Kama kawaida, butua butua ni nyingi sana!
mbona umeanza kukata tamaa mapema
Mkulima hayu[po leo?
Maxi Rodrigues breaks the deadlock! One nil Reds..
Mikel alitoa boko la mwaka... Wonderful passing by Liverpool in the box kabla wafunge.
Chelsea ngoma yao ngumu.liver wanatakiwa waendelee na speed hii hii
He! Kumbe helmet ya Cech ina kifuko cha kuwekea simu?