Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Odoi ni LEFT WINGER while Sancho ni RIGHT WINGER.Sio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.
Nahisi ni kwa sababu ya majeraha ndio wanaona kama anawachelewesha. Halafu huyo Jovic naona kama naye kafika maji ya shingo siyo yule wa msimu uliopita.Madrid wanamuuza asensio? Mbona huyu dogo alikuwa roho yao. Kuwekwa sokoni Inatia shaka uwezo wao kwa sasa. Watuuzie ile foward yao JOVIC
Sent using Jamii Forums mobile app
Isco yuko vizuri aje tu atatusaidiaWazee ISCO yupo njiani anakuja Chelsea. Sio tetesi tena [emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi Sancho nimemuangalia mechi nyingi sana huyu dogo ni fundi kwelikweli hana mjadala kabisa kuhusiana na kiwango chake.Kwa Sancho binafsi siwezi kusema chochote sijawahi kumuona dogo akicheza full mechi zaidi ya kumuona kwenye YouTube.
Kwa Zaha kwangu ni BIG NO. Willan kwa umri wake he's far better than Zaha
Ila jamani Chelsea kuna scouting team, kuna mkurugenzi wa ufundi na wasaidizi wake kwa kushirikiana na kocha kweli watuletee garassa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ruben loftus cheek ni zao la academy na tulibeba europa nadhaniNaombeni mnikumbushe kwa misimu iliyopita ni mchezaji gani alishawahi kutoka academy ya Chelsea akawa moto sana kwenye 1st eleven akaisaidia timu kubeba makombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah itoshe sasa kuuza wachezaji. Yapasa tutengeneze ufalme wa kwetu ili wachezaji wasiwe na hamu ya kuondoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli kipite mbali ukiona mchezaji manyumbu hawamtaki ijapokuwa wanasomba ilimradi, ujue huyo mchezaji hakuna kitu.
Kwa maneno yako kuhusu sancho umeniaminisha ni mchezaji mzuri asajiliwe huko mbeleni tuwauzie madrid kama Hazard.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora tuchague Asensio mara 10Real Madrid wametupa tuchague kati ya Marco Asensio na Isco, yupi bora
Isco ana 27
Asensio ana 23
sahihiKutengeneza ufalme ni kubeba makombe makubwa, wachezaji wazuri watamani kuja Chelsea.
Ndio maana wachezaji waliopo Chelsea wenye viwango duni natamani wauzwe wote yaingie majembe ya kazi turudishe heshima ya stanford bridge, ukivuka daraja hutoki bila kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh ndio ufalme wenyewe huo naouongelea.Kutengeneza ufalme ni kubeba makombe makubwa, wachezaji wazuri watamani kuja Chelsea.
Ndio maana wachezaji waliopo Chelsea wenye viwango duni natamani wauzwe wote yaingie majembe ya kazi turudishe heshima ya stanford bridge, ukivuka daraja hutoki bila kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara haiwezi kutokea. Wana madogo kibao bado wanaumiza vichwa vyao tena uwaongezee na bishoo OdoiAu Madrid tubadilishane wachezaji tuwape ODOI watupe CASAMIRO + VARANE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo habari sitaki iwe kweli aisee
Au Madrid tubadilishane wachezaji tuwape ODOI watupe CASAMIRO + VARANE
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona madrid anakuuzia mchezaji jua amaisha kabisa kama wakina Pedro....bora tutafute sokoni sio kutowa madrid hela inatosha tukiigia soko huruReal Madrid wametupa tuchague kati ya Marco Asensio na Isco, yupi bora
Isco ana 27
Asensio ana 23
Hapo sasa watasababisha uchizi kwa mashabiki wa Chelsea. Vichwa vitakua vinawaka moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu Odoi hakuingii akilini kabisa halafu tena uletewe Zaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mateo kovasic ni mbovu?Ukiona madrid anakuuzia mchezaji jua amaisha kabisa kama wakina Pedro....bora tutafute sokoni sio kutowa madrid hela inatosha tukiigia soko huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kibaya zaidi ni mgerenza lini mgerenza awe na mpila wa £120m anacheza miaka miwili huoni tena hawana vipaji asiri vya mpila hao watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni mnikumbushe kwa misimu iliyopita ni mchezaji gani alishawahi kutoka academy ya Chelsea akawa moto sana kwenye 1st eleven akaisaidia timu kubeba makombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote mpila wao ulikua wa training mazoezi yani wa kufundishwa sio wakipaji cha asiri.....kama Messi Rivadol Ronadiniho Ronaldoh nk. Kununua raia wa uingereza £120 no sawa sawa na kubeti mkeka