Gilmour sio MwingerezaUbaguzi upi? Mbona hali imekuwa ngumu baada ya Joginho kuingia?
Alafu ubaguzi wake uko wapi?
Kepa
Christensen
Zouma
Azpillicueta
James Reece( Mwingereza)
Gilmour (Mwingereza)
Mount (Mwingereza)
Barkley ( Mwingereza)
Pulisic
Willian
Giroud
Waingereza wanne kuanza kwenye ligi ya Uingereza ndo ubaguzi?
Badala ya Mount ulitaka aanzishwe nani?
Badala ya Barkley nani alipaswa kuanza?
Badala ya Girmour ulitaka acheze nani?
Angalia performance yao mechi hizi 3 alafu useme ni nani amedisappoint katika mechi hizo?
Mechi iliyopita Mount man of the match, Barkley kafunga mechi iliyopita, Kante ameumia, Kovacic ameumia; nani areplace hao waingereza?
Tena iliyolowa majiWewe utakuwa blauzi..
Ndg, muhimu pointi 3 makosa tutarekebisha mechi zijazoHiv mnaongea nn nyie watu.!!! Inamaana mmesahau dakika 10 kabla ya mchezo kuisha tulivyo shambuliwa na huyo Jo alikuwepo, acheni ushabiki maandazi
The blauzWewe utakuwa blauzi..
mkabaji bora kante yupo beki ni muhimu kuliko DM Chelsea needs New cb and lbKwa upumbavu huu waliocheza leo Chelsea tunapaswa tusajili beki zote pale nyuma kasoro upande wa Azp, kiungo mkabaji huyu ni lazima. Chelsea tukipoteza mpira tuna hangaika sana kuupata hapa Savic asajiliwe
Tulia wewe huna team kikundi cha kwaya kileTuseme ukweli lile goli la Tammy katafuniwa na RLC
Willian kamosa goli la wazi mazingira yale yale Tammy kakosa tungekuwa 5-2
Nani ana uwezo zaidi ya Barkley ambaye ulitaka aingie?Huyo Barkley alikua anaruka ruka tu, hamna alichokua anafanya. Ndio kasababisha wenzie wakalemewa.
Swali zuri akikujibu nitagNani ana uwezo zaidi ya Barkley ambaye ulitaka aingie?
Pia Ni mistake ya kipa zaha kapiga palepale alipo kipa lakini kipa kashindwa kusaveHapa Kante angezima hili shambulio, viungo walijisau View attachment 1500574
Ila tuombe timu yetu haiko kwenye fomu kabisa arafu haina wakuibeba kama real Madrid inovo bebwa kule la ligaZimebaki mechi 4 tukamilishe mzunguko wa ligi, hapo tukishinda mechi 3 tuu tunamaliza top 4.
Lazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo[emoji23][emoji23]Mashabiki wengi wa Chelsea sio wavumliv na wanafiki weng sana , kila timu inapitia kipind cha mpito Ila kuna mashabiki hawaon ,
Timu kubwa Kama Barcelona Madrid nazo zina suffer viwango vya wachezaji vibovu but still wanvumilia
Ukiwa shabiki ushindi t timu ikifungwa unkuw mpinzan bas utkuw unaumia kila siku
Kwahiyo wewe unakadi ya Manchester yako au unatambuliwa na mliki muondowe roho mbaya fitna na unafiki kwa timu za wezenu nyie mbaki na simba yanga zenu zenye kuamini uchawiLazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo[emoji23][emoji23]
Haina na haijawahi kuwa na mashabiki wa kweli especially huku Tanzania,wengi ni wale walioletwa na upepo wa kisulisuli kutoka katika timu mbalimbali walizokuwa wanashabikia baada kupitia kipindi kigumu mfano Liverpool,Man utd na Arsenal[emoji41] vishabiki vya chelsea vingi ni vitoto visivyokuwa na uvumilivu na vinafki, yaani sawa na mwanamke anayeishi na mwanaume kutokana na pesa na pindi mwanaume anapochalala vinatafuta dume lingine,
Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama,
Aliyekuwa shabiki wa Chelsea kabla ya Mourinho ajitokeze hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katimu kakipotea kila nguchiro atarudi katika kichaka chake[emoji41][emoji851]
Pia tuna Man uNext fixtures
Sheffield United A (Hii tunashinda)
Norwich city H (Tunashinda)
Livepool A (Inategemea na hawa jamaa wameamkaje)
Wolves H (Tunashinda)
Kwa wolves naona kama draw liver tunaweza kushinda......hawana la kupotezaNext fixtures
Sheffield United A (Hii tunashinda)
Norwich city H (Tunashinda)
Livepool A (Inategemea na hawa jamaa wameamkaje)
Wolves H (Tunashinda)
Bro jisemee wewe kutokana umri wako au upeo wako! Ila wengine tumeanza kushabikia Chelsea kitambo na tuna sababu zetu na hatujawah ongea Kama hvi... Me nmeanza na Chelsea ya Ranieri 2002/2003 ndo najielewa naanza kuipenda Chelsea Ila 2004 ndo nkazidi ipenda Mourinho anakuja pamoja na drogba so ukisema b4 Mourinho hamna alikuwa shabiki unakosea ko jisemee mwenyweLazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo[emoji23][emoji23]
Haina na haijawahi kuwa na mashabiki wa kweli especially huku Tanzania,wengi ni wale walioletwa na upepo wa kisulisuli kutoka katika timu mbalimbali walizokuwa wanashabikia baada kupitia kipindi kigumu mfano Liverpool,Man utd na Arsenal[emoji41] vishabiki vya chelsea vingi ni vitoto visivyokuwa na uvumilivu na vinafki, yaani sawa na mwanamke anayeishi na mwanaume kutokana na pesa na pindi mwanaume anapochalala vinatafuta dume lingine,
Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama,
Aliyekuwa shabiki wa Chelsea kabla ya Mourinho ajitokeze hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katimu kakipotea kila nguchiro atarudi katika kichaka chake[emoji41][emoji851]