Wewe ni Empty setWe takataka malizana kwanza na livakuku ndio uje huku
Huna team JUMA LOkoLe [emoji23] [emoji23]Sawa Amba ruti
Wewe nawe kama unatimu kumbe kikundi cha kikoba [emoji23][emoji23][emoji23]We takataka aka bichwa maji leo unabakwa na livakuku
Hata wewe unayedandia hoja za wengine ukikaa kimya utaonekana una hekima, kwa sababu wao ni wazungu hawapangi matokeo??? kama ni hivyo kwa nini wameweka mechi zote saa moja na kuondoa maximization ya TV broadcast? Wanaume wanapochangia mada unatakiwa ukae kimya na kujifunza kwanzaSasa unafikiri epl ni kama vpl wapange matokeo.!!?? Mda mwingine ni vizuri kukaa kimya
Nimekuelewa sana mkuu,Hata wewe unayedandia hoja za wengine ukikaa kimya utaonekana una hekima, kwa sababu wao ni wazungu hawapangi matokeo??? kama ni hivyo kwa nini wameweka mechi zote saa moja na kuondoa maximization ya TV broadcast? Wanaume wanapochangia mada unatakiwa ukae kimya na kujifunza kwanza
HONGERA MKUU KWA KUVURUGA REKODI YA KARNE YA MABINGWA EPLNimekuelewa sana mkuu,
Wanaume wakiwa ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msipodhibiti hivyo vitoto humu,hili jukwaa litapoteza thamani mkuu,
Big up.
Mimi leo nishachinja jogoo nikiamka nakunywa supu na chapati[emoji490][emoji490]
Uwe na usiku mwema.
Umembahatisha Liverpool kumfunga alikuzidi kila kitu by far.Nimekuelewa sana mkuu,
Wanaume wakiwa ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msipodhibiti hivyo vitoto humu,hili jukwaa litapoteza thamani mkuu,
Big up.
Mimi leo nishachinja jogoo nikiamka nakunywa supu na chapati[emoji490][emoji490]
Uwe na usiku mwema.
Wolves top four ni kama zero kwa sasa, utabiri wako doomedTop 4. 1 Liverpool 2.man City 3.Man utd 4.wolverhampaton . Hifadhini hawa maneno [emoji39]
Ndio umeongea nini sasa,[emoji23][emoji23][emoji23]Umembahatisha Liverpool kumfunga alikuzidi kila kitu by far.
Na wewe subiri uokote mkuu maana upo njia hiyohiyo[emoji23]Hongereni sana jana mmeokota pochi ya mzungu
Watu wa London ndio tumevuruga rekodi ya jamaa,HONGERA MKUU KWA KUVURUGA REKODI YA KARNE YA MABINGWA EPL
www kichwa cha maji taka tu hapo huna loloteAcha kuwa unaandika takataka kiazi ww
Ila Sheffield waliokumalizia pakti sio walevi?maana nae nilimgonga kama huyu wa jana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmecheza na walevi wanalala bar tokea wamechukua ubingwa unakuja kujitapa umemfunga liva.
Midtable teams bhana mnakera.
Mdogo wangu mimi nipo humu toka JF inaanza ,na hii acc nimeifungua mwaka 2011 baada ya ile ya awali kupigwa ban hivyo ikapelekea kuwa na multiple ID's baada ya ile ya awali kurudi mods wakaziconnect, so siku nyingine uje ukiwa na adabu ntakuzaba vibao,Dogo acha kuyumba, umeshindwa kujiongeza kuangalia profile yangu ujue mi na wewe na dogo?! Siku nyingine ukifeli vitu vidogo kama hivi nitakunasa makofi.
Asa wewe na sheffield wote si midtable haina ishu, ishu ni midtable kumfunga chelsea au liva.