Hapo nilimsahau Morata kumbe bado ni wetuDully jr. waambie management wachangamkie vifaa hivyo bei poa tu
Jumla kuu Mil 200
- Tiemoue Bakayoko, mil 35
- Emerson Palmieri, mil 25
- Davide Zappacosta, mil 30
- Danny Drinkwater, mil 20
- Michy Batshuayi mil 30
- Victor Moses mil 30
- Ross Barkley Mil 30
Nyie mnatoa ngapi?
Hawa waandishi Ni wakupuuzwa.Hawa bloger wengine bana wamezidi sasa
Chelsea could reportedly use Roman Abramovich’s good relationship with super agent Jorge Mendes to complete a surprise transfer deal for Juventus superstar Cristiano Ronaldo.
Sijajua unaona nini kwa loft cheek... Mara kumi umtegemee mount kuliko loft cheekChelsea isimsajili Kai Loftus cheek,kovacic na mount wanatosha badala yake wanunue central back na left back biashara itakuwa imeisha.
Japo Kai anawapita Mount na RLC kwenye ufungaji na assists lakini bei yake ni kubwa na akija kuflop inakuwa ni hasara. RLC na Mount tayari wameshaizoea EPL kwa hiyo kama Leverksuen watashusha bei Kai asajiliwe ila waking'ang'ania paundi Mil90+ basi asisajiliwe. Chelsea wameshatoa dau la mil 75 wakakataaSijajua unaona nini kwa loft cheek... Mara kumi umtegemee mount kuliko loft cheek
RealMikel Arteta has a "much harder job" on his hands at Arsenal than Frank Lampard does at Chelsea, according to Cesc Fabregas.
Midomo inawawasha sasa,subirini msimu uanzeJapo uko na point ila akisajiliwa kwa bei poa Kai ni hazina kubwa. Pale kuna tallent kubwa ukichukulia umri wake. Ila ukweli ni kwamba Wachezaji wa Chelsea sio wa kiwango cha chini kama ya wale majirani zetu
Wee anza na Pulisic, RLC, Mount, Bill Gilmour nk, wote umri mdogo tallent za kutisha
Usijidanganye,hapo hkuna mchezaji wa kuuza hata kwa 10m....labda 8m kushuka chini,nani abebe hiyo mizigo????Hapo nilimsahau Morata kumbe bado ni wetu
Nunueni tu,maana nyinyi mshazoea kupigwa....Japo Kai anawapita Mount na RLC kwenye ufungaji na assists lakini bei yake ni kubwa na akija kuflop inakuwa ni hasara. RLC na Mount tayari wameshaizoea EPL kwa hiyo kama Leverksuen watashusha bei Kai asajiliwe ila waking'ang'ania paundi Mil90+ basi asisajiliwe. Chelsea wameshatoa dau la mil 75 wakakataa
Nunueni tu,maana nyinyi mshazoea kupigwa....
Shevchenko
Torres
Quaresma
Bakayoko
Moratta
Batman
Kepa aliyezubaaga
Baba rahman n.k wote walikuwa watumishi hewa
| Player | Club | Possibility |
| Ben Chilwell | Leicester City | 6/10 |
| Kalidou Koulibaly | Napoli | 4/10 |
| Moussa Dembele | Lyon | 7/10 |
| Timo Werner | RB Leipzig | 5/10 |
| Alex Telles | FC Porto | 7/10 |
| Ousmane Dembele | Barcelona | 4/10 |
| Jadon Sancho | Borussia Dortmund | 5/10 |
| James Maddison | Leicester City | 4/10 |
| Issa Diop | West Ham United | 7/10 |
Quaresma amewahi kuichezea Chelsea?Nunueni tu,maana nyinyi mshazoea kupigwa....
Shevchenko
Torres
Quaresma
Bakayoko
Moratta
Batman
Kepa aliyezubaaga
Baba rahman n.k wote walikuwa watumishi hewa
Kwanini hapo kwenye Timo Werner wameweka 5/10?Chelsea New Signing Table:
Player Club Possibility Ben Chilwell Leicester City 6/10 Kalidou Koulibaly Napoli 4/10 Moussa Dembele Lyon 7/10 Timo Werner RB Leipzig 5/10 Alex Telles FC Porto 7/10 Ousmane Dembele Barcelona 4/10 Jadon Sancho Borussia Dortmund 5/10 James Maddison Leicester City 4/10 Issa Diop West Ham United 7/10
Huo mwaka sikuifuatilia Chelsea kabisa.Yap alicheza kwa mkopo mwaka mmoja 2009
izo data ci bloggers tu wanaandika tu basLembu sometimes taarifa zako huwa zinatukatisha tamaa.
Pamoja na kiburi chake huyu jamaa alitufaa sana aisee.
Na wewe ni shabiki wa Chelsea?????Quaresma amewahi kuichezea Chelsea?