Ndiyo kapewa 150
Uhuru wa maoni nao tuuvumilie tu hakuna namnaKocha mzuri kwa kupiga pasii baina ya beki na beki?
Ukweli ni kwamba Barkley ni kiungo mzuri akijituma, kwanza ni mfungaji na anajua kuwachezesha wenzake kwa assists, ila akiacha kujituma hafai bureKauli za kipysicology kumsafisha BARKELY na kumpa moyo ajiamini na kupambana baada ya Barkely kupita kwenye kipindi kugumu.
Sent using Cash Money Wings
Kwa sababu ya MajeruhiNi kweli ila tangu tumnunue BARKELY hatujawahi kupata kile kiwango chake cha EVERTON.
Sent using Cash Money Wings
Duh! Hivi Emerson unamchukuliaje labda
Angefanya hivi kwa Giroud pia ili kumpa moyo.
Barkley kuna lulu iko ndani yake na ni lazima kwa kocha yeyote anayetaka kutumia rasilimali zote zilizojificha ndani ya mchezaji kadhalika Giroud kocha anaongea naye na imeripotiwa mara nyingi pengine incident hazikufanana tuAngefanya hivi kwa Giroud pia ili kumpa moyo.
Kocha anajua kuliko wewe na matokeo tumeona. Tatizo la mashabiki wengi wa nje ya England wanawachukia sana wachezaji wa England hata kama wanacheza vizuriBARKELY ni mchezaji lulu kwenye midtable teams like Everton. Kwa timu kubwa kama chelsea BARKELY anamezwa.
Sent using Cash Money Wings
Unaweza muona FL mlevi, kumbe tatizo ni wewe, leo hii tukupe chelsea weweeee, tuambie una skills gani wewe hadi umuite Lampard mleviHuu ni ulevi uliotukuka.... huwezi ukawa mpumbavu hivi halafu ukawa kocha. Tupo hapa Lampard hatokaa akashinda kikombe chochote akiwa na huo upuuzi kichwani kwake.
Makocha wa kiingereza sio kabisa UINGEREZA UINGEREZA UINGEREZA mbele, Wanaanda wachezaji kwa kiingereza kwa ajili ya national team yao.
Mchezaji wa kiingereza aingie kikosini kwa ubora wake kama ilivyokuwa kwa kina Terry, Lampard, Cahil, na sasa hivi Odoi na Tammy.
Barkely na Mount wanabebwa tuu hawana ubora wa kuwaweka nje Kovacic na Pulisic.
Sent using Cash Money Wings
Unafikiri wabongo wanajua mpira basi?wengi wao wanadandia na wanaangalia mpira kwa ushabiki ndomaana hawaoni ubora wa mtuKati ya wachezaji wenye work rate kubwa msimu huu ni Mount. Tatizo ni kwamba mnajadili mpira kwa hisia badala ya kutumia akili
Sent using Jamii Forums mobile app