Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Kwahiyo mkuu tunyamaze tu hata kama tunashinda siyo.

Wonderful
 

Kingine unachotakiwa ujue mkuu ni kuwa timu yako imeshikiliwa na mchezaji moja kama si wawili.

Mane asipokwepo liver hupati matokeo hata kama VVD awe kwenye form. Pia angalia siku salah hakikosekana uwanjani unavyostrugle kupata matokeo.

Partnership ya Mane na Salah ndiyo inakupa matokeo. Salah akiwepo uwanjani Mane anacheza kwa huru ivo ivo kwa salah pia.

So klop anatembea na nyota ya Mane
 

Sijui nikufukulie Makaburi yaliyosema akiondoka Coutinho tutashuka daraja?

Au nikufukulie Makaburi ya Aroon aliyosema Mutakamata nafasi ya 10 - 15 kwa kuondoka Hazard?

Mpira haupo hivo bro! Mane ataondoka kama walivyoondoka Coutinho na Hazard na Timu itafanya Vizuri.

Ni kauli za wasiojua mpira ndiyo utasikia akiondoka mchezaji Fulani Timu itapotea.
 

Ulimfunga Barcelona 4_0 na forward ya Origi/Xhaqiri. Kwenye mpira akiondoka mchezaji mmoja mwingine anaingia kuchukua nafasi au mfumo unabadilika kuendana na mabadiliko.

Huyo Mane si alikuwa wa kawaida tu wakati mnamsajili?
 
Umeona JUVENTUS wanavyohaha kuelewa sari ball, wanashinda kwa shida.

Babu SARI amewaambia itawachukua miezi 6 kuelewa SARI BALL

Wangemchukua JOGINHO ingewachukua miezi 3 kucheza SARI BALL.
Babu sari ni mhuni sana anapenda mpira wa show of usio na manufaa yeyote yale
 
Huwa husimamii unachokisema. Mara Chelsea itamaliza nafasi nje ya top 6. Mara baada ya mechi 10 itakuwa nje ya top 6. Sasa naona umeamia msimu ujao baada ya kukubali kuwa msimu huu Chelsea itamaliza ndani ya top 4
 

Konte umemsahau au humjui mkuu?
 
Lini kamanda kova na Pulisic walikuwa first 11 chini ya Sarri Masigara mwaka jana?
Hebu nitajie hao wachezaji walioanza jana ambao wamepandishwa na kocha, huwezi sema kepa, azpi, zouma, emerson, jorginho, kamanda kova, willian na pulisic ni chipukizi wasio na uzoefu
 
Lini Zuma, Mont, Tomori, James walianza first 11 chini ya Sarri Masigara mwaka jana?
 
Si mlisema Lampard hamalizi msimu huu? Sasa miwili inatoka wapi?
 
Kuzoeana na kocha sio mchezaji kukaa muda mrefu, jaribu kumuelewa mwenzako kabla hujabonyeza keyboard
 
Na zile penalty za kujiangusha, refa wa jana akamshitukia mpaka akamlamba kadi
 
Wamebaki wasengerema tu humu washabiki wa chelsea kindakindaki wanachungulia kwa mbali haya mapunga yanavyoharibu hili jukwaa.....
 
Lini Zuma, Mont, Tomori, James walianza first 11 chini ya Sarri Masigara mwaka jana?
Issue sio kuanza first 11, issue ni wachezaji kukaa na kocha muda mrefu na kuijua vizuri falsafa ya kocha. Wacheza hao mnaowaita wazoefu walikaa na Sarri mwaka mmoja akaondoka, akaja Lampard hata msimu haukuisha na wanafanya vizuri. Liverpool na Spurs walikaa na makocha wao Zaidi ya miaka minne kabla hawajaanza kuonyesha matunda ya kuzoeana na kocha wao na kuijua falsafa ya kocha vizuri hapo ndipo penye mada hii ya mcheza kuwa mzoefu haina mantiki
 
Huwa husimamii unachokisema. Mara Chelsea itamaliza nafasi nje ya top 6. Mara baada ya mechi 10 itakuwa nje ya top 6. Sasa naona umeamia msimu ujao baada ya kukubali kuwa msimu huu Chelsea itamaliza ndani ya top 4
Halafu King Ngwaba alikuwa upande wa akina Manure na Arsenali kutusodoa ila sasa anaona Chelsea inafanya vizuri anajifanya hashindi kwenye majukwaa ya majirani ili asiwe mmbeya wakati ligi lipoanza alihamia huku kwetu. Sasa kajipiga ban kwa muda ili tusimuone mbeya wakati tulishamrekodi mwanzoni na posts zake nyingi ziko huko akiungana nao mkono akina Aroon mara Chelsea mechi kumi mara januari Chelsea ikiwa top 6 itachukua ubingwa. Sasa Ngwaba anarudi na gia nyingine mdogomdogo akiwakandia akina manure na Arsenal
 
Huwa husimamii unachokisema. Mara Chelsea itamaliza nafasi nje ya top 6. Mara baada ya mechi 10 itakuwa nje ya top 6. Sasa naona umeamia msimu ujao baada ya kukubali kuwa msimu huu Chelsea itamaliza ndani ya top 4

Mimi sihusiki na chochote juu ya ufahamu wako kwa kile ninachokiandika na ukashindwa kukielewa
 
 
Si mlisema Lampard hamalizi msimu huu? Sasa miwili inatoka wapi?

Mpira sio boiling point kama inaremain constant

Huwezi kunilazimisha nishikilie mawazo ya mwanzo wa msimu au ya mechi iliyopita

Kila wiki ninasimama na mawazo ya wiki husika

Ni kweli mwanzo wa msimu nilisema Chelsea hamalizi ndani ya Top 4 na Lampard hamalizi msimu! Lakini nilisema hayo kutokana na situation ya wakati huo pale mulipofungwa 4 na Timu mbovu ya Manure.

Lakini sasa Chelsea imebadilika je unataka nikatae mabadiliko? Nikatae reality?

Mimi ni mshabiki wa Mpira sio Mliverpool halisi anayesema Henderson ni bora kuliko Joginho! So wacha niende na uhalisia wa wakati uliopo.

Sasahivi ukiniuliza kuhusu Chelsea nitakwambia anaweza kumaliza Msimu huu juu ya Man City na ni lazima amalize msimu ndani ya 3 bora.

Performance ni graph linapanda na kushuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…