Kumbe wewe ni mpenzi wa Chelsea Kama me naona kwenye mpira tunaenda sawa ukufanya makosa kushabikia Chelsea timu yenye mafanikio.
Wao huwa wanatuombea njaa na wakati hawalimi kabisa. Wachovu wa fikraTimu zote zenye kiherehere ya kutukaribia kwa point zimepigwa
Hongera sana
**na leo ofcourse kama kawa shukrani kwa Liverpool kwa sababu mtaifunga Sheffield United
- Southampton
- Arsenal
- Watford
- Liverpool**
GAP bado ni point 5 kutoka umbali Man U ilipo na watapambana sana
Tumempiga mbabe wako aliyekuchabanga in and out vipigo vikali,uwage na shukrani dogo.Siku ya jana vitimu vidogo dogo vyote vimeshinda. Midtable teams zimewakazia wakubwa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Una moyo kuwa mshabiki wa man uMie shabiki wa Manchester united. GIF za magoli huwa naweka kila uzi wa magoli ya timu husika
Lampard asema hana mpango na Wilfred Zaha
“I won’t talk about him because he’s not in our plans. If we have to do business, we will do it behind closed doors aside to announcing who I want to bring in.”
Tumempiga mbabe wako aliyekuchabanga in and out vipigo vikali,uwage na shukrani dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Players with 6 months left on their contract:
Christian Eriksen
Willian
Edinson Cavani
Thomas Meunier
Ryan Fraser
Dries Mertens
Eric Bailly
Nemanja Matic
Mario Götze
José Callejón
Pedro
Blaise Matuidi
Jan Vertonghen
David Silva
Luka Modrić
Adam Lallana
(Source: transfermarkt)
Sent using Jamii Forums mobile app
We dogo mimi ndio mbabe wa wote EPL yote kwa decade nzima. Kwa iyo sina mbabe nakufumua wewe na wengine wote mnaotapatapa kama nilivyokfanya wiki liyopita.Tumempiga mbabe wako aliyekuchabanga in and out vipigo vikali,uwage na shukrani dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mumtafute fabregas mpya wakati mwenyewe yupo!?Lampard pointed to our lack of ruthlessness and decision-making in the final third before half-time as the key reason behind our failure.
Hii kitu nilisema jana. Lazima tumpate Fabrigas mpya ambaye atarahisisha mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma message vizuriSasa mbona hasemi watu gani anawataka? Alituma scouts kipindi flan wakamuangalie Savic yule wa Lazio sijui hata iliishiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aliyesema hivyo namuunga mkonoeven you put puyol, van dijk, ramos, in our defend, if attacking can't score, what for? What we need is, goal. If we can create more change for goal, that more better. Defend now I can say just ok. Not that worst & weak. Problem to solve is attacking, playmaker.
Haya maoni ya wadau yananifurahisha sana. Wengi wamefahamu tatizo liko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo timo werner ikifika mwezi wa 6 mwenye kisu kikali ndio atakayekula nyama...According to the Express, Chelsea are planning a move for young CSKA Moscow striker Fyodor Chalov this month as Frank Lampard seeks to bolster his side for the second half of the season.
The paper reports the Blues are plotting a £20million January move for the Russian after postponing plans to sign Timo Werner from RB Leipzig and Moussa Dembele from Lyon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Emerson linked with Inter move
Emerson could be heading back to Serie A this month with the Independent reporting Inter Milan are ready to make an offer for the Italy international defender.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona hasemi watu gani anawataka? Alituma scouts kipindi flan wakamuangalie Savic yule wa Lazio sijui hata iliishiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa CHELSEA FACEBOOK OFFICIAL PAGE wameweka taarifa zetu za usajili kama Rumors.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini na nyie mlishindwa kuutafuta ushindi wa mashakaNadhani mmeona mchezaji wenu wa 12 wiki iliyopita alichofanywa..... Japo hamuwezi lizungumzia hilo,ila ushindi wenu ulikuwa wa mashaka.
Na hilo linahusiana na timu yenu piaWanaume tumekaa tunajadili timu yetu, wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mbeleko ile......Mbna sisi tumekuchabanga wewe na tar 21 unakuja darajani kukalia mkuyenge tena?
Sent using Jamii Forums mobile app