Tumecheza hovyo sana kipindi cha kwanza....tumebadilika na kucheza vizuri cha pili lakini tumeshindwa kufunga magoli ya kutosha....the worst, Ashley Cole kapewa kadi nyekundu with Manure game coming next.
Wakuu pamoja na kuwa hampo, leo mna bahati ya kuwa nitawa-support! Lakini ni leo tu, kwa hiyo tumieni bahati hii vizuri mshinde!!
Mkuu, ukitaka kutoa analysis vizuri ni vema ukaepuka upenzi kwanza. Hiyo mechi tuliyoshinda 2-1 ilikuwa Old Trafford, si Stamford Bridge. Na kama wewe ni mkweli utasema kwamba hilo goli la Manchester lilifungwa kwa mikono na Macheda, kwa maana hiyo magaoli hayakuwa halali, moja la Chelsea na moja la Manchester, ina maana matokeo halali yangekuwa 1-0 Chelsea au?....angalia unaanza kuwa kama Wacha....anyway, hongereni kwa kubebwa leo....Webb is the worst referee in EPL.
Everton 1-0 Chelsea. 20 minutes gone.