juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Issue za penalt huwa zinategemea na matokeo ya mda huo mbona penalt ya 2 iliyopatikana alipiga drogbaTuache unafiki, nyie si ndio kila siku mnasema Jor kama hawezi kucheza pembeni auzwe!!! Kuhusu benchi nadhani hii kila siku nasema humu Lampard ana Uingereza mno na ndicho kitakacho muharibia. Kumbuka ile penalti alimzingua Drogba akaenda kupiga yy wakati Drogba alikuwa kwenye bio za kuwania kiatu cha dhahabu. Alifanya hivyo sababu ya Uingereza ili rooney achukue kile kiatu lakin bahati nzuri haikuwa hivyo.
Hahaa tulia mzee Chelsea ni gari la mkaa.
GGMU
Barkley anafaa attacking roles sinui Lampard alikiwa anawaza nini. Kweli Jo angeza hata zile 2 zisingeingiaJorginho angeanza tangu mwanzo Hawa jamaa wasingepata magoal yao kirahisi ndio mjue umuhimu wa jorginho baada tu ya kuingia kila kitu kikabadilika sijui kwanini Lampard anampiga benchi huyu jamaa?
Hahaa hao mkono unawahusu hawatuumizi kichwa kabisa, kama walifungwa na hii Chelsea mbovu wasitarajie kupata kitu kwetu.Subiri uone Samatta atakavyo kuchafua kesho
Hatuna beki kwa kweli.Tatizo hili mchezaji hajakabwa mpaka anapata nafasi huru ya kupiga komboraView attachment 1500350
Kweli mkuu sare 3-3Bado goli moja mkuu mechi inaisha sare hii
GGMU
Acha kutupigia kelele ..iyo man u unaona ni timu ya kuleta ushindani wowote. Linapokuja suala la kombe mbele yetu huwa hatuna cha man u wala takataka yeyote ile..Chelsea beki yenu inafunguka sana, alafu DM hasaidii kulinda ukuta ipasavyo, ngoja mkutane na Man Utd FA Cup jinsi beki yenu inavyokatika mtawatafuta ubaya Bruno,Rashford+GreenWood
Kakosaje sasa ..pale Willian asingeweza kufungaTuseme ukweli lile goli la Tammy katafuniwa na RLC
Willian kamosa goli la wazi mazingira yale yale Tammy kakosa tungekuwa 5-2
R.James alikuwa uchochoro kabisa..Kwa upumbavu huu waliocheza leo Chelsea tunapaswa tusajili beki zote pale nyuma kasoro upande wa Azp, kiungo mkabaji huyu ni lazima. Chelsea tukipoteza mpira tuna hangaika sana kuupata hapa Savic asajiliwe
Sawa mkuu hongera kwa ushindi wa pressure.Kweli mkuu sare 3-3
Wewe utakuwa blauzi..Ila kepa ni shati nyie dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuseme tayari mumemaliza aya hongereni.Usiwe na haraka mzee amini kwamba tutamaliza juu yenu kwenye msimamo.
GGMU
Joghihno kaleta impact ndogo sana sema imesaidia ..angalia walivyotukosa mpaka mabesela ..tuseme tu hii game ilikuwa upande wetuJorginho angeanza tangu mwanzo Hawa jamaa wasingepata magoal yao kirahisi ndio mjue umuhimu wa jorginho baada tu ya kuingia kila kitu kikabadilika sijui kwanini Lampard anampiga benchi huyu jamaa?
Hahaaaa maneno yako yanaonesha wazi kuwa unaiogopa Man Utd, na kwa hii beki yako Greenwood atapiga hat trick siku hiyo.Acha kutupigia kelele ..iyo man u unaona ni timu ya kuleta ushindani wowote. Linapokuja suala la kombe mbele yetu huwa hatuna cha man u wala takataka yeyote ile..
Tulia ivyo ivyo..
Hahahaaaa tulia mkuu Ollachuga.Tuseme tayari mumemaliza aya hongereni.
Ubaguzi upi? Mbona hali imekuwa ngumu baada ya Joginho kuingia?Acha kutetea upuuzi, game la leo limekua gumu sababu ya ubaguzi wake. Jog hakutakiwa kuanzia benchi! Mambo gani haya naangalia gemu nimebana mapu. mbu mpk sahiz pu. mbu zote zinauma.
Ile penalt y pili aliona noma tu kumkatalia drogba, ila lengo lake ilikua rooney ndio achukue kiatu.
Mzee Hawa jamaa walituwin kwasababu dogo gilmour alishindwa kucontrol mpira Kati ndio maana jamaa waliapata upenyo wa kutushambulia lakini Kama jorginho angeanza tangia mwanzo mpira Mara nyingi ungekuwa kwetu so why nimeongea hivyo.Hiv mnaongea nn nyie watu.!!! Inamaana mmesahau dakika 10 kabla ya mchezo kuisha tulivyo shambuliwa na huyo Jo alikuwepo, acheni ushabiki maandazi
Hao jamaa walipata nguvu kwa baada ya kuruhusu magoal rahisi lakini mwanzo kabisa game ilikuwa yet sema Ni kwamba dogo gilmour alizingua kwa kashindwa kucontrol game katikati lakini kutuliza temple ya mchezo dhidi ya upinzani hii ndio ikawapa team pinzani mwanya lakini Kama jorginho angeanza tokea mwanza game ingekuwa yetu kutokana na ubora wa jorginho wa kucalm pressure ya team pinzani lakini pia ubora wake wa kucontrol game tusingeweza kuruhusu magoal ya kijinga Kama yale.Joghihno kaleta impact ndogo sana sema imesaidia ..angalia walivyotukosa mpaka mabesela ..tuseme tu hii game ilikuwa upande wetu
#CFC[emoji170][emoji170]
Nimeangalia HD, alibaki na beki mmoja tu wala sio ukuta.Kakosaje sasa ..pale Willian asingeweza kufunga
Ollachuga wewe ulikuwa unaangalia mpira gani, tangu Chelsea wafungwe goli la kwanza nilikuwa nabana miguu tu hadi alipoingia Jo ndio tukapumua, japo Palace waliendelea kutushambulia lakini at least katikati kulitulia. We angalia replay ya goli la kwanza la palace, katika hakukuwa na kiungo yeyote. Hata timu ya watoto wa darasa la kwanza hawafanyi hivyo. Angekuwepo Kante hapo huo upuuzi usingekuwepoJoghihno kaleta impact ndogo sana sema imesaidia ..angalia walivyotukosa mpaka mabesela ..tuseme tu hii game ilikuwa upande wetu
#CFC[emoji170][emoji170]