Juventus wanamtaka Emerson, Chelsea tunadai hatoki bila ya Paundi Mill 30
Unaacha kuikumbuka historia mbichi kabisa ya kugongwa 6 na City unaikumbuka hiyo ya enzi za mwl,.....Kabla ya kufunga mwaka ni vyema tukajikumbusha historia
Hatuchezi na City tunacheza na ninyi tar 29 na ni lazima tuweke hiyo historia ili ikijirudia msitutupie lawama kwamba hatukuwakumbusha mapema. Hii historia ni ya juzi tu 2014, sindano hata hivyo imeingiaUnaacha kuikumbuka historia mbichi kabisa ya kugongwa 6 na City unaikumbuka hiyo ya enzi za mwl,.....
Ngoja nikuletee historia maana najua hujui maana ya historia.
Stay tunned....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mfumo wa 3421 ni wa ushindi utumike kwa mwendelezo
Jorginho achezi leo ana card za njanoChelsea vs Southampton Predicted Lineup
4-3-3
________________________________________
Christian Pulisic - Tammy Abraham - Willian
Mason Mount - Jorginho - Kante
Emerson - Zouma - Rudiger - Reece James
Kepa
_________________________________________
[emoji23] tunaua kabisaHatareee mkuu. Hapo lazima tubebe EPL. Natamani lampard ajenge kikosi matata. Kikosi ambacho tukimkuta liver na city wanakula bakora za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo unaendana na wachezaji ulio nao, kwa Chelsea mfumo wa 3-4-3 naona kama unaendana na wachezaji wetu hasa wing-backs kama Alonso na azpi, wanacheza vizuri kwenye huo mfumo Zaidi ya 4-3-3 au mfumo wowote wenye backline ya 4Liverpol inatumia mfumo mmoja tuu 4-3-3, mbona opponents wanafungwa tuu? Wameshindwa kuusoma?
Au Chelsea ina wachezaji dhaifu hawawezi kuhimili mfumo mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitulize ww
Ushapigwa chuma cha moto