Sasa ukileta habari za miaka wewe ndio una worst defeat iliyo current kbs yan bado ipo sealed hahaha juzi tu ulitapanywa 6 O'clock na city then 4 O'clock na Bournamouth hahahaaaaa game mbili ukawa umekufa 10-0 aiseeeehhhhh,hii ni timu au punch bag?????
Kwa mpoko ndio wapi huko mkuu???au hiyo ni kata mpya hapo London?Nilijua still yupo kwa mpoko
Waambie Chelsea ilikuwa timu ya tatu bora kwa EPL mwaka jana. Na itaendelea kuwa hivyo mwaka huu. Wao furaha yao ni kupiga umbea sisi tunacheza mpira na kukusanya makombeHuyo aliyegongwa 10-0 akaja akakugonga chuma 4 BAKU... jishtukue basi....
Mwaka jana Chelsea ilifungwa jumla ya magoli 39 hiko kikundi chako cha wahuni na wababaishaji walipigwa 51Sasa ukileta habari za miaka wewe ndio una worst defeat iliyo current kbs yan bado ipo sealed hahaha juzi tu ulitapanywa 6 O'clock na city then 4 O'clock na Bournamouth hahahaaaaa game mbili ukawa umekufa 10-0 aiseeeehhhhh,hii ni timu au punch bag?????
Waambie Chelsea ilikuwa timu ya tatu bora kwa EPL mwaka jana. Na itaendelea kuwa hivyo mwaka huu. Wao furaha yao ni kupiga umbea sisi tunacheza mpira na kukusanya makombe
Mwaka jana Chelsea ilifungwa jumla ya magoli 39 hiko kikundi chako cha wahuni na wababaishaji walipigwa 51
Mwaka juzi Arsenal katobolewa 51 Chelsea 38
Hebu Tujadili hapa Lampard Atumie Falsafa IPI na Akina nani waanze na nani waamzie Bench katiki Game ya Kesho ili Chelsea iweze kusonga mbele?? Tujadili kimpira bila Mapenzi.. Karibuni.
Hivi ni sahihi kocha kutompanga muda mrefu kweli?Captain AmericaView attachment 1245945
Unapoteza muda wako tu mkuu, huyo jamaa namuonaga ni kiazi tu hajui chochote zaid ya mipasho. sijui hat km kakuelewa Kwanza hajui timu yake anayoishabikia ipo ktk hali gani? Angejua ipo ktk hali gani hata asingethubutu kuongea chochote hapa, namuonaga km mwezi mchanga vile.Mwaka jana Chelsea ilifungwa jumla ya magoli 39 hiko kikundi chako cha wahuni na wababaishaji walipigwa 51
Mwaka juzi Arsenal katobolewa 51 Chelsea 38
Sema nani alinifunga goli 8 na mwaka ganiKwani wewe hujawahi kugongwa goli 8 buyu?
Huyo aliyegongwa 10-0 akaja akakugonga chuma 4 BAKU... jishtukue basi....
Sasa Wewe unajua nini?Unapoteza muda wako tu mkuu, huyo jamaa namuonaga ni kiazi tu hajui chochote zaid ya mipasho. sijui hat km kakuelewa Kwanza hajui timu yake anayoishabikia ipo ktk hali gani? Angejua ipo ktk hali gani hata asingethubutu kuongea chochote hapa, namuonaga km mwezi mchanga vile.
Achana naye huyo anataja vipigo ambavyo tangia aanze kushangilia arsenal yake hajawah kuishuhudia arsenal akimfunga chelsea goli 6 buyu.Huyo aliyegongwa 10-0 akaja akakugonga chuma 4 BAKU... jishtukue basi....
Dogo umeshajua kuandika. Safi [emoji106][emoji106][emoji106]That's very good.[emoji16][emoji16][emoji16]So kipigo cha goli 8 kutoka kwa man u kilikuwa cha miaka 47 iliyopita?
Au ndo unataka ujitoe ufahamu kuwa haujawahi kupigwa goli 8
"Vutimu pori" ndio nini mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na akamaliza top three, juu ya vutimu pori