Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Hizi bange za maliwato hatari.....Nahisi hii game tutabutua 9 kama Leicester alichofanya kwa Southampton. Maneno mengi hamna kitu hao jamaa
Management.Aliyependekeza pulisic asajiliwe ni babu sari au management?
Hizi bange za maliwato hatari.....
Anatakiwa anawatumie wote watatu Kama alivyowatumia dhidi ya Liverpool kwenye mechi ya super cup nafikiri uliona shughuli walioipata liverpool.Patnership ya Jorginho na Kovacic imeshaklick tayari, sijui akipona Kante itakuaje, Kova akae bench, acheze Jorginho na Kante, au Kante aendelee kuwa bench,
Lampard namuonea huruma yupo dilema kwa sasa kupanga kikosi
Hahaha dah kwamba hujui mlicheza na vilema siku ile?Kwani Baku mlishindwaje kumtungua?
Aliyefanya utabiri siyo mimi.Hahaa eti kibonde? Mzee kwenye mpira hakuna kubahatisha ukiona umefungwa ujue ulifanya makosa wenzako wakatumia nafasi vizuri. Kibonde mliyemtabiria mechi kumi za mwanzo sasa hivi anashika nafasi ya nne huku wewe uliyejitabiria nafasi za juu leo unashushwa mpaka nafasi ya 8.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni ngumu kuamini
Kwahiyo ozil nae ni kilema? maana siku ile alikuwepo na kante alivyokuwa si mtu mzuri alimficha kisawasawa.Hahaha dah kwamba hujui mlicheza na vilema siku ile?
Vilema timu ya Arsenal au Gwambina?Hahaha dah kwamba hujui mlicheza na vilema siku ile?
Huyu akikaribiaga mwisho wa mkataba wake anawasha moto kweli kweli lakini subiri aongeze mkataba utamchukia sana. Naona ni muda wa kuondoka aende Juve kwa babu Sarri.Willan aliongeza mkataba wa mwaka mmoja kuna taarifa zozote za kuongezewa mkataba, anauzwa au kuondoka huru?
Sasa wewe jamaa kwa unavyodhani midfielder ya siku ile ingembania wapi Kante? Tulikua na CMF, Niles, akicheza kama RB, tulikua na midfielder nyanya tulikua na mistake maker Mustafi na jamaa asiyejua cross Kolasinac.Kwahiyo ozil nae ni kilema? maana siku ile alikuwepo na kante alivyokuwa si mtu mzuri alimficha kisawasawa.
Sasa Kama ni hivyo mbona mnalaumu ozili apangwi na kocha lakini pia torreira alicheza but mbaya nae akapotezwa Kama upepo alafu wewe huna midfield ya kapambana na Chelsea kabisa hata ambao unasema hawapangwi yupi midfielder wako anaeweza kupata namba kwa watu Kama kante, gorginho na kovacic sema tu ukweli.Sasa wewe jamaa kwa unavyodhani midfielder ya siku ile ingembania wapi Kante? Tulikua na CMF, Niles, akicheza kama RB, tulikua na midfielder nyanya tulikua na mistake maker Mustafi na jamaa asiyejua cross Kolasinac.
Winning was nowhere near.
Yaani ilikua ni kakomedi ka hapa na pale. Your midfielder outshined Arsenal's easily. Sasa hivi tuna mid ndiyo ila hawapangwi wanaojua.
So yeah mlicheza na vilema.
Yaani katika uliowataja hapo kiukweli ni Kante tu ndiyo anatisha hao wawili ni makopo.Sasa Kama ni hivyo mbona mnalaumu ozili apangwi na kocha lakini pia torreira alicheza but mbaya nae akapotezwa Kama upepo alafu wewe huna midfield ya kapambana na Chelsea kabisa hata ambao unasema hawapangwi yupi midfielder wako anaeweza kupata namba kwa watu Kama kante, gorginho na kovacic sema tu ukweli.
Leo ukimfubga Palace naacha kukanyaga jukwaa lenu. Najua huna uwezo
Chelsea is now the only team ever in EPL history to have two players aged 21 or under to score league hat-tricks in the same season
Patnership ya Jorginho na Kovacic imeshaklick tayari, sijui akipona Kante itakuaje, Kova akae bench, acheze Jorginho na Kante, au Kante aendelee kuwa bench,
Lampard namuonea huruma yupo dilema kwa sasa kupanga kikosi
Naona kijana unaongozwa na ushabiki kwahiyo unataka kuniambia di Maria, ozil, khedira, James Rodriguez ni wachezaji wa ovyo ndo maana wakauzwa na Real Madrid?Yaani katika uliowataja hapo kiukweli ni Kante tu ndiyo anatisha hao wawili ni makopo.
Kopo moja lina homa ya vipindi kopo jingine liliachwa na timu kubwa duniani. Sikia, mchezaji mkali akiwa Chelsea ataenda Madrid, kama Hazard na sasa hivi Kante anatakiwa. Mchezaji mbovu akiwa Madrid ataenda Chelsea, mfano Morata na huyu Kovacic.
Emery ana tatizo la kuwapa watu positions zisizo zao au kupanga maandazi. So mlicheza na Toreira ndiyo ila hakua position yake.