Mbona nimesoma mahali ameongezewa mwaka mmoja tu hadi 2023?Hutaamini dogo anakula mkataba mrefu zaidi.
Majeruh ndo yanaua vipaji sana dogo akiludi ashapoteaMajeruhi ya Bill Gilmour nje ya soka kwa miezi 4
Hatari!!
Nafikiriri Tammy Abraham ndio Superstar wa hi team kwa sasa hamna zaidi anastahili mkataba mnono [emoji41]Most league points won by goals:
Sadio Mane 18
Raul Jimenez 18
Pierre-Emerick Aubameyang 16
Tammy Abraham 14
Keep in mind this is Abraham's first season playing for Chelsea as well. There's a lot more to come.
PUT SOME RESPECT ON HIS NAME
Hata mimi nimesoma hivyo mahali. Nadhani huo mwanzo tu kuelekea kwenye mkataba mrefu. Mimi sioni kama atauzwa au atapelekwa popote kwa mkopo naona nafasi yake ya kuwepo darajani kama striker no 2 bado ipo.Mbona nimesoma mahali ameongezewa mwaka mmoja tu hadi 2023?
Walichofanya hawakumpa mkataba mpya bali Tammy Abraham ameactivate clause iliyokuwepo kwenye mkataba wa zamani inayompa yeye mamlaka ya kuongeza mwaka mmopja hadi 2023. Kama ni mkataba mpya bado sana
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]We jamaa mbona unajikomba sana kwenye hili jukwaa? Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu wewe kila saa unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowoo.
Nakubaliana na wewe kuhusu hawa plastic fans, lakini kutembeleana kwenye nyuzi mbona hata wewe huwa hukauki Kule kwenye uzi wetu??Mashabiki wenzangu nqwaomba msiweweseke n hili wimbi la nyumbu kwenye uzi wetu tena wengi wao wanakuja kututukana. Wengi wao ni wale wasiojua mpira wanaenda na mihemko tu. Jiulizeni kipindi cha nyuma mbona hawakuonekana leo hii wao ndio wanatuita sisi weupe.
Hao ni aina ya plastic fans wanaibuka kimihemuko hasa timu ikiwa inafanya vizuri ikifanya vibaya ndio waleunaanza kuwasikia kocha Ole afukuzwe. Kwa kifupi ndio tunaita mashabiki maandazi. Iliwaumie vizuri na mechi ya FA tunawqtoboa halafu tunawafa kulekule kuwakejeli bila kuwatukana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu wewe kila saa unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowoo.
Na wewe usikimbie!Tutaona na uhakika hamtoboi
Official: Bruno Fernandes' second goal against Brighton wins Premier League Goal of the Month for June #mulive
Ole Gunnar Solskjær has confirmed that Bruno Fernandes will take both penalties against Southampton on MondayOfficial: Bruno Fernandes is the Premier League Player of the Month for June #mufcView attachment 1502842
Marefa including wa VAR wa EPL wanachekesha sana, Jana badala ya Bruno kupewa red card kwa kumchezea vibaya , dangerous foul beki wa Aston Villa eti walipewa penalti. Kuna uhalifu mkubwa sana ndani ya mpira. Man U wameanza kubebwa kama enzi za Fergusson
Hiyo king'eng'e chenyewe kimekosewa utajua tu aliyefoji ni mlughalugha[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1503291
Mnaharibu sana huu uzi na matusi yasiyo na tija. Kuwa na nidhamu basi kwa member wenzako!We jamaa mbona unajikomba sana kwenye hili jukwaa? Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu wewe kila saa unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowoo.
Serious!?☹️☹️☹️According to reports in Germany,Chelsea are eyeing up a 40million pound bid for Manchester United star Phil Jones.It is understood that Phil Jones is willing to part ways with the club after 9 years and with Lampard being a big fan of Jones,the deal looks likely to happen.[SportGermany]
Sawa James deliciousSawa mariam birian