Nyinyi hamfahamu cheek Ni bonge la mchezaji kitu kinachonifurahisha kwake Ni kwamba pamoja na kuwa na height kubwa lakini ana dribble vizuri,goal scorer alafu pia yupo very strong physically anajua kuhold mpira Ni ngumu kwa mpinzani kuchukua, ana speed itakayomuwezesha kulink up vizuri na pulisc,werner na Hakim ziyech cos wote kwa pamoja Wana soka la kasi.. chini ya Lampard atazidi atan'gaa kwa sababu ya style of play ya Lampard wewe mwenyewe utakuja hapa kumsifia keep it in your mind.Hakika umenikumbusha jamaa mchoyo kinyama halafu anaishiaga kupiga mashuti mengi nje. Cheek mzuri kwenye kumalizia mipira inayoranda randa golini
cheek kuchez kwa kiwango Tena itakua ngumu sana, msimu mzima hajacheza na timu kubwa so kurud na kuperfom so atakua mtu wa kuanzia benchiKwahiyo Cheek atacheza nyuma ya STIKER.
4-2-3-1
................Werner.........
Pulisic.....Cheek.......Ziyech
Hiki ndio kikosi Cha kwanza kinachotakiwa kiwe.
Hata Juan Mata kipindi cha Mourinho alisemwa ivyo. Amin nakwambia ndugu yangu kwa mchezo anaocheza Lampard ndio unamfaa RLC kwa sababu ya aggredive yake katika attacking. Labda haujamuangalia vizuri anatafuta mipira pia japo siyo jukumu lake kuu.
Hata me binafsi namkubaliJamaaa kuna mtu anaitwa. Cheek huyu jamaa namkubali sana sijui atarudije baada ya kusumbuliwa na majeraha
Lampard alimpigia simu Timo Werner binafsi nakuzungumza nae before ya kusajiliwa ili akubali deal la Chelsea baada ya makubaliano hayo akamtuma Peter cech na yule mama mrusi kwenda ujemani kukutana na timu yake ndo usajili ukatokea kupitia maelezo hayo nazani utapata jibu la swali lako.Mimi nawaza hivi ubinafsi wa lampard atakubali Abraham akae nje halafu huyu mtoto aliyesajiliwa acheze
Hiki kikosi kimenifanya nitabasamu..safi Sana
Nyinyi hamfahamu cheek Ni bonge la mchezaji kitu kinachonifurahisha kwake Ni kwamba pamoja na kuwa na height kubwa lakini ana dribble vizuri,goal scorer alafu pia yupo very strong physically anajua kuhold mpira Ni ngumu kwa mpinzani kuchukua, ana speed itakayomuwezesha kulink up vizuri na pulisc,werner na Hakim ziyech cos wote kwa pamoja Wana soka la kasi.. chini ya Lampard atazidi atan'gaa kwa sababu ya style of play ya Lampard wewe mwenyewe utakuja hapa kumsifia keep it in your mind.
Hichi kikosi kizuri sana. MOUNT anaingia kazi iwe kumimina mashuti langoni kwa adui. View attachment 1470114
Msimu huu tulisema ubingwa ni wetu, baada ya kuanza vizuri ligiTulifeli wapi ili hali Chelsea ndio club pekee Uingereza iliyochukua makombe mengi ndani ya miaka 10 iliyopita.
Covacich na Abraham nje?Hichi kikosi kizuri sana. MOUNT anaingia kazi iwe kumimina mashuti langoni kwa adui. View attachment 1470114
io ulisem wew hkun alisem ubingwa ni wetu Chelsea alianz kwa kupigwaMsimu huu tulisema ubingwa ni wetu, baada ya kuanza vizuri ligi
Hivi chilwell tayari ndani ya blues?Nyingine hii hapa hii hapa[emoji1541] ingawa kwa James bado namkubali AzipilicuetaView attachment 1470143
" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
Hata hivyo Chelsea hawajatoa ofa, walikubaliana na mchezaji kwanza na baada ya hapo within a week paperwork itaanza ya kuwasilisha ofa sawasa na mkataba wake unavyodai ambapo mwisho wa ku-triger buy clause ya Paundi mil 49.4 ni June 15" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa[emoji113] nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea