Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ni upuuzi wa hali ya juu kumchukua expire ktk ligi ambayo kupata nafas ya goli ni mara moja baada ya 20 min
 
je una beki serious za kumlinda??
 
Chelsea are considering selling goalkeeper Kepa Arrizabalaga at the end of the season and replacing him with Burnley’s Nick Pope.
 
Kudominate 70% na kupata shots on target 8 na zaidi ni habari njema. Tatizo haliko kwa kocha, liko kwa quality ya washambuliaji tulionao. Kosa la Lampard ni kutochangamkia usajili wa wachezaji wazuri PERIOD
Kweli kosa lake ni muoga wa kusajili hajamini sijui kwanini.....sasa Mungu kasaidia Man u kapigwa na Banely sasa atumie hiyo gap ya point 6 kupunguza pressure ya wachezaji, na kucangua team sahihi, ili kumantain top 4 ili nayeye apate bonus yake ya £1m kwa mjibu wa mkataba wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau hiyo dili ifanikiwe basi , some thing is better than nothing, hata kama sio mzuri kwa mfumo wa chelsea ki vile ila Abrahams atapata ushindani wa kufunga ma goli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za usoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni upuuzi wa hali ya juu kumchukua expire ktk ligi ambayo kupata nafas ya goli ni mara moja baada ya 20 min
Anachukuliwa kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu kwa ajili ya kutatua tatizo la magoli. Wachezaji wazuri wanapatikana mwisho wa msimu
 
Angalau hiyo dili ifanikiwe basi , some thing is better than nothing, hata kama sio mzuri kwa mfumo wa chelsea ki vile ila Abrahams atapata ushindani wa kufunga ma goli

Sent using Jamii Forums mobile app
Abraham lazima acheze, Lampard atatumia formation yenye striker wawili mbele
4-4-2 au 3-5-2, hizi formation ndizo zinazofaa kwenye falsafa ya Lampard ya kupitisha mpira kwa haraka haraka. Zinaitwa attacking formation. Zitaongeza ufungaji wa mabaolakini pia itaondoa matum izi ya wingas na kurely na attacking midfielders wa pembeni
 
Frank Lampard has confirmed that Chelsea FC are “looking” to sign a new striker in the January transfer window.
Baada ya Abraham kuumia hakuna choice inabidi tu wamlete Timo Werner au Cavani kwa lazima tena huyo Timo aletwe chini ya ulinzi wa Polisi
 
Kama Chelsea watamchukua cavani utakuwa good signing.Cavani ni mshambuliaji mzuri Sana anajua kujiposition, yupo vizuri kwenye magoal ya vichwa, miguu yote, anauwezo wa kufunga nje ya box pia ni mzuri katika kutengeneza movement watu wanao mu underrate jamaa wanakosea au hawajui vizuri kwa ubora wa cavani anaingia first eleven ya Liverpool firminho bench, man u, Arsenal lacazette benchi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…