Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #68,981
Huyo ni kiungo mchambuliaji anachukua nafasi ya mount,Sancho ni right winger so wanacheza nafasi mbili tofauti.
Dah ila mzee baba umepotea Sana humu jamvini nikazani labda umefariki usifanye hivo bwashee.Huyu ni Kiungo Mshambuliaji anayependa kutokea upande wa kulia, kama ilivyokuwa kwa Arjen Roben alivyokuwa Bayern
Kwangu sioni haja ya Chelsea kumuuza kepa Cha msingi wanatakiwa waimarishe safu ya beki kwa kukasajili beki wa Kati mmoja, beki wa kushoto mmoja mbona kepa msimu uliopita kacheza vizuri.Mwaaaaah Marina, Mwaaaaaaah Marina.
Roho yangu imekuwa nyeupeeee.
Nilitamani sana tusajili CREATIVE ATTACKING MILDFILDER. Maombi yetu yamejibiwa.
Kizuri zaidi Ngolo Kante arudi kwenye majukumu yake ya msingi KUKATA UMEME.
Sasa Marina endelea kufanya mambo tuletee KIPA, BEKI YA KUSHOTO, STRIKER NA WINGER YA KULIA.
Marina nakupenda sana
Sent using Cash Money Wings
Dah ila mzee baba umepotea Sana humu jamvini nikazani labda umefariki usifanye hivo bwashee.
Kwangu sioni haja ya Chelsea kumuuza kepa Cha msingi wanatakiwa waimarishe safu ya beki kwa kukasajili beki wa Kati mmoja, beki wa kushoto mmoja mbona kepa msimu uliopita kacheza vizuri.
uko sawa mkuu, sisi tunaosoma kwenye google mojakwa moja inamislead. Hakim mara nyingi anacheza kama RW, kwenye mechji na Chelsea alicheza kama Central Attacking Midfield. kwa hiyo usajili wa Hakim maana yake Jadon Sancho kwaheri, ndoto ya kuja Chelsea haipo tena. Labda wamsajili Sanchos halafu Hakim wamlazimishe acheze ama attacking MidfieldZiyech siyo kiungo mshambuliaji. Ni RIGHT WING ila anaweza pia kucheza kama Central Attacking Midfield.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unaungana na me kuwa hakuna haja ya Chelsea kumuuza kepa?Chelsea kwa sasa haina beki wa kati anayeweza kuwapanga na kuwachezesha wenzake kama alivyokuwepo John Terry na hata Cahil alikuwa akijitahidi
Tunatakiwa tusajili beki mmoja wa kati anayeweza kukaba na atakayepanga safu ya ulinzi vema kabisa
Nafasi ipi anakuwa hatari Kati ya right wing na attacking midfielder?uko sawa mkuu, sisi tunaosoma kwenye google mojakwa moja inamislead. Hakim mara nyingi anacheza kama RW, kwenye mechji na Chelsea alicheza kama Central Attacking Midfield. kwa hiyo usajili wa Hakim maana yake Jadon Sancho kwaheri, ndoto ya kuja Chelsea haipo tena. Labda wamsajili Sanchos halafu Hakim wamlazimishe acheze ama attacking Midfield
Kante kaweka mkataba mpya wa miaka mitano hadi 2023 tangu 2018 ambapo analipwa Paundi 290,000 kwa wiki. Alikuwa ndio top paid player hata Zaidi ya Eden Hazard
Kante's new deal could be worth up to £290,000 per week.
Mwaka jana mwishoni Odoi kaweka mkataba mpya wa miaka mitano hadi 2024 kwa malipo ya paundi 180,000 kwa wiki
Hudson-Odoi signs new five-year £180,000-a-week Chelsea deal until 2024
Hayo mablogu ya kuuza news sio ya kuziamini, hata kama hiyo news imetoka kwenye media maarufu, taarifa za website huwa haziondolewi hata kama ziko outdated
Njia rahisi ya kujua mshahara wa mchezaji ni kutafuta latest contract yake na timu
Kwahiyo unaungana na me kuwa hakuna haja ya Chelsea kumuuza kepa?
uko sawa mkuu, sisi tunaosoma kwenye google mojakwa moja inamislead. Hakim mara nyingi anacheza kama RW, kwenye mechji na Chelsea alicheza kama Central Attacking Midfield. kwa hiyo usajili wa Hakim maana yake Jadon Sancho kwaheri, ndoto ya kuja Chelsea haipo tena. Labda wamsajili Sanchos halafu Hakim wamlazimishe acheze ama attacking Midfield
Nimeshakueleza hao wote wanacheza na habari za zamani wasipopata mpya, mimi nimekupa fact za mkataba wenyewe wa Kante na Odoi. Hao wengine hata kama wako elfu achana nao. Jifunze jinsi media hasa za kwenye website wanavyouza habari, wanabadilisha heading tu bila kubadiulisha core news. Hata wakati wa tetesi za usajili, ukifuatili taarifa inaweza circulate mwezi mzima ikiwa na heading tofauti na tarehe tofautiKiongozi..Kila media iseme same amount na ambazo habari imepostiwa 2019 hadi some in 2020?? Swala la update sio factor hapa maana Kante kasign mda na hizo habari zime postiwa after.
Nyingine hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakueleza hao wote wanacheza na habari za zamani wasipopata mpya, mimi nimekupa fact za mkataba wenyewe wa Kante na Odoi. Hao wengine hata kama wako elfu achana nao. Jifunze jinsi media hasa za kwenye website wanavyouza habari, wanabadilisha heading tu bila kubadiulisha core news. Hata wakati wa tetesi za usajili, ukifuatili taarifa inaweza circulate mwezi mzima ikiwa na heading tofauti na tarehe tofauti
Yeah usajili wa Sancho ndio umekwisha. Nadhani wameangalia swala la kiushindani sokoni na bei ya Sancho wakaona bora wamuangalie Ziyech ambaye siyo overrated na pia yuko vizuri kitakwimu. Hapa sasa tuangalie Left Back wa maana. Nadhani Alex Telles atatufaa sana.uko sawa mkuu, sisi tunaosoma kwenye google mojakwa moja inamislead. Hakim mara nyingi anacheza kama RW, kwenye mechji na Chelsea alicheza kama Central Attacking Midfield. kwa hiyo usajili wa Hakim maana yake Jadon Sancho kwaheri, ndoto ya kuja Chelsea haipo tena. Labda wamsajili Sanchos halafu Hakim wamlazimishe acheze ama attacking Midfield
Wewe umezungumzia kisport zaidi tofauti na wengine wanazungumza kimiemuko zaidi.Tupo pamoja mzee baba.Kabisa. Japo ana makosa madogo madogo lakini makosa yake yanaweza kufanyiwa kazi naona. Kikubwa tupate beki mzuri tuwe na safu bora ya ulinzi.
Nakumbuka Cech aliyoenda Arsenal na kukutana na ile safu mbovu alikuwa akifungwa muda mwingine magoli ya ajabu kabisa. Lakini sio kwamba alikuwa Kipa mbovu.
Mkuu tuendelee kusubiri mambo mazuri yanakuja staki kuamini frank hatosajili striker mwenye kiwango cha juu isitoshe huenda batshuay n giroud wote wakaondoka kwa pamoja
Kuna mda huwa nafikiria conte alikuwa kocha mzuri sema tu alikosea kumuuza diego costa
Ngoja tuendelee kuangalia ikifika summer tutamsajili nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tumeshamsajili teyali?
Hapo itadepend kama willian ataondoka au akasign mkataba mpya wa kuendelea kuwepoKivip?
Ziyech anacheza rw huku akitumia left foot au camHuyo ni kiungo mchambuliaji anachukua nafasi ya mount,Sancho ni right winger so wanacheza nafasi mbili tofauti.
Yeah but naona skysport wanasema bado tunamuhitaji sancho hata kama tumemsajil ziyechYeah usajili wa Sancho ndio umekwisha. Nadhani wameangalia swala la kiushindani sokoni na bei ya Sancho wakaona bora wamuangalie Ziyech ambaye siyo overrated na pia yuko vizuri kitakwimu. Hapa sasa tuangalie Left Back wa maana. Nadhani Alex Telles atatufaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app