Kwa maoni yangu ningependa wote wauzwe ila kama ni mmoja auzwe Jo auzwe kwa sababu Kante bado anaweza kutumiwa kwenye defensive roles. Naunga mkono uuzwaji wa Kante kwa sababu atatupa pochi nene ya kuweza kuwaleta tallents wachanga kama akina Havertz.Kila siku unasema hapa Kante auzwe leo unasema Jo auzwe tukuelewe vipi mkuu?
Jadon Sancho walisemaga naye ni OVERATED kwa sababu ni mwingereza lakini kila msimu anaweka double digits kwenye assists na magoli, Tammy bado mdogo sana kuanza kumpajina la overated, bado anayo room ya kufanya vizuri na kubadili mtizamo wako kwakeAbraham is overrated
Ndugu sio Kante tu anyepata majeruhi na pia sio tu safari hii Kante kapata majeruhi, hata alipokuwa na Ranieri alikuwa akipata majeruhi mara kwa mara na bado alicheza vizuriHili ndio jibu kwanini KANTE anacheza chini ya kiwango:-
However, injury hasn’t been on his side since last season. He was forced to play through injury as he took pain killer ahead of the Europa League final against Arsenal last season and also played an important role for France in the World Cup last summer.
Subsequently, Kante missed pre-season with Frank Lampard and has been battling injury ever since.
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah.. Mnanichekesha sana nyieRussian Iron Lady
pia tofautish kante alivokuw chin ya leicter Alkuw na drink water ambae nae Alkuw anmsaidia kukba pia majeruh yke hayakuwa kma saizNdugu sio Kante tu anyepata majeruhi na pia sio tu safari hii Kante kapata majeruhi, hata alipokuwa na Ranieri alikuwa akipata majeruhi mara kwa mara na bado alicheza vizuri
Hata Kante asipopata majeruhi sidhani kama ataweza kurudi kwenye form ya Leicester city na Chelsea ya 206/17 chini ya Lampard
Kumbuka kuwa mfumo wa Rainery na Conte ndio uliomchomoza Kante, mifumo ya counter attack. Sasa Sarri na Lampard wamekuja na mifumo tofauti na hapo ndiko Kante alipopotelea. Tuwe wakweli
apa nkuunga mkono tatizo mshabiki wengi wanafiki kipindi Abraham anascore watu sifa Kama zote same time wakaanza kumtgea kma pro player while notTammy atacheza vizuri kwa sababu kuu mbili,
- Ushindani: asipocheza vizuri Lampad atampiga benchi na kumweka Timo hapo kwenye namba 9
- Kucheza bila shinikizo: huko nyuma Tammy alikuwa akicheza kwa shinikizo kubwa la mashabiki, kocha, timu yake na uongozi mzima walimtegemea yeye afunge magoli. Sasa atacheza bila shinikizo na kwa hiyo tutegemee tallent zake ndio sasa tutaziona
Asimame giroud instead of Abraham kutokana na aina ya mpira wanaocheza astoni villaTwende na mfumo huu Vs Aston villa
Pulisic...Abraham....Willan
Alonso..Kovacic..Kante.. James
Rudger... Christensen..Azipu
....................Keppa..................
Aston Villa ndizo timu Tammy anazifunga kwa urahisiAsimame giroud instead of Abraham kutokana na aina ya mpira wanaocheza astoni villa
Pia nimeangalia fitness za wachezaji Giroud anaonekana yupo fit than AbrahamAston Villa ndizo timu Tammy anazifunga kwa urahisi
Nani alimzidi mwenzake?MOU 1 - MU 1 FT
Lakini Zouma sio mtu wakuaminikaView attachment 1483780
Chelsea predicted XI
(4-3-3):
Pulisic - Tammy - Willian
Kante - Kovacic - Mount
Azpilicueta - Rudiger - Zouma - James
Kepa