Hawana technical director mzuri.ARTHUR MELO VS PJANIC
Hivi wadau hili dili lina maana gani kwa Barcelona kumuuza Melo mwenye umri wa miaka 23 kwa £72M na kumnunua Pjanic mwenye umri wa miaka 30 kwa £60M.
Kwanini barca wamefanya biashara ya namna hii?
Na wewe kule kwenu unajifanya ndio nani vile?nikiingiaga humu jukwaani huwaga siachi kucheka maana mnavyodiscuss utasema Cash Money Forever ndio skaut mkuu, lembu ndio Lampard , innocent dependent ndio mshua Roman na Ollachuga Oc ndio Marina hahahahaha yaani mnajivika uhusika wenyewe kabisa nyie walimwengu ni kiboko
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Kule kwenu kuna siku computerarsenal alikuwa anamlalamikia Aaron Arsenal kwa kutofanya usajili, badala yake anawadanganya kwa tetesi za uongo tu.
Ndio maana kwenye board yao baadhi ya member wanaanza kuachia ngazi. Barcelona inabomoka kidogo kidogo kutoka ku employ watoto wa academy mpaka kuja kuanza kufanya wa kina Boateng, Vidal, Song, Braithwaite ni walienda nje ya falsafa zao wenyewe na bado wanaendelea kwa PjanicARTHUR MELO VS PJANIC
Hivi wadau hili dili lina maana gani kwa Barcelona kumuuza Melo mwenye umri wa miaka 23 kwa £72M na kumnunua Pjanic mwenye umri wa miaka 30 kwa £60M.
Kwanini barca wamefanya biashara ya namna hii?
Corona hiyo,ARTHUR MELO VS PJANIC
Hivi wadau hili dili lina maana gani kwa Barcelona kumuuza Melo mwenye umri wa miaka 23 kwa £72M na kumnunua Pjanic mwenye umri wa miaka 30 kwa £60M.
Kwanini barca wamefanya biashara ya namna hii?
west ham anamsumbuaga San Chelsea
Hao uliowa mention ni generational talents, hawatokei hivihivi, inachukua miaka kupata watu kama hao.Ni kweli kabisa wameacha misingi/sera za kuibua na kutumia vipaji vyao kutoka academy yao:-
Messi
Puyol
Fabrigas
Pique
iniesta
Sergio
Xavi
Thiago Mota
Pep kipara
Kwa Declan Rice hapo kuna maneno, kaongea kidiplomasia kwa sababu ya mikataba ila Lampard anamtaka Rice. Hii iko waziTransfer rumours:-
Lampard said Chelsea had no interest in Angel Gomes, and there had been no discussions with West Ham about Declan Rice
‘Declan Rice is a good player, I’ve known him for a long time, he was in Chelsea’s Academy, but there’s no talk. I will keep saying that about every player until these games and this season are finished. There’s nothing to say.’
Mtapata tabu sana pale Wembley kwenye FA Semi-Final
OOOH ABRAHAM BADO MDOGO APEWE MUDA ATAKUJA KUWA BONGE LA STRIKER, HIZI KAULI ZA KIPUMBAVU SANA
DOGO GREENWOOD WA MAN U ANAKIPAJI KIKUBWA SANA KULIKO KICHWA PANZI WETU ABRAHAM.
GREENWOOD ANA MIAKA 18 TUU LAKINI UKIMUANGALIA ANAVYO CONTROL MPIRA, ANA JICHO LA KUONA ANGLE GANI YA KUFUNGA GOAL.
HUYU DOGO AKIFIKA MIAKA 23 YA ABRAHAM, ATAKUWA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA SANA, ANAONEKANA KABISA ATAKUJA KUWA BONGE LA MPASIA NYAVU.
ENDELEENI KUJIPA MATUMAINI KICHWA PANZI WETU ABRAHAM ETI ATAKUJA KUWA MSHAMBULIAJI HATARI WAKATI KUBWA JINGA.
Anawakaripia wenzie tuWe jamaa huwezi kuandika kwa herufi ndogo?