Kwahiyo timu kubwa unaijudge kwa uefa?[emoji23][emoji23][emoji23]basi Nottingham Forrest ni kubwa kupita chelsea[emoji1]Sasa arsenal timu kubwa una UEFA ngapi na chelsea timu ndogo ina UEFA ngapi? Hata EPL nimekupita kimafanikio.
Imekaa vzr hiiPrediction Chelsea vs Crystal Palace
Formation: 4-3-3
Giroud, Pulisic
Pulisic - Giroud - Willian
Mount - Jorginho - Barkley
Azpilicueta - Zouma - Christensen - James
Kepa
Huo ndio upuuzi wa ArsenalHalafu utashangaa ndio wanapigwa. Arsenal timu y hovyo sana.
Kwahiyo kati ya westham na chelsea nani mpuuzi wa london[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo ndio upuuzi wa Arsenal
Leo usipomfunga Leicester city usije kabisa kwenye Hili jukwaaKwahiyo kati ya westham na chelsea nani mpuuzi wa london[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki kikosi uhakika kabisaPrediction Chelsea vs Crystal Palace
Formation: 4-3-3
Pulisic - Giroud - Willian
Mount - Jorginho - Barkley
Azpilicueta - Zouma - Christensen - James
Kepa
ENZO na LONDON IS BLUE Wakimuonaga tu Barkley matumbo yao yanachafuka sijui Barkley kawakosea Nini?Hiki kikosi uhakika kabisa
Barkley anauzi siku akiamua kusinzia uwanjani na anauzi kweli kweli kama mtu huna uvumilivu unaweza mvamia uwanjani kama upo. Lakini uzuri wake akiamua kucheza huwa analeta matokeo yanayotakiwa na ndio maana wakati mwingine kuna mashabiki walimuitwa The Next FLENZO na LONDON IS BLUE Wakimuonaga tu Barkley matumbo yao yanachafuka sijui Barkley kawakosea Nini?
Cash Money Forever
Hapa kazingua Sana.Lampard kaamua kuanza na Gilmour badala ya Jorginho.
Caballero keshakula kandarasi ya mwaka mmoja tena. Hata ivyo akiondoka unadhani nani atasimama kama mbadala wa Kepa?Zouma
Barkely
Joginho
Emarson
Batshuayi
Caballero
Nahisi hawa jamaa watauzwa dirisha hili.
Tusi judge sana. Ngoja tusubiri muda utasema.Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kushinda hii mechi kwa kumtegemea dogo Glimour hapo katikati.
Dogo hana uzoefu aisee hii sio FA nini hichi jamani?
Labda sio kwa crystal palace ninayoijua mpira wa nguvu nyingi, hapo katikati patakuwa lango la adui.
Wacha tuone hii mechi itakuwaje
Ngoja tuone kajipanga vipi na huyo dogo. Ila midfield naona iko nyoronyoro mno. Yan hapo kati hakuna matured hata mmoja. Bora hata kwenye backline angekuwepo Rudiger.Lampard hayuko serious kumaliza top 4.
Hivi back up kipa ni lazima awe mtu mzima hivyo?Caballero keshakula kandarasi ya mwaka mmoja tena. Hata ivyo akiondoka unadhani nani atasimama kama mbadala wa Kepa?
Si ndiyo maana kaanza na Barkley!??Ngoja tuone kajipanga vipi na huyo dogo. Ila midfield naona iko nyoronyoro mno. Yan hapo kati hakuna matured hata mmoja. Bora hata kwenye backline angekuwepo Rudiger.
Hao watoto inabidi wapate playing time ya kutosha. Back up ya makipa unahitaji mzee mwenye experience ya kutosha anaweza kuhandle pressure.Hivi back up kipa ni lazima awe mtu mzima hivyo?
Tuchukue dogo wa under 21 team.
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app