Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Jorginho & Kovacic vs Watford:
Jorginho:
[emoji736]138 touches
[emoji736]117 accurate passes
[emoji736]90% passing accuracy
[emoji736]11 long balls attempts (7 accurate)
Kovacic:
[emoji736]154 touches
[emoji736]134 accurate passes
[emoji736]95% passing accuracy
[emoji736]12 long ball attempts (11 accurate)
World Class [emoji634][emoji1082] #CFC
Hapa Kante na RLC wapo nje. Hiiiiiiiii!!!!!!!View attachment 1252491
Rodgers alikua mzuri na bado ni kocha mzuri..Nashauri tu punguzeni Mbwembwe musije mukawa kama Manure.
Manure waliposhinda Vijimechi Viwili ikisha wakaja Wakawafunga na Nyinyi, Kuna watu tulishaanza kupotea kwa Kelele zao kila Nyuzi wapo! Sasahivi nenda kwenye Uzi wao Washaanza kumtukana Wan Bisaka Kuwa hana Msaada wowote wakati walikuwa wakimsifia kila sekunde ya wakati.
Kwahiyo na Nyinyi bora kwanza Munyamaze at least misimu 2 Lampard aprove.
Munamkumbuka Brendan Rodgers alipokuwa Liverpool mwanzo (2013/14)?
Alifukuzana na City kidole kwa Kidole mpaka mwechi ya mwisho ya Msimu tukadhani tumepata bonge la Kocha!!!
Kudadadeki msimu uliofuata alitaka kutushusha daraja utadhani siye yule wa Msimu uliyepita.
Rodgers alikua mzuri na bado ni kocha mzuri..
Angalia leicester wanavyocheza soka zuri la kuvutia..
Tatizo liverpool iliuza majembe bila replacement ya maana (Sterling & Suarez out) ..
Sasa klopp na umafia wake wote embu awauze wachezaji wawili tu pale mbele salah & Mane, uone chamoto
Tottenham walishakaa zaidi ya miaka mi4 na kuzoeana vizuri katika football consistency wakiwa na Pochetinho pekee.Kutokusajili Msimu mmoja hakuifanyi Timu ipoteee!
Last season spurs hakusajili na alifanya vizuri
Masimu huu Chelsea hajasajili na anafanya vizuri
Pia Liverpool nayeye msimu huu hajasajili kama Chelsea na anafanya Vizuri
Usije kushangaa Chelsea itakapokuja kisajili next season ndiyo wakaboronga kwani Hii Timu ya sasa ambayo imeshatengenezeka italazimika kupanguka na kuingiza New Face ambazo zitahitaji muda kuadapt
Inategemea wanamsajili nani, wakimsajili type ya VVD haitaji hata mechi mbili kuadaptKutokusajili Msimu mmoja hakuifanyi Timu ipoteee!
Last season spurs hakusajili na alifanya vizuri
Masimu huu Chelsea hajasajili na anafanya vizuri
Pia Liverpool nayeye msimu huu hajasajili kama Chelsea na anafanya Vizuri
Usije kushangaa Chelsea itakapokuja kisajili next season ndiyo wakaboronga kwani Hii Timu ya sasa ambayo imeshatengenezeka italazimika kupanguka na kuingiza New Face ambazo zitahitaji muda kuadapt
Madrid wakimuangalia kovacic machozi yanawadondoka. Jamani embu bodi wapitie mkataba wa mauziano ya kovacic. Madrid wajanja wajanja usikute wameweka kipengele cha kurudisha pesa na kafidia wamrudishe kovacic.
KANTE akirudi wacheze 3 katikati
KOVACIC - JOGINHO - KANTE
Sasa hivi uaza tu Mane kwa sababu Mane ndio chanzo cha magoli mengi kwa Liverpool, mbele watakuwa butuRodgers alikua mzuri na bado ni kocha mzuri..
Angalia leicester wanavyocheza soka zuri la kuvutia..
Tatizo liverpool iliuza majembe bila replacement ya maana (Sterling & Suarez out) ..
Sasa klopp na umafia wake wote embu awauze wachezaji wawili tu pale mbele salah & Mane, uone chamoto
Niliona ila alishachoka lampard alipaswa kumtoa mapema ..Ollachuga hajui hata goli la pili lilitokana na movement ya Willian? [emoji28]
Ivi tunawezaje kufanyaje vizur wakati tumezuiwa kusajili ni uchawi au nini?
Adui muombee njaa lakin jaman tufike hatua kwenye maombi yetu tuwakumbuke na arsenal pamoja woman United
Ile pass ya Jorghihno sio nchi hii ..ni balaa..Jorginho & Kovacic vs Watford:
Jorginho:
[emoji736]138 touches
[emoji736]117 accurate passes
[emoji736]90% passing accuracy
[emoji736]11 long balls attempts (7 accurate)
Kovacic:
[emoji736]154 touches
[emoji736]134 accurate passes
[emoji736]95% passing accuracy
[emoji736]12 long ball attempts (11 accurate)
World Class [emoji634][emoji1082] #CFC
Hapa Kante na RLC wapo nje. Hiiiiiiiii!!!!!!!View attachment 1252491
Huwezi kuacha kusifia kizuri eti ukisema ngoja kesho tuone itakuaje. Wakati ni sasa wamefanya vizuri wape pongezi zao zinazostahili. Hayo ya baadae itajulikana wakati ukifika.Nashauri tu punguzeni Mbwembwe musije mukawa kama Manure.
Manure waliposhinda Vijimechi Viwili ikisha wakaja Wakawafunga na Nyinyi, Kuna watu tulishaanza kupotea kwa Kelele zao kila Nyuzi wapo! Sasahivi nenda kwenye Uzi wao Washaanza kumtukana Wan Bisaka Kuwa hana Msaada wowote wakati walikuwa wakimsifia kila sekunde ya wakati.
Kwahiyo na Nyinyi bora kwanza Munyamaze at least misimu 2 Lampard aprove.
Munamkumbuka Brendan Rodgers alipokuwa Liverpool mwanzo (2013/14)?
Alifukuzana na City kidole kwa Kidole mpaka mwechi ya mwisho ya Msimu tukadhani tumepata bonge la Kocha!!!
Kudadadeki msimu uliofuata alitaka kutushusha daraja utadhani siye yule wa Msimu uliyepita.
Tottenham walishakaa zaidi ya miaka mi4 na kuzoeana vizuri katika football consistency wakiwa na Pochetinho pekee.
Halikadhalika Liverpool ilikuwa ishapata uzoefu mkubwa chini ya Klop kwa zaidi ya miaka mi3 nyuma wakiwa na wakongwe wengi tofauti na Lampard aliyejijenga kwa muda mchache kwa wachezaji wengi toka kikosi B.
So hoja yako haijashiba ipasavyo labda kajinoe zaidi ndipo uje tena kujitetea vzr.
pale tuliramba dume.
Halafu sisi madrid ni watani zetu. Walitupiga kwa Morata na sisi tukawapiga kwa thibaut. (
Kwa Morata Si tulirudisha pesa yote ..yani hatukuwa na faida wa khasara.pale tuliramba dume.
Halafu sisi madrid ni watani zetu. Walitupiga kwa Morata na sisi tukawapiga kwa thibaut. (
Sasa hivi uaza tu Mane kwa sababu Mane ndio chanzo cha magoli mengi kwa Liverpool, mbele watakuwa butu
Tatizo huyo mtoto ubishoo mwingi...
Frank anapaswa atafute funguo ya kuzifunga top 6 hawa wadogo hakuna atakaye pona soka tunalopiga ni zito kwao lazima watoe tu hakuna namna ,blue is the colour ,blues pride of London .
Hebu nitajie hao wachezaji walioanza jana ambao wamepandishwa na kocha, huwezi sema kepa, azpi, zouma, emerson, jorginho, kamanda kova, willian na pulisic ni chipukizi wasio na uzoefuTottenham walishakaa zaidi ya miaka mi4 na kuzoeana vizuri katika football consistency wakiwa na Pochetinho pekee.