2009/2010 ni sawa na 2010Kuna mwamba amejibu pale juu... ni misimu 10 na siyo hizo range wanazoweka wadau. Yaani tunacount 2009/2010, 2010/2011, ... na siyo 2009, 2010, ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana huyu mwamba anayo potential ya kukuwa na kuwa bora akiwa Chelsea
Odoi mshahara mkubwa, lakini kazi bureTammy anataka mshahara sawa na Odoi. 180k, mazungumzo yamesimama kwanza kufocus kwenye usajili January. View attachment 1308292
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi fabrigas, master passChelsea wametoa kikosi bora cha decade (2009-2019) Nimeafiki kikosi hiki.View attachment 1308294
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa. William ameperform at a top level kwa muda mrefu japo amekuwa na fluctuation kidogo kama ilivyo kwa mchezaji mwingine yeyote
2010 year 1
Kwani wewe kwenye mwaka wako wa kuzaliwa unaanza kuhesabu kwenye mwaka uliozaliwa au unaofuataUkitaka kuhesabu kwenye miaka husianze na mwaka huo anzia na mwaka unafuata
Sent using Jamii Forums mobile app
2010 year 1
2011 year 2
2012 year 3
2013 year 4
2014 year 5
2015 year 6
2016 year 7
2017 year 8
2018 year 9
2019 year 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama msimu huu ukiisha akawa goals 30+ basi price yake inaweza fika hata €80Timo Werner quoting as high as £51.2m in recent months.