21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
ndio maana hizi international match nazichukia, tunazidi kuongeza idadi ya majeruhiBundi alitetua Chelsea nahisi katoka Tanga. Anajua kung'ang'ania sana.
Christensen has been injured and replaced in a Denmark match against Switzerland [emoji52]
ndio maana hizi international match nazichukia, tunazidi kuongeza idadi ya majeruhi
Christensen na Kante majeruhi kwanini walikubali kwenda national team? Daktari wa club hakupendekeza wapumzike?
Sheria zinasemaje? Au mchezaji mwenyewe anapendekeza kwenda national team ijapokuwa hajarecover fully
Wakati wewe upo bored na International breakHii ndio hali yangu inapofika weekend halafu kuna international games. The most boring weekends.View attachment 1231537
Another Kepa mistake I’m hearing? It’s becoming quite the norm. 3/4 mistakes already this season.
Jana hiyo
1-1
Hahaa nimekutana na hii kitu mtandaoni sina hakika kama ni kweliWakati wewe upo bored na International break
Mashabik wa man u wanaomba iendelee ,maana kila week wao ni huzuni tu
HahahhahaHahaa nimekutana na hii kitu mtandaoni sina hakika kama ni kweli View attachment 1231969
Hawa ndugu zetu ni shidaHahahhaha
Ni kweli maana kwa mwez mzima wamefunga goli 1 tena la penalty
torres na shenko ilikuwa funika bovu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHuyu jamaa anatakiwa naachwe benchi. Chelsea sajili zote ghali hukosea
Sio kweli kwamba usajili mkubwa Chelsea anakosea mfano jorginho,osca,willian,hazard,malouda,mata,costa,fabregas,Luiz mbona tumewasajili kwa pesa nyingi mbona walidelivertorres na shenko ilikuwa funika bovu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hii ndio hali yangu inapofika weekend halafu kuna international games. The most boring weekends.View attachment 1231537
[/Qmimi nakuwaga hovyo sana
Hili nalikubali Kepa kufanya dubious decision na itamgharimu sanaAnother Kepa mistake I’m hearing? It’s becoming quite the norm. 3/4 mistakes already this season.
Jana hiyo
1-1