OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Muhimu ushindi mzee ..tuwangoje wana nzengo waje na kelele zao..Lampard atajilaumu sana kuwatoa akina Willian maana baada ya hapo Chelsea ilipoteza uelekeo kabisa kutengeneza nafasi na kupoteza mipira hovyo kati
Odoi kazingua sana na vichenga vingi vingi visivyo na kichwa wala miguu wakimpokonya mipira kilaiiiniJamani embu turidhike na POINT 3 MUHIMU.
Unazungumzia timu gani mkuu..Hahahah nyie najua mtamaliza namba 6
#ynwA [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji4]
Hatunaga Kipaa
Huyu hanaga hata save moja
Halafu mpiga tarumbeta wenu na mchekeshaji wa mfalme bwana Ollachuga Oc huwa anajaribu bila hata aibu kumlinganisha na De Gea. Kwanini huwa hamumkanyi? |
Chelsea [emoji91] [emoji91][emoji91] japo tumefungwa goli mbili za harakaharaka ila tulikua bora leo kwenye kila idara
Unazungumzia timu gani mkuu..
Ni hii Chelsea inayogawa dozi ya mabao au ipi..
Ollachuga OC Chelsea acha kumlinganisha De Gea na vitu vya kipumbavu.
Halafu mpiga tarumbeta wenu na mchekeshaji wa mfalme bwana Ollachuga Oc huwa anajaribu bila hata aibu kumlinganisha na De Gea. Kwanini huwa hamumkanyi?
Sio ya kumi kama mlivyosemaga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah nyie najua mtamaliza namba 6
#ynwA [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji4]
Aah siwezi kulaumu ila vijana wamejitahidi zile goli mbili hata sioni kama ni makosa ya bekiUkabaji kama vile mwisho uliyumba hivi. Imekuja tokea tumeruhusu goal mbili.
Naona mmeanza kutumia ARV mtaishi kwa matumainiSio ya kumi kama mlivyosemaga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamaanisha kati kati kwa viungo mwishoni mwishoni ni kama tulipwaya Chelsea ndiyomaana tukafungwa magoli mawili ya haraka haraka, nami nakubaliana na wazo lake 100%Aah siwezi kulaumu ila vijana wamejitahidi zile goli mbili hata sioni kama ni makosa ya beki
Zile goli zilikuwa za kichawi sanaAah siwezi kulaumu ila vijana wamejitahidi zile goli mbili hata sioni kama ni makosa ya beki
Usimfananishe pepe na upuuziPepe ana goli ngap mpka sasa..
Hajawahi kuwa sahihi hata kwa 12%