Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeangalia mpira kwa dakika 10 za mwisho aseeh nimebreka vibaya tena naanza kuangalia ndio nashuhdia tunapigwa goli la tatu. Hivi inakaje beki anafanya uzembe kama ule na hawa ndio wanasababisha Kepa analaumiwa. Lampard afanye maamuzi mazuri kumuacha nje kiungo anayefanya vizuri siyo maamuzi mazuri.

Nawaza anadhamiria nini? Bado sielewi
 
Mech ya leo nilisema tangu mapema itakuwa ngumu

Tunafungwa magoal ya kizembe
Rudiger arudi then tusajil beki mwingine wa kati na pembeni
 
just hahahahahahhhhhahahahahahhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…