Hivi yule aliyefinywa akaserereka 1km then KDB akatia msumari ni nani mkuu?Umeme ulikatwa Ndugu Aguero na Sterling wamehangaika sana, vimakosa tudogo dogo za hao dogo wetu wa backline ndio yamezaa hayo magoli miwili ya De Bruyne na Mahrez. Bado tuna nafasi kubwa tu ya kujibu mapigo darajani
Hahaaaa mmeshaanza mkifungwa viingereza vinakuwa vingi kama walevi wa gongo,mshaanza kuiga tabia za wale fans wa jukwaa lile....Still we haven't got the key against big matches ,what I think the Chelsea manager is working on it ,the second round we shall demonstrates what blues supporters wish to s3e..Blues is the color
Aisee zeruzeru nimepa credit, huyu jamaa ana nguvu ya farasi. Akikamata mpira anapiga bullet muda wowote
100%Siku utakapojua kuwa Project ya Vijana ilimshinda Wenger ndiyo utafahamu kuwa Lampard hawezi kushinda mechi yoyote ya Top 6
Wewe mwenyewe unajua sema ubishi wako tu na mibichwa yenu migumu ya kupingana na ukweli hebu angalia hapa alafu useme nani anaweza chukua namba kutoka kwenu kama sio mahaba yamewajaaHujui ulicho kiandika labda nikukumbushe combined kati ya Man utd na Liver hakuna mcheza yeyote wa Man utd aliekuwepo wote walikuwa wa Liverpool, kwaiyo toa hicho kisingizio kuwa lazima mmoja awepo
Zeru zeru anapenda kutuonea sana. Kila tukikutana lazima hatufanye nyama. Jamaa ana hasira na chelsea [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nakiri kwamba this round hatutafunga timu kubwa. May be next round tukafanya wonders
Comeonchelsea
Unaota mchana kweupeeeeeeeeee.....Hatuwezi shindwa kuwadunda hata arsenali....
Ndugu LukubStill we haven't got the key against big matches ,what I think the Chelsea manager is working on it ,the second round we shall demonstrates what blues supporters wish to s3e..Blues is the color
Sikusema kuna ubaya, fuatilia niliyekuwa namjibu ndio umwage wino nduguKwani kucheki bandani kuna ubaya gani mkuu,mbona kama umejifungia kwenye box la fikra!!!
Wewe naona unaonaga raha ukimwaga pumba, raha yako sio lazima iwe raha yangu. Wengine tuna vipaumbele na hujui unaongea na mtu wa kaliba ipi? Sio kila shabiki wa mpira ni lazima aende kwenye makusanyiko ndipo afurahie mpira. Wewe kwa kaliba yako ya kupenda ubishi huko kwenye makusanyiko ni saizi yakoKwani kuangalia nyumbani ndio nini mkuu?ndio kuna tofauti na anayeangalia bandani au bar?????kiasi uanze kujiona wewe ndio unauona vizuri mpira kuliko wengine!!!!hahahaaaa wenzio tunaacha kicheki home tunaenda kufata radha ya soka kwenye mikusanyiko,ndio maana hamuwezi kuface changamoto maana mshazoea kujifungia ndani,mkibustiwa kidogo tu mnachanganyikiwa...teh teh
Sasa leo nimeamini kumbe hiki kitimu cha wala ganja wa Arusha,
Haya kila mtu achukue kimojakimoja apoze machungu....View attachment 1270961
Unaota mchana kweupeeeeeeeeee.....
Hata wakitoa draw wakitoa Dully Jr tumtafutie zawadi ya kumpongezahii arsenal inayostruggle kwa soton ndo imfunge chelsea...
Zeru zeru anapenda kutuonea sana. Kila tukikutana lazima hatufanye nyama. Jamaa ana hasira na chelsea [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nakiri kwamba this round hatutafunga timu kubwa. May be next round tukafanya wonders
Comeonchelsea
Top six ndo uchafu gan huoSiku utakapojua kuwa Project ya Vijana ilimshinda Wenger ndiyo utafahamu kuwa Lampard hawezi kushinda mechi yoyote ya Top 6
Unaota mchana kweupeeeeeeeeee.....