Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli mkuu tunahitaji wachezaji wapya 6 waingie moja kwa moja 1st eleven.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji 6 kwa mpigo!? Je kati ya hao wakiflop wanne? Kusajiri ni gambling mkuu. Tuimarishe kikosi chetu taratibu. Kwa kuanzia tuanze na CB, LB na striker. Alafu huwezi kuwauza Azpillicueta na Willian wakati huu. Hiki ni kizazi kinachopaswa kurithisha mafanikio kwa wale wanaokuja. After next season mmoja wao anaweza kuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Usitukumbushe tulikotoka Mkuu I'm begging you!

Sitaki hata kusikia kipindi hicho ambapo tukikutana na Albion , Stoke, Westham, Palace, Wolves and co tunaliwa nje ndani.
Kwa hiyo lazima na sisi tujitahidi kuyazoea haya. Hazard kauzwa, hakuna replacement. Costa kawa replacent na kijana ambaye hana uzoefu. He needs two/three seasons to adapt. Hapo hapo hatukusajiri hata mchezaji mmoja. Na bado Lampard kuna mambo anajifunza japo I see the bright future for Lampard. So haya ni ya kawaida. Jana matokeo yameniuma sana ila baada ya kutafakari haya, I have no one to blame. Pep msimu wake wa kwanza nusra amalize nje ya top four pamoja na usajiri aliokuwa amefanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti iko hapa:
Klopp alipewa Misimu MINNE kuitengeneza Timu.

Lakini Chelsea ilishindwa kumpa Sarri hata Msimu mmoja kutengeneza Timu.

Sasa Chelsea ni vigumu kocha kueka Falsafa yake kwani haipotayari kumvumilia Kocha hata Msimu mmoja.
 
LAMPARD ni kocha kiazi sijawahi kuona, hata akimsajali MESSI bado akiendelea kulazimisha kumchezesha MOUNT, na kumweka Jorginho au Kavasic nje, ataendelea kupgwa mpaka akili imkae sawa. Kikosi cha ushindi ni JORGINHO, KOVASIC na KANTE
 
Mashabiki wakati mwingine muwe na uvumilivu. Lampard ni kocha anayejifunza kwa haraka tofauti na Sarri na ndio maana mechi zingine Mount anabaki benchi.
 
Wana Chelsea tukumbuke kuwa msimu wa siku za Desember hata vibaka na wezi huongezeka mtaani. Huwa ni mwezi mgumu na wenye pilikapilika nyingi. Kwenye EPL ukipita salama December unatakiwa kumshukuru Mungu
Sasa hivi tuendelee tu kuziombea mabaya hawa wanaotuvizia hasa Spusr leo kachomoa, Man U kajitahidi
Arsenal; ndio anabembelezewa magoli naona yatafika 6 tu
Hizi mechi zilziobaki za December kocha akija na mbinu na mkakati tukaondoka na point hata tano au sita bado tuko top 4
 
Tofauti iko hapa:
Klopp alipewa Misimu MINNE kuitengeneza Timu.

Lakini Chelsea ilishindwa kumpa Sarri hata Msimu mmoja kutengeneza Timu.

Sasa Chelsea ni vigumu kocha kueka Falsafa yake kwani haipotayari kumvumilia Kocha hata Msimu mmoja.
Abramovich anaanza kugundua development ya watoto inaweza kumpa hela ndefu. So lazima watafute kuwa na kikosi ambacho ni hybrid ya home groomed talents na world class players ili kucomplement kikosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wakati mwingine muwe na uvumilivu. Lampard ni kocha anayejifunza kwa haraka tofauti na Sarri na ndio maana mechi zingine Mount anabaki benchi.
Hivi kweli kweli? kocha haoni kwamba partinership ya Kante, Jorginho na Kovasic inaleta matokeo positive, wakiwepo hao hat wachezaji wengine utaona wanaperform, wasipokuwepo kila mchezaji utamuona anarukaruka tu, kinachomsumbua huyu kocha ni kulazimisha waingereza wenzake wacheze .........
 
LAMPARD ni kocha kiazi sijawahi kuona, hata akimsajali MESSI bado akiendelea kulazimisha kumchezesha MOUNT, na kumweka Jorginho au Kavasic nje, ataendelea kupgwa mpaka akili imkae sawa. Kikosi cha ushindi ni JORGINHO, KOVASIC na KANTE
Kikosi cha ushindi ni Kovacic na Joginho hasa ukizingatia kuwa Rudiger ameaharudi pale nyuma... Hii kiungo ya Kova na Joginho imesumbua matches nyingi sana pale nyuma... Yaani watu wametoka majeruhi ndo tumeanza kuboronga aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…