Ndugu yangu mechi sikuangalia, jana usiku nilijitahidi kuangalia replay nikashindwa kwa sababu ya usingizi. Pamoaj na hayo comments nyingi za humu ndani na za kwenye mitandao mingine inaonyesha Kante alitawala katikati kisawasawa na ndio maana possession ya Chelsea ilikuwa 74% kwa mechi yote. Sisi washabiki tunachotaka ni hilo, matokeo sio mchezaji. Kante akifit kwenye mfumo tunakuwa pamoja, asipofit auzwe ndio lengo. Alichofanya Lampard ni sawa kabisa ila tu amtafutie pa kumuweka kinda Bill Gilmour kwa sababu anatufaa pengine kuliko hata hao akina Havertz wa mil 90.Vip mzee si ulitaka kante auzwe kwasababu aendani na mfumo wa Lampard umeona leo Lampard kaamua yaishe kamchezesha kwenye eneo lake halisi Hili umeshindwa kabisa kuligusiwa Kama Lampard angekuwa anampanga kante kwenye eneo lake tusingekuwa tunapoteza game kirahisi jorginho alitukosti Sana kwenye nafasi yake.Tukija kwenye issue ya Gilmour yah Ni mchezaji mzuri lakini Kama atachezeshwa basi kante hatachezeshwa kwenye natural position yake labda tu Lampard ampe Gilmour role nyingine ya number 10. lembu
Auzwe chap chap kabla hajashuka bei kwa sababu Gilmour yupo Kante akiumiaKante akiendelea kuchezeshwa 6 Jognho hana chake atafute timu ya kwenda. Kuliko kumchezesha Kante wrong position bora akae bechi kuliko kumuharibia Cv yake
Sent using Fly in any Weather.
Unasema Kante auzwe?Auzwe chap chap kabla hajashuka bei kwa sababu Gilmour yupo Kante akiumia
Cash Money Forever jorginho Ni bonge la mchezaji na Ni mchezaji muhimu Sana SEMA Ni kwamba Lampard ndio mwenye shida la kujua eneo lipi jorginho atafit zaidi ukiachia weakness yake ya ukabaji lakini ana quality kubwa anajua kucontrol game nzima, ana pass accurancy kubwa na ajua kupiga pass za mwisho na key pass so Lampard anatakiwa amchezeshe advance role sio DM hapa ndio ubora wake utaonekana.Me sipendekezi jorginho auzwe kabisa @lembuSure Lampard akiamua kumchezesha Kante namba 6 hakuna wa kumweka benchi Kante. Hivyo hivyo kwa Pulisic akiwa hana majeruhi hakuna wa kumweka benchi.
Jognho namba 6 hapana tulishasema sana kwamba jamaa ni mzito hana kasi, hawezi kupora mipira, anacheza rafu sana.
Jognho jana angecheza pale katikati ingekuwa uchochoro wa villa kupita. Na beki yetu ya ovyo ingelemewa
Glimour bado mdogo jamani aendelee kupata experience mdogo mdogo. Muda wake ukifika hatakosa namba.
Sent using Fly in any Weather.
Hujawahi ona timu ina defensive midfielders wawili? Yaan upo uwezekano wa Gilmour na Kante kucheza pamoja na game hizo huwa ni zile ambazo tumeelemewa sana yaan mashambulizi hayakauki. Ila ubaya wake inadhoofisha madhambulizi kwa sababu umelimit midfielder kutawala mchezo so inawapa nafasi wingers so kama hakuna mawinga wazuri kazi inakua kubwa.Vip mzee si ulitaka kante auzwe kwasababu aendani na mfumo wa Lampard umeona leo Lampard kaamua yaishe kamchezesha kwenye eneo lake halisi Hili umeshindwa kabisa kuligusiwa Kama Lampard angekuwa anampanga kante kwenye eneo lake tusingekuwa tunapoteza game kirahisi jorginho alitukosti Sana kwenye nafasi yake.Tukija kwenye issue ya Gilmour yah Ni mchezaji mzuri lakini Kama atachezeshwa basi kante hatachezeshwa kwenye natural position yake labda tu Lampard ampe Gilmour role nyingine ya number 10. lembu
Sisi mashabiki hatutaki mchezaji auzwe ila klabu ya mpira inafanya business. Na business ni kufanya shughuli yeyote yenye tija. Gilmour akienda klabu nyingine tutamtaka kwa Mil 70 hadi 90 kwa umri huo huoHatuwezi kuuza wazeshaji chap chap kwa kuangalia swala la pesa tuu, tunaangalia mchezaji ana mchango gani kwenye timu.
Hatuwezi kumuuza mchezaji timu ikashake, ingekuwa swala la pesa Madrid ingewauza modric, kroos, Ramos, Benzema wakiwa na age ya 20's
Kwa kazi ambayo Kante ameifanyia Chelsea mpaka sasa hata akiondoka bure tumeshapata faida kubwa sana kwake (Kimakombe), kuliko hiyo faida ya kwenda kumuuza sokoni.
Glimour bado mdogo usimwesabie kwa sasa anatakiwa aendelee kukua chini ya Kante.
Sent using Fly in any Weather.
Mada ilikuwa ni Jo
Yule ni fan wa ChelseaJohn Terry bado ana mapenzi na Chelsea, hakushangilia kivile goli la timu yake ya Aston Villa
tunawapa na batshuayChelsea kudadek zenu laana ya kutuuzia mzoga Luiz itawatafuna, malipo ni hapahapa duniani na hao wanaokuja hao mkae mkao wa kulia kilio cha mbwa koko maana itakuwa ni mizigo ya mavi hapo darajani,haiwezekani sisi tuwape mtu anayewapa points 3 muhimu OG alafu nyie mtubambikie kinyesi katika mfuko wa rambo mkitudanganyia kuwa ni dhahabu......
sasa huyo werner anakuja kuwa Batshuay wa kizungutunawapa na batshuay
Kante hawezi kuuzwa. Watakuwa wameuza timu. Halafu Lampard kumwacha Pedro alichelewesha sana ushindi. Willian, Pedro and Giroud ni combination nzuri sana kwa Chelsea mpaka sasa.
Pulisic na Pedro utamchagua yupi?Kante hawezi kuuzwa. Watakuwa wameuza timu. Halafu Lampard kumwacha Pedro alichelewesha sana ushindi. Willian, Pedro and Giroud ni combination nzuri sana kwa Chelsea mpaka sasa.
Komaeni aisee, Man Utd aendelee kukipiga Europa.
Hapo unazungumzia msimu ujao ambapo mna kikosi kipya.
Mtakuwa mnagombea namba 2 kati yenu na City.
Alafu namba moja atakuwa nani?