Wallah manyumbu watatapika zile goal walizotufunga. View attachment 1476966
Hawa jamaa wakitua wote mechi za Chelsea sio za kukosa kuzitazama, wapinzani wanavyopokea vipigo heavy
Ku-cope sio ku-copy ndg
Willian namfuatilia ana katabia fulani kila inapofika mwisho wa mkataba wake ndio anaanza kujituma hii mara ya pili anafanya hivyo. Sasa huo sio mzigo?
We jamaa umeongea ukweli kabisa,Madrid ni marafiki zetu tumekuwa tukifanya biashara nzuri ya wachezaji kwa faida au kuuziana mbuzi kwenye gunia.
Tutawauzia Kante tutawafuta machozi kwa biashara ya Hazard. Kama wao walivyotufuta machozi biashara ya Morata kwa Kovacic.
Hata sisi hatuna sababu ya kumuacha aende.Jorginho hana kabisa mpango wa kuondoka London
lembu Chelsea wangekuwa na akili kubwa wangemuuza kante cos kante ana miaka 29 na ametumika Sana na kwa bei hiyo itakuwa Ni faida kubwa Sana after that wamnunue Thomas partey wa A.Madrid ambaye clouse price Ni paund million 45 tu alafu ana miaka 27 tu.Real Madrid want Kante
Real Madrid want to sign 29-year-old France international N'Golo Kante from Chelsea, according to AS.
The Liga giants are prepared to offer up to £71m for the midfielder.
Gilmour Ni mchezaji mwenye talent lakini Hana experience so ana room ya kujifunza na kupata uzoefu zaidi so kivyovyote Chelsea lazima iingie sokoni kuchukua mbadala wa kante ambaye ana uzoefu zaidi ambaye na muona ni Thomas Partey anatufaa zaidi.Uwezi kuwa unataka ubingwa wa epl au uefa alafu unamtegemea Gilmour ambaye uzoefu Hana utakuwa muongo.Embu tuwekane sawa hapa kuhusu Kante na Jognho.
Inasemekana kwamba tukimuuza jognho itatulazimu kuingia sokoni kumreplace/kununua mchezaji wa design/aina yake ya uchezaji
Ila tukimuuza Kante haitatulazimu kuingia sokoni kununua kiungo mkabaji kwa sababu tunaye kovacic na Glimour.
Hili imekaa vipi?
Dogo akipewa nafasi anaeza fanya vizuri tu ..EPL kwa sasa watoto wengi na mpira unazidi badilikaGilmour Ni mchezaji mwenye talent lakini Hana experience so ana room ya kujifunza na kupata uzoefu zaidi so kivyovyote Chelsea lazima iingie sokoni kuchukua mbadala wa kante ambaye ana uzoefu zaidi ambaye na muona ni Thomas Partey anatufaa zaidi.Uwezi kuwa unataka ubingwa wa epl au uefa alafu unamtegemea Gilmour ambaye uzoefu Hana utakuwa muongo.
Ukweli ni kwamba tunahitaji kiungo mkabaji, Gilmour anaonyesha dalili ila Kovacic yeye ni mchezeshaji tu na ana uwezo wa kupeleka mipira mbele. Tunahitaji kuwa shield mabeki hata kama tutapata mabeki wazuri. Timu zote zinazofanya vizuri ni kwa sababu wana viungo wanaowalinda mabeki vizuri na wenye uwezo wa kupeleka mipira mizuri kwa wafungaji kule mbele. Tunahisi Kante yuko exhausted au hachezeshwi vizuri au anahitaji changamoto nyingine mbali na ChelseaEmbu tuwekane sawa hapa kuhusu Kante na Jognho.
Inasemekana kwamba tukimuuza jognho itatulazimu kuingia sokoni kumreplace/kununua mchezaji wa design/aina yake ya uchezaji
Ila tukimuuza Kante haitatulazimu kuingia sokoni kununua kiungo mkabaji kwa sababu tunaye kovacic na Glimour.
Hili imekaa vipi?
Umri + financial fear playKwahiyo kwa kumuuza KANTE:-
1. Tunamuuza kumreplace kiwango kimeshuka, umri umesonga?
2. Tunamuuza kupata pesa?
3. Tunamuuza kubalance vitabu vya mahesabu (Financial fear play)?
4. Tunamuuza kwa sababu hafit kwenye mfumo wa Lampard?
Wachezaji wa arsenal wakipewa offer waje Chelsea au wabaki Arsenal fasta watakuja Chelsea SEMA tu asilimia kubwa hawana quality ya kucheza ChelseaBen Lerno kadai Chelsea ni timu kubwa halafu kuna bwana mdogo hapa anaitwa DullyJr anakataa hilo