Kupigwa ni matokeo. Unadhani Soton alijua kama jana anaenda kubakwa mara tisa? Au leo Burnley alijua kama nyinyi vibonde mngebahatisha mara nne?
Sema kuna kikosi nikikiona najipiga ban kwa muda.
Hivi wewe mshamba uliangalia mechi jana uone Chelsea walivyodominate mchezo kwa vipindi vyote?
Nikiwa kama shabiki wa chelsea , nimefurahi sana kwa ushindi wa jana . Ila ningependa nimtetee kipa wetu #kepa kwa yale magoli mawili aliyofungwa .
Goli la kwanza anastahili lawama kidgo kwa maana alichelewa kuwa kwenye position nzuri ya kuruka na kusave , lakini kwa goli la pili ule mpira ulimgusa Tommori ndo mana ukampoteza .
Huwezi ukasema krpa mbovu wakati bado defence yetu haijawa ya uhakika pia kumbuka kuna save hatari mno ambazo aluzifanya kwenye mechi . Binafsi naamini na nasema KEPA ni kipa mzuri kwa chelsea.
#CfC #Kepa
unalinganisha leno na kepa[emoji23][emoji23]....dah haitaji ubishaniHiv yule Leno ana clean sheet ngap?
Kwani Baku mlishindwaje kumtungua?All.
Kesho akipangwa anascore tena. Ila natamani tungekutana na nyinyi hiyo kesho huyo bwana Arizabalaga watu wajitungulie mbali
Hahaa eti kibonde? Mzee kwenye mpira hakuna kubahatisha ukiona umefungwa ujue ulifanya makosa wenzako wakatumia nafasi vizuri. Kibonde mliyemtabiria mechi kumi za mwanzo sasa hivi anashika nafasi ya nne huku wewe uliyejitabiria nafasi za juu leo unashushwa mpaka nafasi ya 8.Kupigwa ni matokeo. Unadhani Soton alijua kama jana anaenda kubakwa mara tisa? Au leo Burnley alijua kama nyinyi vibonde mngebahatisha mara nne?
Sema kuna kikosi nikikiona najipiga ban kwa muda.
We mtoto tema mate chini hawa watu hawafananishwi.Twenden tu na ukweli kante ni mtu mbaya ila covasic ni mtu mbaya zaid
Sarri aliwahi kusema kuwa yeye hakuwa na idea yoyote kuhusu usajili wa Pulisic, kwa hiyo management ya chelsea ndio ilihusikaAliyependekeza pulisic asajiliwe ni babu sari au management?
Baku tulikuwa na Luiz na Christansen kama FB na wakashindwa kufunga, je wakati huu wakata umeme akina Tomori na Zouma wako wataweza kweli. Nasubiri kwa hamu game hii na Arsenal tuwakimbize mchakamchaka mpaka wapotelee hukoKwani Baku mlishindwaje kumtungua?
Hahaha hiyo meizu ni aina ya simu....au una mafua mkuu?Hii chelsea inakimbiza Meizu kimya kimya
Kwahiyo Manchester United walivyowapiga gongo 4 na wale Valencia waliowanyuka hapo daraja la mabua wao waagize nini mkuu?Nowadays ukikutana na Chelsea ukatoa sare inabidi uagize kitimoto na Pepsi bariiidi
Katika Leno mmoja kuna kepa kumi na mbili,mwambie huyounalinganisha leno na kepa[emoji23][emoji23]....dah haitaji ubishani
Unachekesha wewe,Baku tulikuwa na Luiz na Christansen kama FB na wakashindwa kufunga, je wakati huu wakata umeme akina Tomori na Zouma wako wataweza kweli. Nasubiri kwa hamu game hii na Arsenal tuwakimbize mchakamchaka mpaka wapotelee huko
Nahisi hii game tutabutua 9 kama Leicester alichofanya kwa Southampton. Maneno mengi hamna kitu hao jamaaBaku tulikuwa na Luiz na Christansen kama FB na wakashindwa kufunga, je wakati huu wakata umeme akina Tomori na Zouma wako wataweza kweli. Nasubiri kwa hamu game hii na Arsenal tuwakimbize mchakamchaka mpaka wapotelee huko