Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,056
- 27,460
Dgo anakaba mwanzo mwisho alafu ana block vizuriTomori akiendelea hivi ana nafasi kubwa kuchukua namba moja kwa moja.
Hahaha lile mpka lipate penati banaLile tabulasa lao la rashiford lina goli ngap? Tucompare na Captain america
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wanatafuta pakuponea halafu amnaMashabiki wa man u wanaandika wanafuta wanaandika tena wanafuta
Alishachukua siyo anaeza.Odoi anatakiwa akaze sana ..Capitaini anaeza beba namba ake..
Willian alikuwa wakutoka mapema sana.
Odoi amekuwaje aisee?