Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Sasa kwa akili yako na lampard UEFA atabeba hata wakina azipilikueta wakikaa benchi? Labda muibe mshukur Mungu mpo na lille na vi ajax
Hapo haina haja ya kutumia kichwa kilicholegea ,najua msg sent [emoji1787][emoji1787]
Chamsingi ni kukubali matokeo pia mujifunze kusifia opponents pindi munapofungwa....
Jamaa wamekutandika in & out baada ya kusema wamewazidi kimbinu unakuja na utetezi wa sijui Tomori angekuwepo sijui tuna UEFA [emoji16][emoji16]
Mimi mwenyewe namshangaa anaisema chelsea utafikiri arsenal yake inafanya vizuri wakati wao wametolewa liver lakini bado wanazidi kupiga kelele hukuWe si mshabiki wa arseshit ? . Mbona unakuwa kama kahaba ? , mara Manure mara nini . Tuliza mshono
AiseeRadika naona umepata nguvu kwenye uzi wetu karibu sana.
Naamini safari hii Epl lazima uchukue[emoji2957]
Wakikuitaga akili fupi unakuja kutoa povu. Nakwambia soma tena nilicho andika ukielewe usikaze kichwa dogo.
Katika jukwaa hili hakuna mtu mwenye haki ya kuniita mimi akili fupi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishasema hapo juu rudia tena kusoma
99.9% ya raia wa humu ni vilaza wa kutupa,aseme hivyo mtu wa Liver au Utd ambao wana uelewa wa soka,hata ukiingia ktk majukwaa yao unaona watu wanazungumza vya maana sio hapa [emoji16][emoji16][emoji16]munaotaka kuaminisha watu munavyoviamini[emoji86][emoji86]utalikuta jitu lipo bize linafananisha Tomori na VVD[emoji2960][emoji2960][emoji13][emoji13]
We si mshabiki wa arseshit ? . Mbona unakuwa kama kahaba ? , mara Manure mara nini . Tuliza mshono
Tulikuwa tulichezesha timu B ya akina Odoi mpaka wakakulia Europa na sasa wako first team ya EPL. Europa ni mashindano ya mazoezi penda usipende. Timu zilizochoka ndizo zinashindania hilo kombe. Na mtacheza huko back2back mpaka mteremshwe daraja. Ikitokea hivyo tunawakaribisha mje mvae rangi ya blue, rangi ya matumaini, rangi ya ushindi
Mkuu wewe Ajax unaweza kumfunga, tena kwake?Tena sema nje ndani
Muwe mnawaonea wakina ajax huko
Ukifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.Katika jukwaa hili hakuna mtu mwenye haki ya kuniita mimi akili fupi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishasema hapo juu rudia tena kusoma
99.9% ya raia wa humu ni vilaza wa kutupa,aseme hivyo mtu wa Liver au Utd ambao wana uelewa wa soka,hata ukiingia ktk majukwaa yao unaona watu wanazungumza vya maana sio hapa [emoji16][emoji16][emoji16]munaotaka kuaminisha watu munavyoviamini[emoji86][emoji86]utalikuta jitu lipo bize linafananisha Tomori na VVD[emoji2960][emoji2960][emoji13][emoji13]
Mimi nikiisha ona mtu ana pumba na anadakia tu uzi hata hajulikani ni timu gani anashabikia namuacha tu namchukulia kama vile ha existUkifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.
Narudia tena wewe akili fupi kasome nilicho andika na ukielewe.
Huyo Radika ana msongo wa mawazo maana aliifuata kushabikia Man U wakati ule ikiwa timu kubwa sasa imekuwa tu sawa na akina Newcastle, wee angalia quality ya kocha waliomsajili, wachezaji walionao bomu bomu tupuMkuu wewe Ajax unaweza kumfunga, tena kwake?
Ushabiki wa mpira sio matusi wala kukwaza tujadili mpira matusi na makwazo tuweke pembeni-ni mimi mzee wa busaraUkifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.
Narudia tena wewe akili fupi kasome nilicho andika na ukielewe.
Mpira hautabiriki ni sawa na kumuuliza mtu "nikisex bila condom nitaathirika ?""Mkuu wewe Ajax unaweza kumfunga, tena kwake?
Mzee wa busara nadhani ungewaambia hao wenyewe unaowaona tumewakwaza. Wao ndio waanzilishi wa yote haya sasa tukijibu mapigo tunaonekana sisi ndio waanzilishi.Ushabiki wa mpira sio matusi wala kukwaza tujadili mpira matusi na makwazo tuweke pembeni-ni mimi mzee wa busara
Ukifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.
Narudia tena wewe akili fupi kasome nilicho andika na ukielewe.
Mimi nikiisha ona mtu ana pumba na anadakia tu uzi hata hajulikani ni timu gani anashabikia namuacha tu namchukulia kama vile ha exist
Huyo Radika ana msongo wa mawazo maana aliifuata kushabikia Man U wakati ule ikiwa timu kubwa sasa imekuwa tu sawa na akina Newcastle, wee angalia quality ya kocha waliomsajili, wachezaji walionao bomu bomu tupu
Safi kabisa kijana kwa kutanguliza samahani-uliyemwomba samahani asipoipokea ni yeye na Mungu wake ww umeshajisafisha roho na nafsi- by mzee wa busaraMzee wa busara nadhani ungewaambia hao wenyewe unaowaona tumewakwaza. Wao ndio waanzilishi wa yote haya sasa tukijibu mapigo tunaonekana sisi ndio waanzilishi.
Halafu nadhani sijamwambia mtu kitu kibaya kumuita akili fupi ni ukweli sasa kama kusema ukweli ni kumkwaza mtu natanguliza samahani.
Mara Ole soskjar ni mbovu... sawa hatujakataa, Wachezaji wao pia ni wabovu kuliko wenu, Ila tunauliza je mlivokutana Head to Head vipi ilikuaje????Huyo Radika ana msongo wa mawazo maana aliifuata kushabikia Man U wakati ule ikiwa timu kubwa sasa imekuwa tu sawa na akina Newcastle, wee angalia quality ya kocha waliomsajili, wachezaji walionao bomu bomu tupu