Ngwaba saa nyingine utani usiokuwa na mashiko weka pembeni, hii Man City sio ile ya mwaka jana na ndio maana nyie mumemfunga kirahisi. Timu hii ya PEP haina defense nzuri na ndio kilio cha baada ya LaPorte kwenda majeruhi. Sana sana wanaweza kushinda kwa margin ndogo au tukawafunga pia kama mabeki wetu wakiamka siku hiyo na kuwa makini maana mbele tunauhakika wa kufunga magoliUkishapigwa 6 usijekusingizia mumemuachia ili Liverpool asibebe ubingwa
MrudisheniAlvaro Morata amefunga magoli mechi 6 mfululizo. Yuko moto
Huyo Giroud tu barCa walimfukuziaKun a watu humu ndani walikejeli sana kuhusu uwezo wa Willian na wengine wakamshusha dhamani yake kutokana na magoli machache anayofunga. Nafikiri sasa wanaona Willian ni mchezaji wa namna gani na kwa nini Bracelona walikuwa wakimfukuzia. Nilicomment kuwa mchezaji saa nyingine hawi maarufu/legend kwa sababu ya wingi wa magoli anayofunga bali play style yake na kwa vipi anainfluence timu kucheza vizuri na kushinda.
Huyo ndie Willian waingereza wanasema "Inform Willian"
View attachment 1260123
Dogo wa Salzburg jana kapiga hattrick ya 5 msimu huu.
Chelsea tumnunue apambanie namba na Tammy
Giroud, batshuayi watupishe.View attachment 1260338
Usitie shaka mechi hii imekuja mapema kabla ya Laporte,Zelichekhno kupona tutawaangukia lazima ,matokeo yatakufurahisha hatutakuangusha .Ukishapigwa 6 usijekusingiziamumemuachia ili Liverpool asibebe ubingwa
Dogo wa Salzburg jana kapiga hattrick ya 5 msimu huu.
Chelsea tumnunue apambanie namba na Tammy
Giroud, batshuayi watupishe.View attachment 1260338
Bora kununua mchezaji aliyefunga goli 20 championship kuliko kununua mfungaji bora wa ligue ndogo ndogoNakushauri tu usihadaliwe na wafungaji wa Ligi za mchangani akija Ligi ya EPL huyo utajuta kumnunua
Aaron alitegemea team yenye mkusanyiko wa majina makubwa ndio inapata ushindi na yenye wachezaji wa kawaida wanashika namba 10Mungu jaalia kabla ya mechi yetu pendwa Laporte awe ameshapona ili tumrudishe kwene huu UZI Rafiki yangu kipenzi Aaron
Aaron alitegemea team yenye mkusanyiko wa majina makubwa ndio inapata ushindi na yenye wachezaji wa kawaida wanashika namba 10
Bora kununua mchezaji aliyefunga goli 20 championship kuliko kununua mfungaji bora wa ligue ndogo ndogo
Nyie mmewarudisha Gnabry na Chamberlain?Mrudisheni
Nyie mmewarudisha Gnabry na Chamberlain?Mrudisheni
Hakuna timu hapaView attachment 1260870
Gambling haisemi hivyoBora kununua mchezaji aliyefunga goli 20 championship kuliko kununua mfungaji bora wa ligue ndogo ndogo
Hii ndio sababu Chelsea ina wachezaji wemgi walio kwa mkopo na ina sita sita kuwauza.MOU alikana hakuhusika Katika kuuza MO Salah kwa Roma
The Egyptian lasted just 12 months at Stamford Bridge, starting only six games in the Premier League before being loaned to Fiorentina in February 2015.
Mourinho, however, has insisted it was not his decision to sell the winger to Roma, telling ESPN: “People say that I was the one that sold Salah and it is the opposite.
“I was the one that bought Salah. I was the one that told Chelsea to buy Salah… But he came as a young kid, physically he was not ready, mentally he was not ready, socially and culturally he was lost and everything was tough for him.
“Chelsea decided to sell him, OK? So the decision to send him on loan was a decision we made collectively, but after that, the decision to sell him and to use that money to buy another player wasn’t mine.”
It’s fair to say whoever at Chelsea made the call will have been regretting it come 2017 when Salah returned to England with Liverpool and has proceeded to score an incredible 74 goals in 110 games.
Na sio ajabu pesa za kumuuza Mo Salah ndio ilitumika kumnunua aidha Bakayoko au Falcao (majina makubwa yaliyofeli)Hii ndio sababu Chelsea ina wachezaji wemgi walio kwa mkopo na ina sita sita kuwauza.
Mimi naona wakati mwingine kumtoa mchezaji kwa mkopo inadumaza sana kiwango chake hasa kisaikolojia anakua hajiamaini. Mfano unaweza kuta huyu Batshuayi sasa ivi kiwango chake kiko chini leo tukiamua kumuuza akaenda hata West ham au Watford usishangae akaonyesha kiwango kikubwa mpaka mtu ukaanza kushangaa alikua anashindwa nini akiwa Chelsea.? Refer huyu beki wetu wa kati (Nathan Ake) tulimuuza Bournemouth cheki sa ivi kiwango chake.
Hizi ndio kamari zenyewe.