Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Kwa kiwango vijana walioonyesha vijana leo ni timu mbili tu za EPL zinaweza kuifunga Chelsea nazo ni Man City na Liverpool, hao wengine ni kugawa dozi tu mpaka kieleweke
Chelsea wamefungwa mara 2 na Man It'd. Na wakikutana tena wanakufa.
Tottenham wanaweza kuchukua points 4 kwa Chelsea.
Man city leo kafanyiwa high pressing mpaka wakapasiana kwa 85% pass accuracy dhidi ya Chelsea 89%. Hii sio kawaida ya Guardiola
MANCHESTER UNITED vipiKwa kiwango vijana walioonyesha vijana leo ni timu mbili tu za EPL zinaweza kuifunga Chelsea nazo ni Man City na Liverpool, hao wengine ni kugawa dozi tu mpaka kieleweke
Weka hii post kumbukumbu
Naheshimu mawazo yako mkuu, Man U wametufunga ile mechi vijana ndio walikuwa wanaanza EPL na kocha mgeni EPL makosa makosa yalikuwa ni mengi. Hayo makosa makossa leo wewe shahidi yamepungua sana na backline imebalance. Karabao ile sio mechi ya yakuhesabia, vijana walijaribishwa na wakongwe walicheza kwa tahadhari wasipate majeruhi, unajua hata Liverpool huwa wanatolewa kwenye hizi mechi kwa sababu hii hii niliyotajaChelsea wamefungwa mara 2 na Man It'd. Na wakikutana tena wanakufa.
Tottenham wanaweza kuchukua points 4 kwa Chelsea.
Nilikiona leo nikiwa kama mpenzi hasaa wa chelsea.
Batshuayi ni wakuuza kabisa, unaingia sub 70 min mkiwa goli moja nyuma, unapoteza mpira unacheka. Kila mda uko offside..
Dirisha la usajili tunahitaji sana back-up ya tammy. Vinginivyo we will never have an option be.
Tammy ni talent nzuri,, lakin anahitaji mazoezi ili azidi kua strong na pia concentration yake leo ilikua ndogo sana.
He loose the ball two times, and we were punished.
Mason ni kipaji cha juu,, ajifunze tukaba zaidi naamin ataichukua namba ya kovacic kiurahisi kabisa.
Giorginho. Ni mhimili wa timu. Kuanzia utulivu, ulinzi hadi mashambulizi. Nikionaga anafanyiwa sub tu najua no creativity anymore.
Emmerson concentration yake always ni ndogo hasa kwenye big match,, nadhan tukimaliza kifungo moja ya sehemu ya kuongeza mchezaji ni left back
Azpilicueta, superbly play.. He deserve the spot day in day out.
All and all, Ze blues forever
Wewe ndie umeanzisha sihitaji mimi kuweka, najiaminiWewe ndiyo uweke, mimi nimemaliza.
Alikuja. Ukafanya nn? [emoji23]Usikalili maisha hata huyo man u atakuja tu pale machinjion
Lete matokeo mkuuTulia ngoma ya kitoto haikeshi
Mtoto halali na hela
Sisi ndo Chelsea
Una utani na Ollachuga Oc na kugenge chakeKuna baazi ya mashabiki wanasubili team ishinde ndo watokee, team ikiwa imefungwa namna hii hawatokeagi kabisa
Alafu zikipita siku tano ndo wanatokea
Sawa hii mechi itarudiwa badae utachezesha hiko kikosi chako mkuuMount - Bat Man - Willian
Kovaci - Jojinyo - kante
James - tomori - zouma - Azipl
Kepa
Hicho kikosi ndio kilifaa kuanza kwa jinsi nilivyo uona huu mchezo. Huwezi kuwa serious kumpanga Abraham. Dogo mchele sana
Conte aliyemuuza Diego Costa alaaniwe daima hadi Chelsea FC itakapopata striker hatari kama yeye, 7bu leo Chelsea ingekuwa na striker wa nguvu isingefungwa.Nilikiona leo nikiwa kama mpenzi hasaa wa chelsea.
Batshuayi ni wakuuza kabisa, unaingia sub 70 min mkiwa goli moja nyuma, unapoteza mpira unacheka. Kila mda uko offside..
Dirisha la usajili tunahitaji sana back-up ya tammy. Vinginivyo we will never have an option be.
Tammy ni talent nzuri,, lakin anahitaji mazoezi ili azidi kua strong na pia concentration yake leo ilikua ndogo sana.
He loose the ball two times, and we were punished.
Mason ni kipaji cha juu,, ajifunze tukaba zaidi naamin ataichukua namba ya kovacic kiurahisi kabisa.
Giorginho. Ni mhimili wa timu. Kuanzia utulivu, ulinzi hadi mashambulizi. Nikionaga anafanyiwa sub tu najua no creativity anymore.
Emmerson concentration yake always ni ndogo hasa kwenye big match,, nadhan tukimaliza kifungo moja ya sehemu ya kuongeza mchezaji ni left back
Azpilicueta, superbly play.. He deserve the spot day in day out.
All and all, Ze blues forever
Huna adabu kwa wanaokukong'ota mkuu,...man u kakupiga game mbili mfululizo ila unamkubali liver uliyesuluhu nae......kichaa kinakuanza nini mkuuKwa kiwango vijana walioonyesha vijana leo ni timu mbili tu za EPL zinaweza kuifunga Chelsea nazo ni Man City na Liverpool, hao wengine ni kugawa dozi tu mpaka kieleweke
Alafu ubawo?????Man city leo kafanyiwa high pressing mpaka wakapasiana kwa 85% pass accuracy dhidi ya Chelsea 89%. Hii sio kawaida ya Guardiola