Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Luiz ndiye beki bora toka Arteta katia timu, hajawahi kutuangusha Gunners.Luiz kutolewa ni habari njema kwenu, mimi nashangaa badala ya kufurahia mnasikitika. Luiz ni uchochoro na jana alitolewa na uchochoro ukatoka na ndio maana tulipata tabu ya kufunga.
Afanye fasta maana Bayern wanakuja soon, sasa akijichelewesha mtapata dhoruba kama aliyopewa Spurs. [emoji3][emoji3]Frank Lampard has confirmed that Chelsea FC are “looking” to sign a new striker in the January transfer window.
Baada ya Abraham kuumia hakuna choice inabidi tu wamlete Timo Werner au Cavani kwa lazima tena huyo Timo aletwe chini ya ulinzi wa Polisi
Naona ya mwaka huu imezidi inconsistence,,Niwakumbushe tu kuwa Chelsea ilikuwa na 5 au 6 kipindi kama hiki mwaka jana, ni low form ya Arsenal na Spuirs ndiyo ilitupush hadi nafasi ya 3. Chelsea ya Mwaka huu ni bora kuliko ile ya mwaka jana. Tunasumbuliwa na inconsistency ambayo ipo kwenye timu zote ukiondoa Liverpool
Usiwaone hawa Man U, Arsenal, Spurs, Leicester city, Man City, na hao wengine nao wana mafua zao zinawasumbua. So uanaweza kuta table standing isibadilike sana hadi msimu unaisha
Kumbuka pia kuwa mwaka huu hatupo Europa ile ligi ya wachovu na ndio maana mwaka jana tuliwaonea mpaka Giroud ambaye hana namba leo alikuwa mfungaji bora. Tupo UEFA ligi ya wanaume, tupo ktk makombe haya madogo ambayo na Liverpool, City na hao wengine wapo kama mwaka jana, Mimi naona Chelsea imeimprove against hao top 4 contendersNaona ya mwaka huu imezidi inconsistence,,
Ni ubaya tu wa man u, tottenham na arsenal ziko hovyo zaidi ndo maana unasema tuko vizuri kuliko mwaka jana...
Kwa sababu spurs ya mwaka jana huwezi ifananisha na hii ya sasa hata arsenal ya sasa ni mbovu kuliko ya msimu uliopita..
Let me remind you,, mwaka jana we played final in carabao cup na pia fainali ya Ueropa na kuchukua ndoo..
Ila kwa sasa jinsi tunavyocheza sioni dalili hata ya kombe moja,, we play like kids..
Haieleweki tunataka nin kwenye mechi,, tukiongoza goli 1 tuu tuna"relax utadhani tunaongoza 5-0...
Lampard asajili tu , vinginevyo tutaumia sana hapo mbeleni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani kauzwa au mkopo?Victor Moses uyooooooo.!
hv management walikwama wapi ad wakamfukuza conte.?
Huyu ndie aliyewakazia nyumbu pale trafford janaSijabahatika kumuangalia huyu Nick Pope. Lakini katika Ligi zote makipa wapo Serie A.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee naona unacopy na kupaste hii post yako dah....tumekuelewa mkuu,maana yote hayo ni maandalizi ya taji la EPL la kwanza kabisa....na ole wenu liwapuruchuke,maji mtaita mmaYaani siku hizi kutembelea threads za Man Utd, Arsenal, Chelsea na City inakuwa kama unaenda kufariji wagonjwa.
Jamani endeleeni kupambana, hata sisi tumetoka huku mliko.
Mzee naona unacopy na kupaste hii post yako dah....tumekuelewa mkuu,maana yote hayo ni maandalizi ya taji la EPL la kwanza kabisa....na ole wenu liwapuruchuke,maji mtaita mma
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya vizuri kuwatembelea wagonjwa wote kwenye ward ya vilema...Nimeona nisibague mkuu, kama unaamua kufariji wagonjwa inabidi isiwe kwa ubaguzi.
Pamnaneni bado point 27. Tukutane msimu ujaoNimeona nisibague mkuu, kama unaamua kufariji wagonjwa inabidi isiwe kwa ubaguzi.
Pamnaneni bado point 27. Tukutane msimu ujao
Dah logo ilikuwa samsung tu...Logo yao hiyo chapa itakaa kwenye tshirt kifuani View attachment 1333098View attachment 1333099
Sent using Cash Money Wings
Mbona ya kiboya hiviLogo yao hiyo chapa itakaa kwenye tshirt kifuani View attachment 1333098View attachment 1333099
Sent using Cash Money Wings
Hii kutaniwa lazima tu[emoji23][emoji23][emoji23]Hii logo ya three itatuletea shida, tukifungwa goal 3 utasikia wazee wa 3, tukipoteza match utasikia wazee wa kudondosha point 3.
Bora tuwe tunagawa dozi magoli matatu matatu, tukusanye point tatu tatu.
Tatu kwetu iwe ni sifa sio kutaniwa.
Sent using Cash Money Wings