Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,454
Najua unajaribu kuongea kimpira na uhalisia wa mpira ulivyo lakini kiuhalisia leo Man U anakufa kwake pale pale. Hata afanyaje kina Rashford hakuna kitu watafanya kwa VVD na Matip.Leo sitaki Salamu ya Mtu coz najua Manure hata awe mbovu Vipi lakini hatokubali afungwe na Liverpool kiboyaboya.
Usijeshangaa Leo Rashford akawa Messi, Lingard akawa Neymar, Scot akawa Busquet.
Najua unajaribu kuongea kimpira na uhalisia wa mpira ulivyo lakini kiuhalisia leo Man U anakufa kwake pale pale. Hata afanyaje kina Rashford hakuna kitu watafanya kwa VVD na Matip.
Kwahiyo ukishakuwa shabiki wa liver inakuwa ni MARUFUKU KUSEMA UKWELI!!!!?????Huyo nilomjibu ni shabiki wa Liver ila nashangaa ana tu element twa Arsenal
Povu f.cMkuu kama kero ni yetu sijui nyie kwa nini inakuumiza wewe?
Anaimprove, na anamentality ya kupigania namba katika kikosi cha kwanza.Football.London mimi huwa napenda rating yao Kwani inaendana na nilivyowaona wachezaji kibinafsi
Wachezaji watatu wamepewa rating ya juu ya 8
Leo Zouma kucheza vizuri amekuwa very sharp kuokoa mipira na kiujumla kucheza akiwa ametulia na ninamuona Zouma akizidi kucheza kwa utulivu kila mechi, ambaye bado hajatulia ni Tomori
- Jorginho
- Zouma na
- Odoi
Ni jumatano ivi nadhani..Jumatatu au ni jumanne mkuu?
Hahaha yeye ndo kaiba Avatar kutoka kwangu ..kwani humjui uyu jamaa ..Yuko humu JF au nimtag[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wewe mbona umeiba Avatar za Wengine kwenye Twitter? ↓↓
Wewe nilikuambia usimpe liver mukeka utachanika, ukaleta ujuaji ..sasa kula uwo mukeka wako[emoji13][emoji13]Sasa kwani wanaosema hivyo ni nani????
Mbona ni mabingwa wa kujisahaulisha hivi???mimi nimenukuu tu yale mnayosemaga
Hahahahaha wewe tulia ivyo ivyo mkuu ..zile mbwe mbwe za kuifunga Man u 4 zikuwapi? Sisi tunawahesabia mechi ..hamkatizi desemba mutakuwa nafasi ya tatu mangombania na spurs na arsenal uko...hahahahahahahaHahaaa ni kwel mkuu hawa dawa yao hakuna kuwaacha yaan kuwakaba maana bad wanajazana ujinga sijui kwavile wameanza kushabikia mpira juzi ww ona vistats wanavyowekeana humu havina kichwa wala kiuno mpk unajiuliza hik nacho cha kupost au ndo ushamba uliopitiliza .
Afuu kingine haka kauzi kao kanaongoza kwa watu wenye mapovu yaan ukiwaswitch kidogo tu unapata povu lakutosha yaan ni kwamba hawawezagi kuvumilia kbs sasa najiuliza kama watapitia kipind kigumu kama cha sis washabiki wa LFC tulichopitia hapo nyuma si watakimbia mpk na kuufuta na huu uzi isitoshe washabik wa hik kitimu wanaonekanaga kipind cha mafanikio tu ,kuna mwingine huku mdogo wangu yeye huwa anashabikia kipind cha ushindi ili ikianza kizingua anajifanya anaipenda barca sio kawaida na hata humu kwenye uzi wao(fan wa cheltako) anatabia hiyo bwana mkubwa ollachuga oc
Yaan hiki kitimu chao tukibaatize tu jina jingine kama walivyo mbaatiza nyumbu now anaitwa Lia Lia fc
Hawa nadhan wawe povu fc
Hivi unaweza kwenda Uingereza wee mtu wa kuja na kuanza kukerwa na uhuru wao wa kutoa maoni?? kama unakerwa meza wembe au kula pilipili au fungasha virago uende zakoHuu Uhuru wa kutoa Maoni ukizidi sana unakuwa ni Kero
Na ndivyo walivyokuwa bwana NabiiLeo sitaki Salamu ya Mtu coz najua Manure hata awe mbovu Vipi lakini hatokubali afungwe na Liverpool kiboyaboya.
Usijeshangaa Leo Rashford akawa Messi, Lingard akawa Neymar, Scot akawa Busquet.
Hawa madogo wa Shelfed tulidraw nao nadhani ..tukachekwa sana..[emoji23][emoji23]Sasa rasmi Chelsea ni top 4, Arsenal wameshindwa kuikomboa nafasi yao
Shefield United 1, Arsenal 0
Nynyi rent boys kachukueni hii takataka yenu kule kwenye Timu bora kabisa Duniani asitutie aibu.