anasema takataka hiyo au kiazi wewe"[emoji23][emoji23]mtu umejipinda umeshusha nondo zako za maana kurasa kama 3 na ushehe kiustaarabu kwa lugha maridhawa kabisa, kanafumuka katoto huko hata hujui kalipochomokea kanaandika simpo tu maneno matatu "hii ni takataka" [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Dah,unabaki kumuhurumia tu.
Ni kweli mkuu Faraja katika hali ya taharuki ni muhimu.Mechi Vs Manyumbu naomba tusiijadili hapa tutawapa la kusema manyumbu, tukaeni kimya, tumuachie Mungu. Jumapili baada ya mechi itakuwa kicheko kwetu.View attachment 1507426
Dogo upo summer break nini?maana kwa madogo wanatumia mtaala wa kibongo wapo shule muda huu,Hii nayo ni takataka tu
"Hii nayo ni takataka""Na research ya nguvu umefanya halafu empty brain mmoja kwa simple words anasema takataka hiyo au kiazi wewe"
😂😂😂😂😂😂kanafumuka katoto huko hata hujui kalipochomokea kanaandika simpo tu maneno matatu "hii ni takataka"
Hii nayo ni takataka tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Hii nayo ni takataka"
Ni habari njema kwa Chelsea kwa Real Madrid kuchukua ubingwa kwani sasa wataweza kuitumia mojawapo ya clauses za bonus kwenye mauzo ya Hazard inayodai Real Madrid wakichukua ubingwa wa Laliga Chelsea italipwa paundi mil 18 ukijumliash na paundi mil 16.2 za kumuuza Pasalic sasa tuna Mil 34.2Eden Hazard na Tibaut Courtois wachukua ubingwa wa Laliga kupitia Real Madrid baada ya kuwachabanga Villarreal goli 2-1 usiku huu
Bado chelsea wana bonus kama real madrid akifuzu uefa watailipa chelsea £15mNi habari njema kwa Chelsea kwa Real Madrid kuchukua ubingwa kwani sasa wataweza kuitumia mojawapo ya clauses za bonus kwenye mauzo ya Hazard inayodai Real Madrid wakichukua ubingwa wa Laliga Chelsea italipwa paundi mil 18 ukijumliash na paundi mil 16.2 za kumuuza Pasalic sasa tuna Mil 34.2
Hii naona ndo best optionKutokuwepo kwa Kante twendeni na 3-4-3 defensive zaidi
.........Pulisic - Giroud - Willan.......
Alonso - Kovacic - Joginho - James
.......Rudger - Zouma- Azipucueta.....
Mkuu hapo kati lazima viungo waongezeke hatuwezi kuwa na mabeki wengi ivyo hasa tunacheza na timu ambayo nayo inataka kuhold mpira. Amini nakuambia lazima kwenye kiungo atakuwepo Mount. Then na RLC Wanaweza kuingia badae.Kutokuwepo kwa Kante twendeni na 3-4-3 defensive zaidi
.........Pulisic - Giroud - Willan.......
Alonso - Kovacic - Joginho - James
.......Rudger - Zouma- Azipucueta.....
Watatumaliza kwenye hii formationMkuu hapo kati lazima viungo waongezeke hatuwezi kuwa na mabeki wengi ivyo hasa tunacheza na timu ambayo nayo inataka kuhold mpira. Amini nakuambia lazima kwenye kiungo atakuwepo Mount. Then na RLC Wanaweza kuingia badae.
Pulisic-Giroud-Willian
Mount-Jorginho-Kovacic
Alonso-Rudiger-Zouma-Azpilicueta
Hapo 4-3-3 lazima itumike walau tunaweza kwenda sawa na kasi yao. Since Kanté hatakuwepo itabidi Kova amuachie Mount awe anapanda zaidi then yeye Kova astick zaidi katika ukabaji huku ushambuliaji ufanywe zaidi na mawinga.