interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Toa red card kwa kepa shati kwanza kabla ya kuchambua mchezaji m1 mAfadhali mpira umeisha
Jamaa wametushusha kutoka possession ya 56% hadi 51
Kepa ana psychological na mental problem
Wachezaji wengi hawakucheza kwenye form yao
Ningechambua Zaidi lakini nimeangali kuanzia dk ya 60 tu
Utoto + Kepa = chura na na majiHalafu keppa sometimes anafanya usenge , lile goli la pili kazingua
Yeye ajax akisuluhu na valencia basi sisi tunapitaSasa tuombe dua ajax afungwe au draw ili mechi na Valencia wasisinzie
Kwa matokeo Haya tuna uwakika wa kusonga mbele kweli?
Chelsea huku uefa hampawez level zenu ni uropa
Umeanza kujihami hahahaaaaaaa Ni futuhi ndio ni futuhiiiiiiiIkitokea bahati mbaya tukaenda kule kwenye kombe la vibonde, Arsenal na Man U hawatakuwa na furaha kabisa
Tayari Valencia washafanya yaoTaka sasa
Chambua tu mkuu,Afadhali mpira umeisha
Jamaa wametushusha kutoka possession ya 56% hadi 51
Kepa ana psychological na mental problem
Wachezaji wengi hawakucheza kwenye form yao
Ningechambua Zaidi lakini nimeangali kuanzia dk ya 60 tu
Labda msonge ugali mkuuKwa matokeo Haya tuna uwakika wa kusonga mbele kweli?
Heee...!!!!Hiyo mtu kwenye uongozi alipendekeza KEPPA asajiliwe na chelsea atafutwe anyongwe.
Wewe upo nafasi ya Europa tu,Ajax kashinda leo. Sasa kazi imebaki kwetu ni kuhakikisha tunamfumua Lille hayo matokeo mengine ya Ajax na Valencia watakaa wajadiliane wao wenyewe nani aende nani ashuke.
Biashara tumeshindwa kufanya asubuhi jioni tutatweza kweli? Lile wakitudindishia?.Tutasonga endapo tu tutamfunga lile
Biashara tumeshindwa kufanya asubuhi jioni tutatweza kweli? Lile wakitudindishia?.
- Tukimfunga Lile tutasonga
- Tukitoa draw kule wakatoa draw tumekwenda na maji
- Tukifungwa na Valencia wakafungwa tumekwenda na maji pia
Kovacic ni mtu kwel kwel.Kovacic kaimprove sana . Nahisi madrid wanatamani kumrudisha tena kwenye himaya yao
Tukifungwa na Valencia wakafungwa na Ajax, H2H yetu na Valencia wao wako juu yetu kwa hiyo tutabakiHiyo #3 naomba ufafanuzi
We kapambane na arsenal yako... hii chelsea siyo saiz yako...Labda msonge ugali mkuu
Wewe upo nafasi ya Europa tu,
Utabiri wangu game ijayo lazma msuluhu na Lille na Ajax anagongwa na Valencia au wanasuluhu pia hahahaaaaaa
Futuhi